Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Waarabu ni marufuku kabisa kufata ukoo wa mama,kwanza mwanamke kule hatakiwi hata kusogea mbele za watu.
Lakini kwa waarabu wanamwita baba wa waarabu kwa sababu mama yake alikuwa muarabu
 
Mada yake iko sahihi isipokuwa tu aliposema Ibrahim alikuwa Muisrael
 
Unaltuazimisha kuwa unaelewa kumbe mwenye empty. Musa hajazaliwa katika nchi ya Kiaarabu nawaakaji wa Misri na mafarao wao hawakuwa waarabu, bali Waafrika weusi. Waarabu Misri waliingia karne ya Sita baada ya Kristo. Kwa mantiki hiyo kama Hajira ni Mmisri basi na yeye siyio Mwaarabu bali Mkushi.
 
Mungu wa makundi haya mawili hafanani,hatuwezi ku-conclude kuwa tunaabudu Mungu mmoja.
 
Nani kasema Musa Pharaoh na Musa ni waarabu.... Acha kukurupuka, rudia soma kisha uelewe, ukichukua point bila kusoma kwa umakini lazima upuyange kama unavyopuyanga sasa
 
Nani alikwambia Pharaoh walikuwa watu weusi 😂 tupe uthibitisho kuwa Pharaoh ni mtu mweusi
 
Waisraeli maana yake wayahudi ndani ya Israel... Ni kama Mababu zetu waliofariki kabla Tanzania haijaitwa Tanzania, kina Mkawa hawajui hata neno Tanzania ila tunawahita Watanzania
Bado unajichanganya ukisema wayahudi wakati Yahudi wametokana na kabila la Yuda ambalo ni.mtoto wa Israel au yakobo na neno yehud ndo Yuda
 
Bado unajichanganya ukisema wayahudi wakati Yahudi wametokana na kabila la Yuda ambalo ni.mtoto wa Israel au yakobo na neno yehud ndo Yuda
Wewe ndio utaki kuelewa... Hayo yanayokuchanganya wewe ni majina tu Israel, wayahudi yote ni mule mule.

Mbona Mkwawa mnamuita Mtanzania, kwani mkawa alizaliwa Tanzania hipi, maana mpaka anakufa hajui Tanzania na wala hakukuwa na Tanzania wala Tanganyika... Zilikuwa ni koo na falme tu... Lakini mbona leo tunamuita ni mtanzania 😂😂😂

Majina yasikuchanganye mtu wangu
 
Ni wapi palipoandikwa kua adamu alikua mweusi?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Waisraeli maana yake wayahudi ndani ya Israel... Ni kama Mababu zetu waliofariki kabla Tanzania haijaitwa Tanzania, kina Mkawa hawajui hata neno Tanzania ila tunawahita Watanzania
Are you sure? Maandiko yote yanasema Adam ndo wa kwanza kuumbwa, Sasa kwan Adam alikua mwsrael? Tupe the origin ya Taifa la Israel
 
Are you sure? Maandiko yote yanasema Adam ndo wa kwanza kuumbwa, Sasa kwan Adam alikua mwsrael? Tupe the origin ya Taifa la Israel
Kwa mujibu wa kitabu cha Dini ya kikristo... Adamu ndio alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa... Sijui Dini yenu wewe inasema nani aliumbwa wa kwanza... Maana siku hizi Dini ni nyingi
 
Baba wa Waraabu kivipi na huku mama ake tayar alikuaa Mwarabu, means generation ya waarabu ilishaukuwepo hata kabla ya Ismail. Kasome tena
Ngoja nikurufishie swali! Kwani Ibrahim anapoitwa Baba wa Mataifa mengi ina maana hakukuwa na mataifa hapo mwanzo?
 
Kwa mujibu wa kitabu cha Dini ya kikristo... Adamu ndio alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa... Sijui Dini yenu wewe inasema nani aliumbwa wa kwanza... Maana siku hizi Dini ni nyingi
Soma nilichokiandikaa vzur
 
Wanasema uarabu ni imani kama ilivyo kwa Uyahudi. Ndo maana na wasomali weusi tii tii tii na wao ni waarabu. Jibuti ya wakushi nao wanajiita Waarabu. Uaarabu ni Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…