Ukweli kuhusu kauli ya Papa huu hapa, vyombo vya habari vinapotosha

Papa lilitakiwa litoe kauli moja tu kwamba linalaani uchoko na usagwaji
Lipapaaa ndio kwaanza linatoa baraka kwa hawa wajinga wajinga
Halaf kuna mjinga mmoja atatokea huko atakwambia karne hii ama ulimwengu wasasa umestaarabika
Toka nimeumbwa nakusikia sijawahi kuona ulimwengu wa hovyo na karne ya hovyo kama hii tulokua nayo na ilopita
Yaani lijamaa kabisa linalojita liongozi la dini linabariki watu kufirana na kusagana halaf kastaarabika huyu mbwa
Vijana waliozaliwa 90s kuja 2000 kazi wanayoachiwa na haya masenge mapapa wanayo
Na vijana mnaozaliwa miaka ya 2020s nakuendelea kwakweli mkaze mbuti sana laa sivyo mtajikuta kwenye wanaume 10 basi 8 au 9 machoko kwenye wanawake 10 napo 8 au 9 wanasagwa
Kwakweli kazi ipo Allah atuepushe na hili janga
Uislam pekee ndio utatuepusha na haya majanga
 
Kama sio mkristo na nimekunasibisha nao nisamehe kwa hilo
Pili wewe kuniita malaya ama vyovyote wakati sipo hvyo huko nikudhania ambapo litakua kosa lako sio langu
Tatu kwenye hoja ya papa point kuu ya mtoa mada ni papa kuridhia usenge na usagaji wakabarikiwe
Ukirudhia huo upuuzi maana yake unakua umekubaliana nao kwa kila hali ama papa hajaridhia kuwabariki hao wadudu
 
Kwanza nimekusamehe ndugu,
Kukuita Malaya ni kwa sababu ulisema
usikute papa naye ana mume wake ila anamficha ficha.

Neno usikute ni neno dhahania lisilo na ushahidi kama mimi nilivyosema bwana utam usikute ni Malaya. Huenda tu nimeamua kukuchafua kama wewe ulivyomchafua papa hapo juu. Mfano huo upo sahihi kabisa.

Tatu, ni pope karidhia usenge au baraka?

Pointi yako ni ipi?
 
Unatoaje baraka kwa kitu usichokiridhia wewe unaweza ukatoa baraka kwa kitu usichokiridhia?
Shukran kwa msamaha wako mkuu
 
Unatoaje baraka kwa kitu usichokiridhia wewe unaweza ukatoa baraka kwa kitu usichokiridhia?
Shukran kwa msamaha wako mkuu
The word blessing
Has no limitation na halina

10. Indeed, blessings are celebrated by virtue of faith and are ordered to the praise of God and the spiritual benefit of his people. As the Book of Blessings explains, “so that this intent might become more apparent, by an ancient tradition, the formulas of blessing are primarily aimed at giving glory to God for his gifts, asking for his favors, and restraining the power of evil in the world.”[8] Therefore, those who invoke God’s blessing through the Church are invited to “strengthen their dispositions through faith, for which all things are possible” and to trust in “the love that urges the observance of God’s commandments.”[9] This is why, while “there is always and everywhere an opportunity to praise God through Christ, in the Holy Spirit,” there is also a care to do so with “things, places, or circumstances that do not contradict the law or the spirit of the Gospel.”[10] This is a liturgical understanding of blessings insofar as they are rites officially proposed by the Church.


Umeelewa vipi kuhusu blessing?
 
kanisa katoliki limefanya wakristo wote tumeaonekana wa hovyo, tunajua haya mambo yapo kwa dini zote ila kutolewa tamko na kiongozi mkubwa tumeingia chaka, angekaa kimya tu mambo yaendelee kimya kimya kama zamani.
Upo sawa mkuu, Halafu anatokea mtu anatetea.
 
