Black listed
Senior Member
- Apr 6, 2023
- 181
- 260
Hii sio kweli, Isaka na Ishmael hawakuzidiana sana kiumri. Wakati Sarah (mkewe Ibrahim) anamfukuza kijakazi wake na mwanawe, Ishmael alikuwa bado ndogo sana.Isaac alizaliwa miaka 14 baada ya ishmael,,wakati isaack na ismael wanagombana na kupelekea hajira na mwanawe kufukuzwa,tayari isaack alikua na walau miaka 5,🤗which means ishmael alikua karibu 20 years old
nikuletee andiko,ishmael alikua karibu miaka 20 wakati wanaondoka kwa mzée abrahamHii sio kweli, Isaka na Ishmael hawakuzidiana sana kiumri. Wakati Sarah (mkewe Ibrahim) anamfukuza kijakazi wake na mwanawe, Ishmael alikuwa bado ndogo sana.
Maandiko yanasema, baada ya kufukuzwa, walitembea umbali mrefu sana, na wakiwa njiani waliishiwa chakula na maji. Ilifika wakati, mama na mtoto (Ishmael) walishikwa na njaa na kiu kali, na kuishiwa na nguvu kiasi cha mama kuona mwanaye anakufa.
Mama alikata tamaa, na akamlaza mtoto chini akisubiri afe. Ndipo Mungu alifanya maajabu, mama alipogeuka tu akaona chemchemi ya maji yakibubujika. Akachukua kibuyu chake, akateka maji, akanywa yeye na mengine akamnywesha mwanaye. Hapo wakapata nguvu, mama akambeba mtoto na kuendelea na safari.
Kwa maelezo hayo, unaweza kuona kuwa Ishmael alikuwa bado mdogo, maana alibebwa na mama yake wakati wote wa safari. Tunaweza kusema, wakati huo, Isaka alipozaliwa, Ishmael hakuzidi miaka miwili.
Caanan lilikuwa jimbo la Egypt kingdomEgypt ni Misri, lakini caanan ndio Israel, nchi ya ahadi waisraeli walipotoka utumwani Misri kwa Farao wakiongozwa na Musa
Genesis 16:15-hajra alimzaa ishmael wakati abraham ana miska 86,Hii sio kweli, Isaka na Ishmael hawakuzidiana sana kiumri. Wakati Sarah (mkewe Ibrahim) anamfukuza kijakazi wake na mwanawe, Ishmael alikuwa bado ndogo sana.
Maandiko yanasema, baada ya kufukuzwa, walitembea umbali mrefu sana, na wakiwa njiani waliishiwa chakula na maji. Ilifika wakati, mama na mtoto (Ishmael) walishikwa na njaa na kiu kali, na kuishiwa na nguvu kiasi cha mama kuona mwanaye anakufa.
Mama alikata tamaa, na akamlaza mtoto chini akisubiri afe. Ndipo Mungu alifanya maajabu, mama alipogeuka tu akaona chemchemi ya maji yakibubujika. Akachukua kibuyu chake, akateka maji, akanywa yeye na mengine akamnywesha mwanaye. Hapo wakapata nguvu, mama akambeba mtoto na kuendelea na safari.
Kwa maelezo hayo, unaweza kuona kuwa Ishmael alikuwa bado mdogo, maana alibebwa na mama yake wakati wote wa safari. Tunaweza kusema, wakati huo, Isaka alipozaliwa, Ishmael hakuzidi miaka miwili.
Wakati wa Abraham hadi moses, Egypt ndio ilikuwa super power eneo lote hilo na walikuwa na influence hadi caanan,kwa maana kuwa wao ndo waliteua machief wa kutawala huko caanan kwa niaba yao,hivyo si kweli kuwa moses aliwatoa utumwani misri eti wakaja caanan,,ambayo kimsingi ilikuwa ni province ya Egypt,,Mama wa Ismael hakuwa
Mwaarabu soma Historia waarabu walikuwa sehemu Tofaut na Misri
Kumbuka israel walikuwa utumwan misri ya firauni yaan farao.. na sio waarabu
Waarabu wameingia misri baadae sana baada ya tawala za farao kuanguka
Roma au warumi wamwchangia tawala nyingi kuanguka na baada ya wao kuanguka makolon yao yakawa shqmba la bibi mqenyw nguvu anaingia kutawala..
Wasamalia ni waisrael wa iliyokuwa ikiitwa israel kingdom ambayo makao makuu yake yalikuwa mji wa samaria,uliojengea na king omri,,It doesn't matter nachojua wayahudi walitenga wayahudi wenzao kwa kuwaita WaSamaria kisa walizaliwa kwa mixture ya wayahudi na wanawake wa kiarabu na kipersia.
Sasa kivp we useme ukoo wa mwabamked doesn't matter wakati wayahudi wenyewe wali take serious
Abraham mwenyewe asili yake ni syria,,mke wake pia sara nae ni syria,Punguza upotoshaji kwani waisrael ni watoto wa Abraham au Yakobo? Maana kama ni Abraham ana watoto wengi na wajukuu kibao nje ya Yakobo nao ni waisrael?
Tukirudi kwa Yakobo kumbuka alizaa na wajakazi wawili walitoka Syria ina maana hata hao wayahudi ni mixture ya Yakobo na Assyria sasa unaposema waisrael sio waarabu kivipi? Nachojua Israelites na Syrians or Egyptians wote ni SEMITES ni JAMII moja.
