Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Maziwa na asali vipatikane Tandahimba kwa kina Harmonize, vishindwe kupatikana huko Israel ambapo hata kiuchumi wametuzidi
Upo uwezekano wa bidhaa flani ikapatikana tandahimba na ikawa haipo kabisa huko israel
 
mashehe wanasemaga ishmael ndio alichinjwa, mohamed alijitahidi sana kubadilisha Torah na injili, lakini alishindwa. kwenye Tourati na kwenye injili, Isaka ndio alikaribia kuchinjwa. pia kwenye vitabu hivyo ndiko tunapata hata mipaka ya ardhi Mungu aliwapa waisrael na kuna ushahidi hadi leo. sasa Kuran ilikuja kujaribu kubadilisha kila kitu in their favour wakashindwa, tangu lini mtoto wa kamba akampenda mtoto wa kwenye ndoa ambaye amepata urithi wote mnono yeye wa kambo akaambulia falme 12 tu? yaani mwenzako (isaka) amepewa urithi wote, hakuna kilichobaki, Ibrahim akauliza sasa huyu mtoto wa kambo mbona hujampa, Mungu akasema huyu atakuwa na uzao mkubwa, nitamfanya kuwa na falme 12. basi, ila mali (ardhi) amenyimwa. uhasama mkubwa ulianzia hapo, na kizazi chote cha ismail kikawa adui kwa kizazi cha kiyahudi (watoto wa yakobo ambaye ndiye israel mtoto wa Isaka mtoto wa kwenye ndoa wa Ibrahim).

ushahidi kwamba kuran ilikuwa imeletwa mahsusi kubadilisha Biblia ni ushahidi kwasababu mfano, Torah ya kiyahudi iko vilevile na kwenye lugha ile ile haijawahi kubadilishwa, na kwa lugha ile ile ukilinganisha na Biblia, vinafanana. ika Kuran ilikuja miaka zaidi ya 1500 huko baada ya Yesu inajifanya kupindisha vitu vilivyohifadhiwa karne kibao.
Asante Mkuu hili jambo nimekuwa nashindwa kulielewa sasa umenipa elimu, ubarikiwe
 
Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.

Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Aisee .. em hili litokee hata kesho..
 
Mkuu unaweza ukatuthibitishia pasi na shaka kuwa
1. Yule kijakazi wa Ibrahim alikuwa mwarabu
2. Waarabu Hawa wa leo wametokana na Ishmael
3. Wapalestina wa leo ndio wale wacanaan wa kale?
 
Mkuu Isiaka hajawai kuwa mwanae we pekee wa ibrahim!! Mkuu nadhan unaelewa neno Pekee maana yake!

Kati ya mtoto wa kwanza na wa pili yupi mtoto wa aliekuwa wa pekee hapo
Hii kitu ya mtoto wa kambo na wa kweli ilikuwepo. Ukioa mkeo atakuwa na wanao ukimpa kijakazi mimba hujatoa mahali si wako
 
Attachments

  • Screenshot_20231010-122017.png
    Screenshot_20231010-122017.png
    27.2 KB · Views: 4
Mkuu unaweza ukatuthibitishia pasi na shaka kuwa
1. Yule kijakazi wa Ibrahim alikuwa mwarabu
2. Waarabu Hawa wa leo wametokana na Ishmael
3. Wapalestina wa leo ndio wale wacanaan wa kale?
Mjàkazi alikua mmisri,wamisri
Wapalestine kuna mchanganyiko wa caananites(wamoabu,waamorri,hittite,etc,hadi wafilisiti.
Sio waarabu wote ni uzao wa ishmael
 
Hajra alikuwa mmisri. Ibrahim alikuwa toka Irani ya sasa. Israel imezalliwa ilitokea misri. Hivyo mwarabu ni mwagrika na Muiran.
Kuna uwongo mkubwaa kwenye maandiko eti wana wa Ham ni CushEgypt,,Put na caanan,,
Ni uongo hsyo yote ni majine ya tawala mbalimbali za wakati bible inaandikwa,
Cushite kingdom,Egypt kingdom,Putland ilikua province ya Egypt na pia caanan ilikuwa province ya Egypt, together with Amurru(amorite),
Caanan eti alikua na mtoto aitwae Sidon, wakati sidon ni mji wa kale huko lebanon,
Hittite alikua mtoto wa caanan,ni uongo,Hittite ni ilikuwa kingdom ya Hatland.
Eti wana wa shem
Aram ukweli Aram kingdom ni utawala wa miaka mingi kabla Abraham hajazaliwa na ulikua umebase Damusca ,syria,

Mtoto mwingine wa shem ni Ashur,,ni uongo,Ashuri ni Asyria empire iliyonyanyuka baada ya Babylon empire kuanguka,🤫
 
Pale Vatican kuna vitabu vyote pale nanhawataki kuvitoa. Unless upate vitabu vya wamisri ndio utajua ukwi. Kifupi kuna mambo mengi yanaleta puzzle?. Mfano wapi walipo ndugu wa Abrahamu akina Lutu. Ndugu wa Ishamael wako wapi ?. Au je ni kweli nchi aliyekuwepo Hajra baada ya kutoka kwa Ibrahim haikuwa na watu ? Je walikuwa kabila gani?
 
