Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi waache kuumauma maneno juu ya Ushoga, kwanini wanapenda maneno ya kisiasa kila wanapoulizwa.Binafsi maelezo yako nimeyaelewa vizuri,suala la kuyakubali ni jambo lingine,ila kuelewa nimeyaelewa.
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba papa ameruhusu mashoga wabarikiwe sio kwa sababu ya ushoga wao bali ni kwa sababu ya kuwa wao ni binadamu kama binadamu wengine.
Kwa maana kama ambavyo mwizi akienda kanisani anataka baraka kwa jambo lake ambalo halihusiani na wizi basi padre atambariki na baraka hizo haziendi kwenye kubariki wizi wake huo.
nimeelewa vyema kwamba ushoga ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine za wizi,uzinifu,ufisadi n.k
Hivyo kama mwizi,mzinifu,fisadi,mla rushwa huwa wanaenda kanisani kupata baraka tena sio baraka za kubariki dhambi hizo basi na shoga nae pia anayo haki hiyo kupata baraka hizo ambazo hazihusiani na kubariki ushoga.
HOja hizi zina make sense kwa kila mtu lakini nadhani wapo watu ambao watachukuahii kama fimbo ya kuchapa watu fulani.
Baadhi yetu wa dini isiyokuwa ukristo tutatumia fimbo hii kuwachapia wakristo.
Na hata wasioamini dini watatukia hii kama fimbo kuwachapa watu wa dini.
NA pengine hata wakristo ambao sio wa dhehebu hilo watatumia hiyo kama fimbo kuwachapa watu wa dhehebu hili.
Machoko mmefurahi kweliFuata maelekezo ya kiongozi wako, tafuta bwana uoleweView attachment 2847674

Wewe akili huna.Hakuna popote Pope karuhusu ndoa za jinsia moja, tusome kwa kuelewa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Umejibu bila kusoma kilicho andikwaKamati ya ufafanuzi ya Gerison Msigwa mmeingia kazini.
Kwamba wewe ndio umeelewa vizuri waraka wa papa ila wengine wanapotosha, sio?
Hakuna kilichopotoshwa, Papa kaamuru mashoga wakabarikiwe kanisani.
Kwa ujumla kanisa katoliki limeruhusu ndoa za jinsia moja. Mashoga wanaweza kuoana huko, wakaja kanisani kubarikiwa ama kubariki ndoa yao iwe takatifu inayopendeza machoni pa bwana😂 kwani imepata baraka zake kutoka kwa watumishi na wapakwa mafuta wake.
Kwa maana nyingine Kanisa limeruhusu sasa waumini mpakwe mafuta makalioni na wapaka mafuta wa bwana
Wakatoliki sasa mfirano ni rasmi. Wale mapadri waliokua wanafira watoto sasa wameruhusiwa rasmi kufirana na kila mtu
Hii taarifa haipo BBC tu na kama inarudiwa rudiwa sababu ni kanisa kuruhusu hilo. Nia ni kulifanya lizoeleke masikioni mwa kondoo.Hii ni vita Kati ya Freemason na Jesuit, media zote kubwa zinamilikiwa na Illuminati.
Hakuna hata mtu mmoja Tanzania utakayemuuliza ulimsikia Kwa masikio yako Papa ameongea nini? hakuna hata mmoja atakayekujibu amemsikia Papa.
Watu wasiojuwa nguvu ya mashoga hawawezi kuelewa kinachoendelea na hii siyo habari ya Leo inarudiwa rudiwa Tu na chombo kikuu kinachotumiwa ni BBC.
BBC ni Uingereza, kanisa Lao ni Church of England Anglican wao walishamalizana nao, Kwa sasa kikwazo ni Vatican, wenye akili timamu wacha tukae pembeni tuone kwenye vita hii Nani ataibuka mshindi.
Ila ni fursa nzuri Kwa Manabii na mitume wa Leo kina Mwamposa kupata wafuasi zaidi.
