Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Mkuu hiyo historia ya kweli ya kabla ya 1800 naweza kuipata wapi?
 
Kwa mantiki hiyo ismail hakuwa mwarabu kwa maana babaake sio mwarabu lakini waarabu waliamua kumpachika uarabu ili awe baba wa waarabu.ok
Iburahimu chimbuko lake Iraq je huko kwao wanaishi watu gani hata sasa jibu unalo ingawa utaki
 
Kuna andiko lolote linalosapoti haya uliyotaandiska hapa?ungeliambatanisha ili kujustfy
Do maana yake hauna knowledge yeyote na bible?🤔,,ok nikipata mda ntakuletea vifungu,japo huko mwanzo vifungu nimeweka,,wala sio kazi kujua asili ya Abraham kama unadoma bible
 
Wewe unasemaje? Kwamba ulikuwepo tanagu enzi za Adamu wakati Mohamad ambaye ni mtume na mwanziloishi wa Uislamu amezaliwa mwaka 570 yaani karne ya sita baada ya Yesu.
Dini anaanzisha mtume?,,,
Kwani dini hasa ni za mungu au mitume?
Yesu hakuanzisha ukristo,,wala moses hakuanzisha uyahudi
 
Asante kwa ufafanuzi. Nina swali moja kwako; Ishmael na Isaka wote ni watoto wa Ibrahim, Ishmael akitangulia kuzaliwa. Wakati Mungu anamwambia Ibrahim amtolee mwanae sadaka, je, Ishmael alikuwepo? Na kama alikuwepo, ni nani kati ya hawa wawili (Ishmael na Isaka), nani aliwekewa nia ya kutolewa sadaka? Na kwanini?
 
Pia baba mkwe wa isaac ,Bethuel ni syrian,Laban mtoto wa bethuel na mjomba wa jacob ni syrian.
So kumbe hata isaac ukifuatilia sara anaweza kuwa syrian girl

Mungu anatujua in and out hata kabla hatujajijua, kwanini atujaribu?
Kama una iman nawe kumbuka hata ibra alijaribiwa ndo mana anaitwa baba wa iman.shetan nae alipata ruksa kutoka kwa mungu ili amjaribu ayoubu hata shetan alimjaribu yesu
 
Do maana yake hauna knowledge yeyote na bible?🤔,,ok nikipata mda ntakuletea vifungu,japo huko mwanzo vifungu nimeweka,,wala sio kazi kujua asili ya Abraham kama unadoma bible
Umeshaweka andiko lolote kujustfy yale yoote uliyoyaelezea?
 
Kuna kabira na kuna taifa.
so alipozaliwa ndipo uraia wake ulipokuwa.ila inawezekana alineda taifa lingine akabadili uraia
Mmakonde akibadili uraia anakua mchina? Anaweza kuendeleza kizazi cha kichina kwa kubadili uraia?
 
Unaposema ibrahim ni muisrael unamaanisha alizaliwa baada ya isaka (israel)?
Mzee Juma alizawaliwa mwaka 1959 kipindi hicho ikiitwa Tanganyika. Lakini sasa mzee Juma ni Mtanzania.
 
Mzee Juma alizawaliwa mwaka 1959 kipindi hicho ikiitwa Tanganyika. Lakini sasa mzee Juma ni Mtanzania.
Nachojua israel ni nchi iliyoundwa na kabila 12 ambazo ni watoto wa Yakobo (thanks kwa walionikumbusha) ambazo ni;

Rubben
Simeon
Lawi
Yuda
Dani
Naftali
Gadi
Asheri
Isakari
Zabuloni
Yosefu
Benyamin

Haya niambie Ibrahim alikuwa kabila gani kati ya hayo?
 

weka chanzo cha taarifa zako maana umeandika kama ulikuwepo nyakati hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…