Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Waislamu wenyewe wanakuambia uislamu ulikuwepo tangu enzi za Adamu 😂
Mjulishe kuwa hakuna nchi iliitwa Israel kabla na hata wakati wa Ibrahimu.Unaongelea nchi "israel", ilikuwepo wakati wa Ibrahim?
Unanikumbusha enzi za Uajeni (Iran) na Umedi (Iraq).Nimekwambia hapo Mesopotamia ni Iraq, Syria, Uturuki na Iran ya leo
Yakopo ana watoto zaidi ya hiyo idadi. Sema watoto wa kike hawahesabiwi ktk tamaduni za kale za wakaldayo. Watoto wa kiume ndo 12.Watoto wa Yakobo walikuwa 13 na sio 12
Wewe umechanganyikiwa ama kwa kutotaka kufungua ubongo wako ukawa huru. Siyo lazima babu awe wa ukoo moja na mjukuu. na pia siyo lazima babu awe wa kabila moja na mtoto. Ndo maana watoto wa Yakobo kila moja alitengeneza kabila lake. Makabila 12 ya Israel yametokana na watoto 12 wa yakobo. Kwa mantiki hiyo Yakobo siyo wa kabila lolote kati ya hizo 12 za Israel. yakobo ni Mkaldayo kama ilivyo babu yake Ibrahimu na baba yake Isaka.Sawa sielewi nieleweshe,una maana gani kusema israel ilianza kwa yakub na baba yake asiwe ukoo huo?? Kinasaba unaweza kuwa kabila au ukoo ambao baba yako sio ?? Ina maana huyo mtu alikana nasaba damu na ukoo wa baba yake na babu yake anaanzisha kabila lake na ukoo wake ambao hauna uhusiano na baba yake na babu yake? Wewe hapo unaweza sasahivi ukaamua ukawa sio kabila wala ukoo wa baba yako ma babu yako?na huyo ismail huo ukoo wa waarabu alianza kwa nani?
waarabu wazushi tu wanataka kulazimisha mambo ambayo history inawakataa haiwezekana kwa era aliyoishi Abram Misri watoke waarabu badala ya Khemet ambao ndio Black kama Nubian wa KushSina uthibitisho wa moja kwa moja juu ya hilo... Yani vivid evidence, maana waarabu nao wanasema alikuwa muarabu
Waliotajwa kweny biblia ni l3 na ni 1 wa kikeYakopo ana watoto zaidi ya hiyo idadi. Sema watoto wa kike hawahesabiwi ktk tamaduni za kale za wakaldayo. Watoto wa kiume ndo 12.
Nilimwambia hili akaanza kuleta siasa za Tanganyika na Tanzania...kipind cha falme zinagawanyika kulikuwa na samaria na Uyahudi ila hakukuwa na nchi inaitwa israelMjulishe kuwa hakuna nchi iliitwa Israel kabla na hata wakati wa Ibrahimu.
Wote walizaliwa kwenye ndoa mkuu Au hilo nalo unaoinga pia afu kumbuka Isaka ni chalii mdogo sana ni wana tofauti ya miaka 13 na ishmaili sio mwak mmoja au miwili kama unavyodhanMungu alibaliki vizazi vyote vya Ibrahim, baada ya Ibrahim kufariki ulitokea ugomvi wa urithi mmoja akidai ni mtoto mkubwa wa marehemu mwingine akidai ni mtoto aliyezaliwa kwenye ndoa.
Nadhani uarabu siyo rangi ni kabira .Bado haupo sahihi kwasababu mjakazi ambaye Ibrahim alizaa nae alikuwa Mmisri na wamisri wa nyakati hizo walikuwa ni weusi kwahiyo hawakuwa Waarabu Historia hii tuliyo nayo imepikwa kuficha jambo.
Kuna kabira na kuna taifa.Waarabu ni marufuku kabisa kufata ukoo wa mama,kwanza mwanamke kule hatakiwi hata kusogea mbele za watu.
Nomba mstwari tafadhali nijiweke fiti maana humu kuna wafia dini.Waliotajwa kweny biblia ni l3 na ni 1 wa kike
Bila shaka mkuu..Nomba mstwari tafadhali nijiweke fiti maana humu kuna wafia dini.
Ndoa ilikuwa Kati ya Ibrahim na SaraWote walizaliwa kwenye ndoa mkuu Au hilo nalo unaoinga pia afu kumbuka Isaka ni chalii mdogo sana ni wana tofauti ya miaka 13 na ishmaili sio mwak mmoja au miwili kama unavyodhan
Una uhakika kaka Ngoja basi nikuonyeshe ndoa Zilizokuwepo...Ndoa ilikuwa Kati ya Ibrahim na Sara
Ugomvi ulizuka baadaye,lakini kabla Ibrahim hajafa,aligawa urithi kwa watoto wake kabla hajafa! Ibrahimu alimpa Urithi Isaka,watoto wengine(aliowazaa kwa mke mwingine) aliwapa zawadi na kuwatawanya kwenda mbali na Isaka,(Mwanzo25:5-6)! Sasa cha ajabu Ishmaeli hakupewa urithi wo wote na Ibrahim.Mungu alibaliki vizazi vyote vya Ibrahim, baada ya Ibrahim kufariki ulitokea ugomvi wa urithi mmoja akidai ni mtoto mkubwa wa marehemu mwingine akidai ni mtoto aliyezaliwa kwenye ndoa.
Hawezi jibu amejaza ushabiki akili mwakeSijakuelewa hapo unaposema ismail ni baba wa waarabu kwa kuwa mama yake alikua mwarabu .inamaana waarabu wanafata koo zao kupitia kwa mama na si baba?? Kwanini ismael aendeleze ukoo wa waarabu wakati baba yake hakua mwarabu?? Kwanini asiendeleze ukoo wa kizazi chake cha babaake??
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Kwanza hili neno Israel unajua maana yake? Watu wa huko wanajiiita hivyo?Unaposema ibrahim ni muisrael unamaanisha alizaliwa baada ya isaka (israel)?
Je yahudi ni kabila taifa kijiji?Ismail anachukuliwa kuwa baba waarabu kulingana na mila ya Kiislamu. Imani hii imejikita katika Quran na Hadith za Mtume Mohammad, ambazo ni maandiko ya msingi katika Uislamu.
Kwa mujibu wa vyanzo hivi, Ismail alikuwa mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahimu na mkewe Hajiri (Hajar). Ibrahim ni mtu muhimu katika mila za Kiislamu na Kiyahudi-Kikristo.
Katika mapokeo ya Kiislamu, inaaminika kuwa Ismail aliishi katika maeneo ya Uarabuni, hasa katika eneo ambalo lingekuwa Makka. Uzao wake uliofata unaonekana ni wa Kiarabu ambao ni mababu wa waarabu wa hivi leo, na Quran inamtaja yeye na baba yake Ibrahim kama watu muhimu katika historia ya Uislamu.
Ni muhimu kutambua kwamba imani hii kimsingi inategemea maandiko ya kidini na ni suala la imani ndani ya mapokeo ya Kiislamu. Nje ya miktadha ya kidini, dhana ya Ismail kama baba wa Waarabu inaweza isiwe na maana sawa.
Ni kama Ibrahim anavyoitwa Baba wa mataifa, wakati yeye ni myahudi na mbona kuna wachina, waafrika, wa-mexico, walatini