Baraka sio sacrament ,hiyo ni kwa watu wote,ata jambazi akiiba akienda kwa padri,akiomba baraka atapewa,,umeona gari ukaenda kanisani kulibariki,litabarikiwa,kwa hiyo jambazi aliyeiba,padri hati angalia atambariki Kama wengine ,bila kuuliza dhambi yake,kupitia baraka atapata neema za Mungu,Kama ana dhambi atajirudi kwenye toba.Wewe akili huna.
Kama hajaruhusu, anawabariki ili iweje?
Utabariki kitu ambacho hujakiruhusu?
Wafia dini mtakuja na ufafanuzi mbalimbali ila ukweli uko pale pale kwamba papa karuhusu ushoga ubarikiwe kanisani.
Kitimoto huli ila mchuzi wa kitimoto unakunywa.
Kanisa limekuwa VUGUVUGU.Binafsi maelezo yako nimeyaelewa vizuri,suala la kuyakubali ni jambo lingine,ila kuelewa nimeyaelewa.
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba papa ameruhusu mashoga wabarikiwe sio kwa sababu ya ushoga wao bali ni kwa sababu ya kuwa wao ni binadamu kama binadamu wengine.
Kwa maana kama ambavyo mwizi akienda kanisani anataka baraka kwa jambo lake ambalo halihusiani na wizi basi padre atambariki na baraka hizo haziendi kwenye kubariki wizi wake huo.
nimeelewa vyema kwamba ushoga ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine za wizi,uzinifu,ufisadi n.k
Hivyo kama mwizi,mzinifu,fisadi,mla rushwa huwa wanaenda kanisani kupata baraka tena sio baraka za kubariki dhambi hizo basi na shoga nae pia anayo haki hiyo kupata baraka hizo ambazo hazihusiani na kubariki ushoga.
HOja hizi zina make sense kwa kila mtu lakini nadhani wapo watu ambao watachukuahii kama fimbo ya kuchapa watu fulani.
Baadhi yetu wa dini isiyokuwa ukristo tutatumia fimbo hii kuwachapia wakristo.
Na hata wasioamini dini watatukia hii kama fimbo kuwachapa watu wa dini.
NA pengine hata wakristo ambao sio wa dhehebu hilo watatumia hiyo kama fimbo kuwachapa watu wa dhehebu hili.
Usipotoshe!! Vyombo vyote vya habari vimeripoti habari ya Papa kutoa uamuzi wa kubariki ndoa za jinsia moja!! Ona hapa:Kristo.
Kuhusu wapenzi wa jinsia Moja Papa anasemaje?
Ukweli uko hapa!
"Fiducia suplicans". Ni barua alioandika papa juu ya maana ya Baraka katika uchungaji.
"On the pastoral meaning of blessings"
Katika barua hiyo papa aliandika kujibu maswali ambayo watu wanauliza Sana Kanisa sasa, juu ya msimamo wa kanisa juu ya wapenzi wa jinsia Moja na ndoa za Jinsia Moja. Maana Kila papa katika kipindi chake analazimika kujibu maswali ya kijamii yanayogusa Imani.
Fiducia suplicans n kilatini maanake " n kwamba tusimamie wapi? "On the pastoral meaning of blessing"
Makuhani tusimamie wapi katika maana ya kichungaji ya kutoa Baraka? Papa hazungumzii katika hii barua habari za ndoa ya jinsia Moja, bali Kwa ujumla barua yote anaelezea hasa maana ya Baraka na mapadre watoeje Baraka katika kipindi hiki chenye mchanganyiko wa watu "wema" wenye bidii na pia kipindi chenye maovu yake mchanganyiko.
ANGALIZO
Kwenye hiyo barua papa anatatua changamoto Moja kwamba je mtu huyo mdhambi anaeishi ndoa ya jinsia Moja je anahaki yakubarikiwa?