Hoja inarejelea pale pale baraka zinatolewa kwa mashoga na wasagaji kama alivyosema papa ama laah?????
 
Hoja inarejelea pale pale baraka zinatolewa kwa mashoga na wasagaji kama alivyosema papa ama laah?????
Neno blessing halina boundaries wala limitation.
Isipokuwa tunafahamu mahusiano ni ya mtu mume na Mke.
👇

This is also the understanding of marriage that is offered by the Gospel. For this reason, when it comes to blessings, the Church has the right and the duty to avoid any rite that might contradict this conviction or lead to confusion. Such is also the meaning of the Responsum of the Congregation for the Doctrine of the Faith, which states that the

Church does not have the power to impart blessings on unions of persons of the same sex.


Vipi? Bado ujajibiwa au ni lugha shida?
 
Church does not have the power to impart blessings on unions of persons of the same sex.


Sasa kati ya hiko kipengele hapo na papa yupi aeleweke
Papa karidhia kutoa baraka kwa watu wajinsia moja walio eti ndoani ama hajaridhia
Na kama kasema atatoa baraka basi maana yake karidhia
Nimekuuliza swali au nikuulize wewe moja kwa moja unaweza kuubariki ushoga na usagaji kama alivyo fanya papa na kama huwezi kwanini nakama unaweza kwanini
Ntakuregelea kupata majibu yako boss uwe na kazi njema na asubhi njema
 
Nafikiri mpaka sasa ujaelewa maana ya impart. Church does not have power to impart blessing on unions of the person of the same sex.

Umeelewa au bado mkuu?

Nasubir hio ndoani unayosema nione.

Hilo swali lipo nje ya mada, hapa anaongelewa papa.

Fungua uzi mwingine.
 
why unahangaika mkuu
kuna issues nyingi zipo katolik ambazo hazina mashiko, tukiwauliza mnasema sources of your doctrines does not come from bible alone, mna mavyanzo mengine ikiwem maamuzi ya papa ni sheria kwa kanisa
kwanini una doubt maamuzi ya papa. unataka kuwa kama sisi wasabato ambao tunategemea tu biblia na kitu kama hakipo kwenye biblia tunahoji
cha muhimu ni kwamba mila za wazungu zinatuyumbisha sisi masikini, watatupeleka kusiko
 
Sema machoko wanaforce king sana wamefanya mpaka movies za mbele kutazama unazitazama kwa machale muda wowote unaweza shangaa dume linapumuliwa kmmk.

Kwenye ball napo yameforce king yaani kila mahali.

Na sasa kwenye dini yana force king mbaya mbovu familia yangu na wanavyopenda mambo ya dini I fell sorry for them.

Machoko mafala sana kmmk. Huyu naye Bi.Francisca itakuwa anatafunwa na mwamba mmoja hapo mitaa ya Roma.

Na warumi na mambo hayo wanayakubali mbaya mbovu since Roman empire
 
Wadhambi kama wezi, wazinzi, waongo wauaji, makahaba, walevi n.k

Kulingana na mafundisho yenu ya ukatoliki hupewa baraka baada ya kutubu dhambi zao na kukiri kuachana na matendo yao maovu kwa kuyaungama na kuyajutia.
Kwa mujibu wa maelezo ya papa haioneshi kwamba hiyo ndio maana ya baraka.

Papa kasema kwamba hao mashoga wanayo haki ya kubarikiwa kwa kuzingatia ni kama binadamu wengine na wanakosea pia.

Je baraka ni nini mkuu ?
 
Unatoaje baraka kwa kitu usichokiridhia wewe unaweza ukatoa baraka kwa kitu usichokiridhia
Kwani wapi imesemwa kwamba papa anatoa baraka za kubariki ushoga wa huyo mtu ?

Je lengo la baraka aliyoikubali papa ni baraka ya kuukubali ushoga,kama ni hivyo tunaomba ushahidi wa maneno hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…