Ukweli kuhusu kauli ya Papa huu hapa, vyombo vya habari vinapotosha

Kimsingi waache kuumauma maneno juu ya Ushoga, kwanini wanapenda maneno ya kisiasa kila wanapoulizwa.

Lakini pia unawezaje kumbariki afya njema mwizi au gaidi ili akatekelezea wizi ama ugaidi wake?

Hakusema shoga akifika kwenye mabanda yao ya ibada aombewe aache ushoga, yaani ni kwamba shoga anaweza kwenda kuomba baraka za utulivu katika ndoa yake na akapewa kama binadamu.

Je, jambazi anaweza kuomba baraka za mafanikio katika ujambazi wake na akapewa?

Elimu, Sayansi na Dini, ndio MAANGUKO MAKUU ya binadamu.
 
Hakuna popote Pope karuhusu ndoa za jinsia moja, tusome kwa kuelewa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wewe akili huna.

Kama hajaruhusu, anawabariki ili iweje?

Utabariki kitu ambacho hujakiruhusu?

Wafia dini mtakuja na ufafanuzi mbalimbali ila ukweli uko pale pale kwamba papa karuhusu ushoga ubarikiwe kanisani.

Kitimoto huli ila mchuzi wa kitimoto unakunywa.
 
Umejibu bila kusoma kilicho andikwa
 
Hii taarifa haipo BBC tu na kama inarudiwa rudiwa sababu ni kanisa kuruhusu hilo. Nia ni kulifanya lizoeleke masikioni mwa kondoo.

Mbona ni rahisi tu. Ni sentensi ndogo tu kutoka kwa papa inamaliza hili suala.

PAPA: Kanisa lilaani ushoga na lisijiusishe kwa namna yoyote na wenye matendo hayo isipokuwa kwa wanaotaka kuyaacha.
 
Baraka sio sacrament ,hiyo ni kwa watu wote,ata jambazi akiiba akienda kwa padri,akiomba baraka atapewa,,umeona gari ukaenda kanisani kulibariki,litabarikiwa,kwa hiyo jambazi aliyeiba,padri hati angalia atambariki Kama wengine ,bila kuuliza dhambi yake,kupitia baraka atapata neema za Mungu,Kama ana dhambi atajirudi kwenye toba.
 
Kanisa limekuwa VUGUVUGU.

Ukienda mbele za MUNGU kuomba mibaraka unapaswa kutubu na kuwa msafi sio umeacha mwanaume mwenzako nyumbani na utarudi ukamlawiti halafu unaenda kuomba mibaraka. Tubu kwanza ukiwa na nia ya kuachana na hayo matendo kisha nenda kwa MUNGU kuomba mibaraka.

Hata mwizi, mzinzi ni hivyo hivyo. Unatubu kwanza kwa dhati. Ukianguka tena unatubu ila moyoni mwako una nia ya kuiacha hiyo dhambi.

ukishatubu inamaana umekuwa msafi na pale unatambuliwa kama binadamu na baraka ni haki yako. Kama si sahihi sasa kuna tofauti gani ya mkristo na walawiti, wezi, wazinzi wasio na roho ya MUNGU ndani yao?
 
Usipotoshe!! Vyombo vyote vya habari vimeripoti habari ya Papa kutoa uamuzi wa kubariki ndoa za jinsia moja!! Ona hapa:

Pope approves blessings for same-sex couples that must not resemble marriage.​

ROME (AP) — Pope Francis formally approved letting Catholic priests bless same-sex couples, the Vatican announced Monday, a radical shift in policy that aimed at making the church more inclusive while maintaining its strict ban on gay marriage.

But while the Vatican statement was heralded by some as a step toward breaking down discrimination in the Catholic Church, some LGBTQ+ advocates warned it underscored the church’s idea that gay couples remain inferior to heterosexual partnerships.

The document from the Vatican’s doctrine office elaborates on a letter Francis sent to two conservative cardinals that was published in October. In that preliminary response, Francis suggested such blessings could be offered under some circumstances if the blessings weren’t confused with the ritual of marriage.
 
Kwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?
 
Papa swala lolote kuhusu taamko la wakatoliki,anatoa kupitia barua,sio kwenye magazeti
 
Kwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?
Labda sio mkatoliki,kwa hiyo kuelewa kuhusu baraka inavyotolewa haujui,baraka ata kila baada ya misa hutolewa pia kwa waumini wote waliopo kanisani,bila kuangalia dhambi za mtu,ingekua inabagua dhambi basi ni wazi baraka zisingetolewa ,maana Hakuna mkamilifu
 
Kwa hiyo watakuja wanaume wawili ambao ni mtu na mke wake, mmoja amemshika mwenzie makalioni kama mkewe huku wakipokea baraka za paroko, sio?

Hizi dini hua zinawaondoa akili kabisa vichwani na kuwajaza mavi ama?
 
Kwa hiyo unachomaanisha ni kanisa lipokee walawiti na kuwabariki? Kabla ya baraka zozote unatubu na kuwa msafi. Hakuna usafi katika ulawiti. Unaendaje mbele za MUNGU kuomba mibaraka kabla hujatubia dhambi zako ukiwa na nia ya kuziacha kabisa?
Sio kweli kabla ya baraka unatubu na kua msafi,baraka sio sacramenti
 
Umeelewa vizuri kama mimi.
Tatizo kubwa kwa sasa ni uelewa mdogo kwa lugha na utambuzi/maarifa.
Yan mtu hajishughulishi na ufafanuzi kwa sabab uelewa wake unapokea vitu lain na hauzid hapo.
Manake hata hajui misingi ya iman yake. Ni muumin tu.
Tatizo la pili ni Uadui/upinzan wa kiiman na kiitikad. Kuna anayebisha ilimrad papa na kanisa kwa pamoja ionekane ovyo na upotofu.
HItimisho: TUJITAHIDI KUSHIKAMANISHA IMANI NA AKILI!
 
Kwa hiyo watakuja wanaume wawili ambao ni mtu na mke wake, mmoja amemshika mwenzie makalioni kama mkewe huku wakipokea baraka za paroko, sio?

Hizi dini hua zinawaondoa akili kabisa vichwani na kuwajaza mavi ama?
Icho ndio kilichokatazwa ,ata papa kapinga kwa watu wawili hao kwenda kuomba baraka ,kisha wapewe,imekatazwa kabisa kwa herufi kubwa,lakini akienda mmoja akiomba baraka,padri hatomuuliza kama yeye ni gasho au lah,atapatiwa baraka,apate neema ,Kama kujirudi aweze kujirudi
 
Wew kaa na ujinga wak na ujifariji Ila papa kamalizaa yey mwenyew anatafta wa kumlawiti
 
Hakuna mkamilifu ndo maana kuna toba. Unatubu ili neema ya Kristo iwe juu yako. Kutubu maana yake kujutia dhambi uliyoitenda. Unachofanya hapa ni kuhalalisha dhambi ya kulawitiana sababu hakuna mkamilifu. Sasa toba ni ya kazi gani kama unaweza kwenda mbele za MUNGU ukiwa mlawiti, mwizi, mzinzi na ukabarikiwa

Swali: Je kanisa limeelekeza walawaiti kutubia dhambi yao ya ulawiti kabla ya kuja mbele za MUNGU kubarikiwa?

Usijibu kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…