Hapo hashughuliki hasa na swali eti kubariki ndoa ya jinsia Moja, ameweka wazi kabisa kuwa haifai na haiwezekani.
Kwenye barua anajibu swali kwamba je mtu Mmoja anastahili kubarikiwa? Haisemi abarikiwe kwasabab yeye ni shoga hapana ila kwasabab yeye n mtu.
Kwa maana nyingine je Kanisa liwatenge watu ambao ni mashoga?
Swali hilo limetokea wapi? Huku ulaya nduguzanguni watu hupenda mtu Mmoja Mmoja anakwenda Kwa Padre anamwambia Padre nibariki. Sisi pia huwa mtu unakuta anasafiri anakwenda Kwa Padre, "baba naomba Baraka nasafiri". Padre anambariki. Mtu anapeleka mbegu za kupanda baba naomba Baraka, mwanafunzi anakwenda Kwa Padre baba nimeleta vifaa vyangu vya shule naomba baraka, Padre anabariki.
Watu wakamuuliza papa je mtu mdhambi akimwambia Padre baba naomba Baraka je padre akatae? Aseme Baraka ni Kwa ajili ya watu wema?
Papa akasema Kama akija mtu yoyote akaomba kubarikiwa basi Padre anaweza kumbariki hata kama anaishi dhambi zake kama huyo wa jinsia Moja. Wasibaguliwe kwamba Baraka n ya watu fulan wema
Lakini wasibarikiwe wakiwa wawili kama vile ni wanandoa! Ametoa tahadhari kubwa kuzuia fikra zozote kwamba tunawabariki kama vile Kanisa linaruhusu maisha yao hapana! Ndugu zanguni Baraka sio sakramenti. Ndio maana Padre baada ya Misa anabariki wote hatengi wema zaidi na wakosefu Zaidi. Ila sakramenti sio Kila Mmoja anaruhusiwa. Watu wa ndoa ya jinsia Moja wao pia wamejifungia masakramenti.
Kwa waraka huo Padre anaweza kubariki watu wakiwa katika kundi kama kanisani au kikundi Cha Sala au wasafiri, pia mtu Mmoja Mmoja Padre anaweza kumbariki bila kumuuliza hali yake ya dhambi, hata kama anajua huyo mtu anaishi hali yake ya dhambi Padre ambariki tu. Kwanini maana kupitia Neema za Mungu mtu huweza kubadilishwa pia.
Luka 15:1. Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.....
Ngoja tuone baadhi ya nukuu kwenye barua hiyo.
Maelezo hayo yapo kwenye barua hiyo "Fiducia suplicans". Sura ya III
"Blessings of Couples in Irregular Situations and of Couples of the same sex". Kiswahili. Baraka Kwa wanaoishi wawili/kama mume na mke katika mazingira yasiyokuwa ya kiutaratib (utaratib kulingana na Kanisa) na ya watu wanaoishi pamoja wa jinsia Moja kama vile ni mume na mke.
Sasa Kwa kichwa hicho Cha habari anasemea sio tu watu wa jinsia Moja bali hata wale ambao hawapo katika ndoa inayotambuliwa kikanisa. Mfano wachumba wasibariki ndoa, wengine wameolewa mitara wote wanahusishwa kwenye kundi hilo. Papa anasema wote Padre anaweza kumbariki tu mtu huyo mkosefu akija Padre ambariki lakin anatoa mkazo isifanyike Baraka rasmi kama vile n sakramenti. Wala wasijisikie kuwa wanahalalishwa hapana.
Nanakuu hiyo barua
No 31. Uwezekano wa kutoa Baraka Kwa watu kama hao......
32. "Indeed the grace of God works in the lives of those who do not claim to be righteous but who acknowledge themselves humbly as sinners, like everyone else.".
