Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Hajra alikuwa mmisri. Ibrahim alikuwa toka Irani ya sasa. Israel imezalliwa ilitokea misri. Hivyo mwarabu ni mwagrika na Muiran.
 
Huwezi pata majibu ya haya maswali kwa vitabu vya hadithi na masimulizi....

All in all unaenda kuchukua ardhi ya mwenzako wakati nchini kwako hujamaliza changamoto za wananchi wako? Does this make sense?? Logically & reasoning
 
Hajra alikuwa mmisri. Ibrahim alikuwa toka Irani ya sasa. Israel imezalliwa ilitokea misri. Hivyo mwarabu ni mwagrika na Muiran.
Hajra anahusikaje hapo?? Tunamuongelea ismail ,uarabuni hawafati ukoo wa mama,pia iran sio waarabu wala hawaongei kiarabu ni waajemi wanaongea aramaic
 
Hajra anahusikaje hapo?? Tunamuongelea ismail ,uarabuni hawafati ukoo wa mama,pia iran sio waarabu wala hawaongei kiarabu ni waajemi wanaongea aramaic
Mama Ishamel anaitwa nani?. Yule aliyekuwa na mwanawe jangwani. Au hujui hata alipoambiwa atakuwa taifa kubwa. Soma vitabu vyote ujue.
 
Hicho ndio ukweli ibrahim alikuwa mwajemi na kujakazi hajra alikuwa mmisri.
Hajra anahusikaje hapo?? Tunamuongelea ismail ,uarabuni hawafati ukoo wa mama,pia iran sio waarabu wala hawaongei kiarabu ni waajemi wanaongea aramaic
 
Mwarabu anamchukia muisraeli kwa sababu muisraeli si mwarabu

Hii Kali asee
 
Mwarabu anamchukia muisraeli kwa sababu muisraeli si mwarabu

Hii Kali asee
Hujawai kusikia ubaguzi wa utaifa, au wa rangi... Mbona ujiulizi Muafrika kuchukiwa na Mzungu

Kuchukiwa kwa sababu wewe sio wa jamii fulani ni jambo la kawaida... Fatilia taarifa mbalimbali utaona, watu wanachukiana kisa si wadini fulani, sembuse hii ya wewe kuwa si muarabu
 
Huyu analeta hadidhi za Bibili, alafu anataka kuaminisha watu wote, wasiamini imani yake na hata wasiokua na imani na hizi dini.
 
Mama Ishamel anaitwa nani?. Yule aliyekuwa na mwanawe jangwani. Au hujui hata alipoambiwa atakuwa taifa kubwa. Soma vitabu vyote ujue.
Nimekwambia mama wa kazi gani hapa? Hatutaki kusikia habari za mama maana kwenye ukoo mama hausiki.waarabu ,wasrael na mashariki ya kati yote mwanamke hata kuhesabiwa tu ni marufuku so ongelea ukoo wa baba achana na habari za wanawake.
 
Kwani Chief Borito Wanjagi, babu yake na Nyerere, alikuwa Mtanzania au sio Mtanzania?
 
Umeanza vizuri umemalizia kijinga sana
 
Nimekwambia mama wa kazi gani hapa? Hatutaki kusikia habari za mama maana kwenye ukoo mama hausiki.waarabu ,wasrael na mashariki ya kati yote mwanamke hata kuhesabiwa tu ni marufuku so ongelea ukoo wa baba achana na habari za wanawake.
Tupe unavyoelewa wewe. Kuwa huyu mwarabu alitokea wapi
 
Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.
Punguza upotoshaji kwani waisrael ni watoto wa Abraham au Yakobo? Maana kama ni Abraham ana watoto wengi na wajukuu kibao nje ya Yakobo nao ni waisrael?

Tukirudi kwa Yakobo kumbuka alizaa na wajakazi wawili walitoka Syria ina maana hata hao wayahudi ni mixture ya Yakobo na Assyria sasa unaposema waisrael sio waarabu kivipi? Nachojua Israelites na Syrians or Egyptians wote ni SEMITES ni JAMII moja.

Ugomvi wa hapo ni wa kidini zaidi kuliko vinasaba otherwise Iran wangekua partners na Israel
 
Unaposema ibrahim ni muisrael unamaanisha alizaliwa baada ya isaka (israel)?
Kwani Isaka ndiye Israel? Utakuwa unachanganya madesa, Israel ni Yakobo mtoto mdogo wa Isaka! Kwa ufupi Ibrahim anapaswa aitwe Myahudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…