Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Nimekwambia mama wa kazi gani hapa? Hatutaki kusikia habari za mama maana kwenye ukoo mama hausiki.waarabu ,wasrael na mashariki ya kati yote mwanamke hata kuhesabiwa tu ni marufuku so ongelea ukoo wa baba achana na habari za wanawake.
Acha uongo, kama mwanaume ndio kila kitu unajua why wasamaria walitengwa na wayahudi? Ni sababu walikua na mama wa makabila ya ki Syria na persia.... otherwise wasingebaguliwa maana si baba ndio ana matter!!!
 
Punguza upotoshaji kwani waisrael ni watoto wa Abraham au Yakobo? Maana kama ni Abraham ana watoto wengi na wajukuu kibao nje ya Yakobo nao ni waisrael?

Tukirudi kwa Yakobo kumbuka alizaa na wajakazi wawili walitoka Syria ina maana hata hao wayahudi ni mixture ya Yakobo na Assyria sasa unaposema waisrael sio waarabu kivipi? Nachojua Israelites na Syrians or Egyptians wote ni SEMITES ni JAMII moja.

Ugomvi wa hapo ni wa kidini zaidi kuliko vinasaba otherwise Iran wangekua partners na Israel
Wewe ndio utafute maarifa, acha ubishi maandazi

Ibrahim aliingia agano na Mungu na kuambiwa atakuwa Baba wa mataifa mengi baada ya kutaka kwenda kumtoa Isaka sadaka.

Ibrahim alikuwa na watoto wa wawili ambayo ni Ishmael na Isaka

Ishmael alienda kuishi kwenye Penisula ya uarabuni na kuoa huko urabuni ndio maana waarabu wanamuita kama baba wa waarabu kiimani, huku Yakobo hakibaki huko kaanani.

Hata hivyo vita ya Palestina na Israel sio ya kidini bali ya kugombania ardhi ambapo kwa mujibu wa Israel baada ya kwenda utumwani, waarabu walianza kujimilikisha maeneo yao, ambapo waisraeli walivyoanza kurudi ndipo wakaanza kudai maeneo yao ya asili hapo ndio vita ikazuka...
 
Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.

Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.

Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.

Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.

Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.

So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.

Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.

Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.

Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.

So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.

Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.

Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.

Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.

Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.

Hapa kuna jambo moja.

Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.

Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Unachanganya madesa. Kaanze na Mwanzo 13:1 KJV Ndo uje na porojo za waarabu na Wazungu na wahuni kama hao
 
Abraham hajawahi kutoka Africa... Hajawahi kwenda Arabuni wala Ulaya. Kasome I vzr bible zenu na vitabu vya historia. Ameishi chini ya jangwa LA Sahara na akafia huko south Africa
 
Biblia inasema wazi kuwa Abraham alitaka kumtoa Mwanaye wa pekee Isaka kama sadaka lakini miaka kibao inapita anaibuka Mudi na kitabu chake Cha anticlockwise na kusema mwana aliyetaka kutolewa sadaka ni Ishmael. Uzushi huu watu waliukaushia wakati huo kwa sababu hawakujua baada ya muda utaenezwa kwa upanga na wafuasi wake kiasi bacho umefikia sasa
 
Acha Kutulisha Matango pori kijana! Uislam chimbuko lake sio kwa Ismael ni Tangu kuja Kwa Nabii Adam Kasome Vitabu.

Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Wewe acha pumba, bila Ismail kwenda kuoa uarabuni kusingekuwa hayo yote... Waarabu wanajiona nao wameunganika na Ibrahim kwa sababu mtoto wake Ismail alienda kuoa huko uarabuni....

Ebu wewe nipe huo uthibitisho uislamu umeanza kwa Adamu kivipi 😂😂😂 Uislamu umeletwa na Muhammed, wewe unatwambua ulikuwepo tangu enzi za Adamu, Ukristo wenyewe una miaka mingi kuzidi huo uislam alafu unatwambia nini hapa
 
Abraham hajawahi kutoka Africa... Hajawahi kwenda Arabuni wala Ulaya. Kasome I vzr bible zenu na vitabu vya historia. Ameishi chini ya jangwa LA Sahara na akafia huko south Africa
Oyaa acha Bangi ofisaa 😂😂😂
 