"Hakika Neema ya Mungu hufanya kazi katika maisha ya wale ambao hawajidai kuwa wenye haki, lakini wanaojikubali Kwa unyenyekevu wakosefu "
Papa anasema Baraka hiyo ni Neema ambayo Mungu ataitumia kuwaongoa lakini Neema ya Mungu hufanya kazi ndani ya mtu anaekubali Kwa unyenyekev kuwa yeye ni mdhambi. Watu hao wakubali kuwa wao n wakosefu wampe Mungu ushirikiano.
No 33 "This is a blessing that, although not included in any liturgical rite........, "Hii ni baraka ambayo, ingawa haijajumuishwa katika ibada yoyote ya kiliturujia,
No 36 In this sense, it is essential to grasp the Holy Father’s concern that these non-ritualized blessings "kwa maana hii ni muhimu kutambua mtazamo wa baba mtakatifu kwamba hizi baraka ambazo sio rasmi kama zingine za kwenye ibada........ hapa anaonyesha ni za kawaida sio rasmi kama za kwenye liturjia
39. In any case, precisely to avoid any form of confusion or scandal, when the prayer of blessing is requested by a couple in an irregular situation, even though it is expressed outside the rites prescribed by the liturgical books, this blessing should never be imparted in concurrence with the ceremonies of a civil union, and not even in connection with them. Nor can it be performed with any clothing, gestures, or words that are proper to a wedding
39. .......this blessing should never be imparted in concurrence with the ceremonies of a civil union, and not even in connection with them. Nor can it be performed with any clothing, gestures, or words that are proper to a wedding
Baraka hizi zisitolewe Kwa namna yoyote inayoendana na muunganiko kama ule wa ndoa na Wala hata Kwa mfanano zisiendane, Wala zisifanywe kama Kwa mavaz ya ndoa ama ishara au maneno ya kubariki ndoa.
Civil union n msamiati wanaotumia zaidi Kwa watu wa jinsia moja anasema Baraka hizo zisielekee Wala Kwa namna yoyote inayoashiria kitu kama hicho.
Anaependa uisome mwenyewe kwenye mtandao "Fiducia suplicans" kuanzia no 31. Itajitokeza Kwa kiitalianoa lakin mwanzo wa document kushoto kabisa wameorodhesha lugha ya kuchagua bofya " Testo in lingua linglese" itabadilika kuwa Kwa kiingereza.
Kwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?Baraka sio sacrament ,hiyo ni kwa watu wote,ata jambazi akiiba akienda kwa padri,akiomba baraka atapewa,,umeona gari ukaenda kanisani kulibariki,litabarikiwa,kwa hiyo jambazi aliyeiba,padri hati angalia atambariki Kama wengine ,bila kuuliza dhambi yake,kupitia baraka atapata neema za Mungu,Kama ana dhambi atajirudi kwenye toba.
Papa swala lolote kuhusu taamko la wakatoliki,anatoa kupitia barua,sio kwenye magazetiUsipotoshe!! Vyombo vyote vya habari vimeripoti habari ya Papa kutoa uamuzi wa kubariki ndoa za jinsia moja!! Ona hapa:
Pope approves blessings for same-sex couples that must not resemble marriage.
ROME (AP) — Pope Francis formally approved letting Catholic priests bless same-sex couples, the Vatican announced Monday, a radical shift in policy that aimed at making the church more inclusive while maintaining its strict ban on gay marriage.
But while the Vatican statement was heralded by some as a step toward breaking down discrimination in the Catholic Church, some LGBTQ+ advocates warned it underscored the church’s idea that gay couples remain inferior to heterosexual partnerships.
The document from the Vatican’s doctrine office elaborates on a letter Francis sent to two conservative cardinals that was published in October. In that preliminary response, Francis suggested such blessings could be offered under some circumstances if the blessings weren’t confused with the ritual of marriage.