Ugomvi wa hapo ni wa kidini zaidi kuliko vinasaba otherwise Iran wangekua partners na Israel
Sidhani,wakati wa david hakukua na uyahudi,,mfalme Josia ndo alianza kukusanya maandiko ya wazee wa zamani wa kiyahudi,lakini hakufika mbali katika vita vyao na wamisri,King Josia aliuawa,,baadae sana Yudah kingdom walikuja kuangushwa na wababel,,baada ya wayahudi kukataa ku pay tribute kwa babel na kuonekana wanaegemea upande wa misri,,ndiposaa wakachukuliwa utumwamwani babel,kwa miaka mingi,,huko ndiko dini ya kiyahudi ilianza kutake form na wakiadopt baadhi ya imani za wababeli,,Hakukuwa na uarabu. Uru kwa wakalidayo na hakuna myahidi. Uyahudi imekuja baada ya king david
Mwanzo 21 : 8 -21Genesis 16:15-hajra alimzaa ishmael wakati abraham ana miska 86,
Genesis 17:24-25---ismael alikua na miaka 13 wakati Abrahamu akiwa na 99 walipotahiliwa wote wawili.
Genesis 21:5---Abraham alikua na miaka 100, Sara mke wake alipomzaa Isaack,
Hivyo ishmael alimzidi Isaac miaka 14,
Wakati isaac na ismael wanagombana na kupelekea ismael na mamake Hajra kufukuzwa,,ina maana tsyari Isaac amekua na atleast miska 5,
Hivyo tunaweza kuona ishmael aliondoka na mamake tayari akiwa ABOVE 18 years old,
Sasa nambie ilikuaje Hajra abebe zee zima mgongoni?😀😀
Vipi mke wake halali anaitwa Keturah alizaa naye wana wa kiume kama watatu hivi. Je hao hawana baraka za Abraham? Yaani hawakuwa na urithi?Ibrahimu Kwa mkeww wa ndoa alimzaa Isaka
Uri ya wakaldayo ni irak sio iraniMusa ndio alikua mwisrael lakini Ibrahim hakuna mwisrael Bali alitoka nchi inaitwa uri ya wakaldayo amabayo wachambuzi wanasema ni eneo la iran
Upo nondo . Salute.Sidhani,wakati wa david hakukua na uyahudi,,mfalme Josia ndo alianza kukusanya maandiko ya wazee wa zamani wa kiyahudi,lakini hakufika mbali katika vita vyao na wamisri,King Josia aliuawa,,baadae sana Yudah kingdom walikuja kuangushwa na wababel,,baada ya wayahudi kukataa ku pay tribute kwa babel na kuonekana wanaegemea upande wa misri,,ndiposaa wakachukuliwa utumwamwani babel,kwa miaka mingi,,huko ndiko dini ya kiyahudi ilianza kutake form na wakiadopt baadhi ya imani za wababeli,,
Hatimae utawala wa babeli ukaja kuangushwa na waajemi(persia),mfalme wa uajemi ndio alietoa ruksa kwa Ezra na wayahudi wote kufejea caanan na pia alitoa pesa za kujengwa upya hekalu la solomon,,ni wakati wa Ezra ndipo imani ya kiyahudi ilipoanza kuota mizizi na mtawala wa Persia king cyrus alituma watu kutoka uajemi kuwafundisha watu dini kwa mujibu wa bible
😀,Ndugu yangu,hutaki kuelewa tu,,hiyo story ni hekaya,,,waandishi walijichanyanya na waliofanya editing walipitiwa,,shida ndo iko hapo,,,🤗Mwanzo 21 : 8 -21
Hajiri akamlaza kijana chini, naye akaenda kukaa mbali kiasi cha mtupo wa mshale (kwa makadirio ni kama metre 10), ili asimwone wakati akifa.
Malaika akamwambia Hajiri, kijana atakuwa baba wa mataifa, hivyo hawezi kufa. Alipotazama, akaona kisima cha maji, akasogea, akajaza kiriba (kibuyu), akamwinua kijana, akamnywesha, wakaendelea na safari.
Wakafika jangwani, na wakaweka makazi yao hapo. Wakiwa huko jangwani, kijana aliendelea kukua mpaka kufikia umri wa kuoa. Alipofikia umri wa kuoa, mama yake alimtafutia mwanmke kutoka Misri (kumbuka Hajiri alikuwa ni Mmisri).
Sasa maswali:
1. Kama Ishmael alikuwa na umri wa miaka 18 wakati wanafukuzwa, mbona tunaambiwa walipoishiwa chakula na maji, Hajiri alimlaza kijana chini, na yeye kwenda umbali wa mtupo wa mshale ili asimwone akifa. Ina maana chakula alikuwa anakula peke yake na kumnyima kijana, na hivyo yeye (Hajiri) kutoathirika na njaa, bali kijana peke yake? Na alimlazaje kijana wa miaka 18? Kwani asingeweza kulala peke yake?
2. Alipoonyeshwa kisima (Hajiri), akajaza kiriba maji, halafu akamnywesha kijana. Hivi kijana wa miaka 18 ni wa kunyweshwa maji? Yeye hakuweza kukamata kiriba na kunywa mwenyewe?
3. Tunaambiwa kijana aliendelea kukua (huko jangwani) mpaka akafikia umri wa kuoa. Je, kama walifukuzwa Ishmael akiwa na umri wa miaka 18, kwanini tuambiwe kijana aliendelea kukua wakati umri wa miaka 18 ni tayari mtu mzima? Na kumbuka mama yake Ishmael alikuwa ni Mwarabu, na maumbile ya waarabu unayajua yalivyo makubwa. Sasa piga picha kijana wa Kiarabu wa miaka 18 atakuwaje; hana tofauti na wale Waarabu waliocheza na kuwafunga Yanga jana. Halafu tuambiwe alikuwa anaendelea kukua?!
Ni wazi kuwa, Ishmael na mama yake walifukuzwa akiwa mdogo sana!