Acha uongo, kama mwanaume ndio kila kitu unajua why wasamaria walitengwa na wayahudi? Ni sababu walikua na mama wa makabila ya ki Syria na persia.... otherwise wasingebaguliwa maana si baba ndio ana matter!!!
Kwahiyo unataka kuuambia umma kwamba waarabu wanafata ukoo wa mama na sio baba
 
Kwahiyo unataka kuuambia umma kwamba waarabu wanafata ukoo wa mama na sio baba
It doesn't matter nachojua wayahudi walitenga wayahudi wenzao kwa kuwaita WaSamaria kisa walizaliwa kwa mixture ya wayahudi na wanawake wa kiarabu na kipersia.

Sasa kivp we useme ukoo wa mwabamked doesn't matter wakati wayahudi wenyewe wali take serious
 
Ibrahim aliingia agano na Mungu na kuambiwa atakuwa Baba wa mataifa mengi baada ya kutaka kwenda kumtoa Isaka sadaka.
Uongo huu, waisrael wanaitwa Israel sababu ni watoto wa YAKOBO ila ukienda kwa muktadha wa kwamba Ibrahim ni myahudi basi hao watoto wa Ishmael, Esau, n.k wanakua nao wayahudi/waisraeli?
Hata hivyo vita ya Palestina na Israel sio ya kidini bali ya kugombania ardhi ambapo kwa mujibu wa Israel baada ya kwenda utumwani, waarabu walianza kujimilikisha maeneo yao, ambapo waisraeli walivyoanza kurudi ndipo wakaanza kudai maeneo yao ya asili hapo ndio vita ikazuka...
Acha kupotosha, hiyo ilikua ni ardhi ya wacanaan na hata huyo Abraham alikuta watu wanaishi hapo canaan wala haikuwa wazi. Pia hata ukisoma biblia kina Musa na Joshua walikuta makabila 13 yanaishi hapo so sio kweli kwamba ardhi ilikua nyeupe. Kumbuka Abraham ana watoto wengi sasa kivipi ardhi ya Abraham ajimilikishe wajukuu upande wa Yakobo ilihali kuna wajukuu upande wa Ishmael, Esau etc.

Kingine hao wayahudi hiyo ardhi waligawanyiwa 50 kwa 50 kivipi leo hii wamehodhi 90%? Wanachofanya Israel kina tofauti gani na alichofanya Idd Amin au Putin?
 
Hakukuwa na uarabu. Uru kwa wakalidayo na hakuna myahidi. Uyahudi imekuja baada ya king david
Hao wote wanaitwa Semites na ndicho nilichosema kwa Abraham so whether it's a jew, Arab, they are all semitic.
 
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu
Msengerema sana we jamaa umenipotezea muda kusoma utombo wako nyanoko kabisa wewe
 
Biblia inasema wazi kuwa Abraham alitaka kumtoa Mwanaye wa pekee Isaka kama sadaka lakini miaka kibao inapita anaibuka Mudi na kitabu chake Cha anticlockwise na kusema mwana aliyetaka kutolewa sadaka ni Ishmael. Uzushi huu watu waliukaushia wakati huo kwa sababu hawakujua baada ya muda utaenezwa kwa upanga na wafuasi wake kiasi bacho umefikia sasa

Mkuu Isiaka hajawai kuwa mwanae we pekee wa ibrahim!! Mkuu nadhan unaelewa neno Pekee maana yake!


Kati ya mtoto wa kwanza na wa pili yupi mtoto wa aliekuwa wa pekee hapo
 
Hujawai kusikia ubaguzi wa utaifa, au wa rangi... Mbona ujiulizi Muafrika kuchukiwa na Mzungu

Kuchukiwa kwa sababu wewe sio wa jamii fulani ni jambo la kawaida... Fatilia taarifa mbalimbali utaona, watu wanachukiana kisa si wadini fulani, sembuse hii ya wewe kuwa si muarabu
Kwahiyo na muisraeli anamchukia mpalestina sababu mpalestina ni mwarabu???

Au muisraeli hamchukii mpalestina??
 
Kwahiyo na muisraeli anamchukia mpalestina sababu mpalestina ni mwarabu???

Au muisraeli hamchukii mpalestina??
Chanzo kikuu cha chuki ni kugombania ardhi
 
Back
Top Bottom