Labda sio mkatoliki,kwa hiyo kuelewa kuhusu baraka inavyotolewa haujui,baraka ata kila baada ya misa hutolewa pia kwa waumini wote waliopo kanisani,bila kuangalia dhambi za mtu,ingekua inabagua dhambi basi ni wazi baraka zisingetolewa ,maana Hakuna mkamilifuKwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?
Kwa hiyo watakuja wanaume wawili ambao ni mtu na mke wake, mmoja amemshika mwenzie makalioni kama mkewe huku wakipokea baraka za paroko, sio?Baraka sio sacrament ,hiyo ni kwa watu wote,ata jambazi akiiba akienda kwa padri,akiomba baraka atapewa,,umeona gari ukaenda kanisani kulibariki,litabarikiwa,kwa hiyo jambazi aliyeiba,padri hati angalia atambariki Kama wengine ,bila kuuliza dhambi yake,kupitia baraka atapata neema za Mungu,Kama ana dhambi atajirudi kwenye toba.
Sio kweli kabla ya baraka unatubu na kua msafi,baraka sio sacramentiKwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?
Umeelewa vizuri kama mimi.Binafsi maelezo yako nimeyaelewa vizuri,suala la kuyakubali ni jambo lingine,ila kuelewa nimeyaelewa.
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba papa ameruhusu mashoga wabarikiwe sio kwa sababu ya ushoga wao bali ni kwa sababu ya kuwa wao ni binadamu kama binadamu wengine.
Kwa maana kama ambavyo mwizi akienda kanisani anataka baraka kwa jambo lake ambalo halihusiani na wizi basi padre atambariki na baraka hizo haziendi kwenye kubariki wizi wake huo.
nimeelewa vyema kwamba ushoga ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine za wizi,uzinifu,ufisadi n.k
Hivyo kama mwizi,mzinifu,fisadi,mla rushwa huwa wanaenda kanisani kupata baraka tena sio baraka za kubariki dhambi hizo basi na shoga nae pia anayo haki hiyo kupata baraka hizo ambazo hazihusiani na kubariki ushoga.
HOja hizi zina make sense kwa kila mtu lakini nadhani wapo watu ambao watachukuahii kama fimbo ya kuchapa watu fulani.
Baadhi yetu wa dini isiyokuwa ukristo tutatumia fimbo hii kuwachapia wakristo.
Na hata wasioamini dini watatukia hii kama fimbo kuwachapa watu wa dini.
NA pengine hata wakristo ambao sio wa dhehebu hilo watatumia hiyo kama fimbo kuwachapa watu wa dhehebu hili.
Icho ndio kilichokatazwa ,ata papa kapinga kwa watu wawili hao kwenda kuomba baraka ,kisha wapewe,imekatazwa kabisa kwa herufi kubwa,lakini akienda mmoja akiomba baraka,padri hatomuuliza kama yeye ni gasho au lah,atapatiwa baraka,apate neema ,Kama kujirudi aweze kujirudiKwa hiyo watakuja wanaume wawili ambao ni mtu na mke wake, mmoja amemshika mwenzie makalioni kama mkewe huku wakipokea baraka za paroko, sio?
Hizi dini hua zinawaondoa akili kabisa vichwani na kuwajaza mavi ama?
Wew kaa na ujinga wak na ujifariji Ila papa kamalizaa yey mwenyew anatafta wa kumlawitiKristo.
Kuhusu wapenzi wa jinsia Moja Papa anasemaje?
Ukweli uko hapa!
"Fiducia suplicans". Ni barua alioandika papa juu ya maana ya Baraka katika uchungaji.
"On the pastoral meaning of blessings"
Katika barua hiyo papa aliandika kujibu maswali ambayo watu wanauliza Sana Kanisa sasa, juu ya msimamo wa kanisa juu ya wapenzi wa jinsia Moja na ndoa za Jinsia Moja. Maana Kila papa katika kipindi chake analazimika kujibu maswali ya kijamii yanayogusa Imani.