It doesn't matter nachojua wayahudi walitenga wayahudi wenzao kwa kuwaita WaSamaria kisa walizaliwa kwa mixture ya wayahudi na wanawake wa kiarabu na kipersia.

Sasa kivp we useme ukoo wa mwabamked doesn't matter wakati wayahudi wenyewe wali take serious
Sio kweli,,wasamari ni raia wa israel kingdom ambako mji wa mkuu ulianzishwa pale samaria na mfalme omri na baadae king Ahab,hawa baadhi walichukuliwa utumwani baada ya Asyrian's kuungusha utawala wa israel kingdom na Aram kingdom baada ya tawala hizo mbili kuuvamia utawala wa yuda(judah kingdom),ambao ulikuwa ni vassal state ya Asyrian empire.
Hivyo wale waliobaki baaca ya usawala wa israel kingdom kuangushwa ndo walikuja kujulikana kama WASAMALIA..
 
Pale Vatican kuna vitabu vyote pale nanhawataki kuvitoa. Unless upate vitabu vya wamisri ndio utajua ukwi. Kifupi kuna mambo mengi yanaleta puzzle?. Mfano wapi walipo ndugu wa Abrahamu akina Lutu. Ndugu wa Ishamael wako wapi ?. Au je ni kweli nchi aliyekuwepo Hajra baada ya kutoka kwa Ibrahim haikuwa na watu ? Je walikuwa kabila gani?
Wanasema Hsjira aliangaika jangwani na mtoto ishmael mgongoni,,😄wakati kipindi hjira anafukuzwa tayari ishmael slikua karibu miak 20 asee🙆,
Sasa sijui hajra ilikuwaje akabeba jitu zima mgongoni,🤔
Wanasema Abraham alikuwa na mke super sana,Sara hadi mfalmeAbumalik wa wafilist akataka kulala nae,,wakatimaandiko yanadai sara alikuwa ni kikongwe wa miaka 90 asieweza kuzaa
 
Hapo kachanganya pia angetuambia Hajilah alikuwa mwarabu wa nchi gani pia atuambie Ibrahim alikuwa nani kabla ya wana wa Yakobo (Israel)[emoji120]

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Anatakiwa afanye research ya Arabisation,isilamisation,,
Hizi kabila huendd zina evolution with time,hata wasukuma enzi hizo hawakuwepo,hata kiswahili hskikuwepo,jamii mpya huzaliwabaada ya muingiliano wa jamii mbalimbali with time,,
Hata kiebrania kinachoongewa leo ni tofauti na cha zamani,
Cha leo kimeibuka miaka ya 1800
 
Wewe ni mchochezi. K
Anatakiwa afanye research ya Arabisation,isilamisation,,
Hizi kabila huendd zina evolution with time,hata wasukuma enzi hizo hawakuwepo,hata kiswahili hskikuwepo,jamii mpya huzaliwabaada ya muingiliano wa jamii mbalimbali with time,,
Hata kiebrania kinachoongewa leo ni tofauti na cha zamani,
Cha leo kimeibuka miaka ya 180
 
Wanasema Hsjira aliangaika jangwani na mtoto ishmael mgongoni,,😄wakati kipindi hjira anafukuzwa tayari ishmael slikua karibu miak 20 asee🙆,
Sasa sijui hajra ilikuwaje akabeba jitu zima mgongoni,🤔
Wanasema Abraham alikuwa na mke super sana,Sara hadi mfalmeAbumalik wa wafilist akataka kulala nae,,wakatimaandiko yanadai sara alikuwa ni kikongwe wa miaka 90 asieweza kuzaa
Kwani wakati huo Isaka alikuwa ameshazaliwa?
 
Kwani wakati huo Isaka alikuwa ameshazaliwa?
Isaac alizaliwa miaka 14 baada ya ishmael,,wakati isaack na ismael wanagombana na kupelekea hajira na mwanawe kufukuzwa,tayari isaack alikua na walau miaka 5,🤗which means ishmael alikua karibu 20 years old
 
Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.

Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.

Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.

Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.

Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.

So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.

Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.

Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.

Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.

So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.

Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.

Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.

Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.

Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.

Hapa kuna jambo moja.

Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.

Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Elimu haina mwisho
 
Isaac alizaliwa miaka 14 baada ya ishmael,,wakati isaack na ismael wanagombana na kupelekea hajira na mwanawe kufukuzwa,tayari isaack alikua na walau miaka 5,🤗which means ishmael alikua karibu 20 years old
I mean sodom and gomorrah isaka hakuwepo?
 
Back
Top Bottom