Fiducia suplicans n kilatini maanake " n kwamba tusimamie wapi? "On the pastoral meaning of blessing"
Makuhani tusimamie wapi katika maana ya kichungaji ya kutoa Baraka? Papa hazungumzii katika hii barua habari za ndoa ya jinsia Moja, bali Kwa ujumla barua yote anaelezea hasa maana ya Baraka na mapadre watoeje Baraka katika kipindi hiki chenye mchanganyiko wa watu "wema" wenye bidii na pia kipindi chenye maovu yake mchanganyiko.
ANGALIZO
Kwenye hiyo barua papa anatatua changamoto Moja kwamba je mtu huyo mdhambi anaeishi ndoa ya jinsia Moja je anahaki yakubarikiwa?
Hapo hashughuliki hasa na swali eti kubariki ndoa ya jinsia Moja, ameweka wazi kabisa kuwa haifai na haiwezekani.
Kwenye barua anajibu swali kwamba je mtu Mmoja anastahili kubarikiwa? Haisemi abarikiwe kwasabab yeye ni shoga hapana ila kwasabab yeye n mtu.
Kwa maana nyingine je Kanisa liwatenge watu ambao ni mashoga?
Swali hilo limetokea wapi? Huku ulaya nduguzanguni watu hupenda mtu Mmoja Mmoja anakwenda Kwa Padre anamwambia Padre nibariki. Sisi pia huwa mtu unakuta anasafiri anakwenda Kwa Padre, "baba naomba Baraka nasafiri". Padre anambariki. Mtu anapeleka mbegu za kupanda baba naomba Baraka, mwanafunzi anakwenda Kwa Padre baba nimeleta vifaa vyangu vya shule naomba baraka, Padre anabariki.
Watu wakamuuliza papa je mtu mdhambi akimwambia Padre baba naomba Baraka je padre akatae? Aseme Baraka ni Kwa ajili ya watu wema?
Papa akasema Kama akija mtu yoyote akaomba kubarikiwa basi Padre anaweza kumbariki hata kama anaishi dhambi zake kama huyo wa jinsia Moja. Wasibaguliwe kwamba Baraka n ya watu fulan wema
Lakini wasibarikiwe wakiwa wawili kama vile ni wanandoa! Ametoa tahadhari kubwa kuzuia fikra zozote kwamba tunawabariki kama vile Kanisa linaruhusu maisha yao hapana! Ndugu zanguni Baraka sio sakramenti. Ndio maana Padre baada ya Misa anabariki wote hatengi wema zaidi na wakosefu Zaidi. Ila sakramenti sio Kila Mmoja anaruhusiwa. Watu wa ndoa ya jinsia Moja wao pia wamejifungia masakramenti.
Kwa waraka huo Padre anaweza kubariki watu wakiwa katika kundi kama kanisani au kikundi Cha Sala au wasafiri, pia mtu Mmoja Mmoja Padre anaweza kumbariki bila kumuuliza hali yake ya dhambi, hata kama anajua huyo mtu anaishi hali yake ya dhambi Padre ambariki tu. Kwanini maana kupitia Neema za Mungu mtu huweza kubadilishwa pia.
Luka 15:1. Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.....
Ngoja tuone baadhi ya nukuu kwenye barua hiyo.
Maelezo hayo yapo kwenye barua hiyo "Fiducia suplicans". Sura ya III
"Blessings of Couples in Irregular Situations and of Couples of the same sex". Kiswahili. Baraka Kwa wanaoishi wawili/kama mume na mke katika mazingira yasiyokuwa ya kiutaratib (utaratib kulingana na Kanisa) na ya watu wanaoishi pamoja wa jinsia Moja kama vile ni mume na mke.
Sasa Kwa kichwa hicho Cha habari anasemea sio tu watu wa jinsia Moja bali hata wale ambao hawapo katika ndoa inayotambuliwa kikanisa. Mfano wachumba wasibariki ndoa, wengine wameolewa mitara wote wanahusishwa kwenye kundi hilo. Papa anasema wote Padre anaweza kumbariki tu mtu huyo mkosefu akija Padre ambariki lakin anatoa mkazo isifanyike Baraka rasmi kama vile n sakramenti. Wala wasijisikie kuwa wanahalalishwa hapana.
Nanakuu hiyo barua
No 31. Uwezekano wa kutoa Baraka Kwa watu kama hao......
32. "Indeed the grace of God works in the lives of those who do not claim to be righteous but who acknowledge themselves humbly as sinners, like everyone else.".
"Hakika Neema ya Mungu hufanya kazi katika maisha ya wale ambao hawajidai kuwa wenye haki, lakini wanaojikubali Kwa unyenyekevu wakosefu "
Papa anasema Baraka hiyo ni Neema ambayo Mungu ataitumia kuwaongoa lakini Neema ya Mungu hufanya kazi ndani ya mtu anaekubali Kwa unyenyekev kuwa yeye ni mdhambi. Watu hao wakubali kuwa wao n wakosefu wampe Mungu ushirikiano.
No 33 "This is a blessing that, although not included in any liturgical rite........, "Hii ni baraka ambayo, ingawa haijajumuishwa katika ibada yoyote ya kiliturujia,
No 36 In this sense, it is essential to grasp the Holy Father’s concern that these non-ritualized blessings "kwa maana hii ni muhimu kutambua mtazamo wa baba mtakatifu kwamba hizi baraka ambazo sio rasmi kama zingine za kwenye ibada........ hapa anaonyesha ni za kawaida sio rasmi kama za kwenye liturjia
39. In any case, precisely to avoid any form of confusion or scandal, when the prayer of blessing is requested by a couple in an irregular situation, even though it is expressed outside the rites prescribed by the liturgical books, this blessing should never be imparted in concurrence with the ceremonies of a civil union, and not even in connection with them. Nor can it be performed with any clothing, gestures, or words that are proper to a wedding
39. .......this blessing should never be imparted in concurrence with the ceremonies of a civil union, and not even in connection with them. Nor can it be performed with any clothing, gestures, or words that are proper to a wedding
Baraka hizi zisitolewe Kwa namna yoyote inayoendana na muunganiko kama ule wa ndoa na Wala hata Kwa mfanano zisiendane, Wala zisifanywe kama Kwa mavaz ya ndoa ama ishara au maneno ya kubariki ndoa.
Civil union n msamiati wanaotumia zaidi Kwa watu wa jinsia moja anasema Baraka hizo zisielekee Wala Kwa namna yoyote inayoashiria kitu kama hicho.
Anaependa uisome mwenyewe kwenye mtandao "Fiducia suplicans" kuanzia no 31. Itajitokeza Kwa kiitalianoa lakin mwanzo wa document kushoto kabisa wameorodhesha lugha ya kuchagua bofya " Testo in lingua linglese" itabadilika kuwa Kwa kiingereza.
Hakuna mkamilifu ndo maana kuna toba. Unatubu ili neema ya Kristo iwe juu yako. Kutubu maana yake kujutia dhambi uliyoitenda. Unachofanya hapa ni kuhalalisha dhambi ya kulawitiana sababu hakuna mkamilifu. Sasa toba ni ya kazi gani kama unaweza kwenda mbele za MUNGU ukiwa mlawiti, mwizi, mzinzi na ukabarikiwaLabda sio mkatoliki,kwa hiyo kuelewa kuhusu baraka inavyotolewa haujui,baraka ata kila baada ya misa hutolewa pia kwa waumini wote waliopo kanisani,bila kuangalia dhambi za mtu,ingekua inabagua dhambi basi ni wazi baraka zisingetolewa ,maana Hakuna mkamilifu
Nenda akulawitiWew kaa na ujinga wak na ujifariji Ila papa kamalizaa yey mwenyew anatafta wa kumlawiti