Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hembu tuweni wakweli,
Ile style ya Brock Lesnar ya kukubana tumbo kwa nyuma na kukurushia nyuma yake, ile aliompiga nayo John Cena Mpaka akachukua mkanda wa Heavyweight ni uongo?
Superman Punch ya Roman Reign ni uongo?
Spear za kina Roman Reign na zamani Edge ni uongo?
DDT kama ya Randy Orton, ile anakuning'niza miguu kwenye kamba ni uongo
RKO ya Randy Orton ni uongo nayo?
Seth Rolling ana style yake nayo akikukuta umeinama anarudi mpaka kwenye kwamba na kuja kukukanyaga kisogoni Mpaka USO/sura inagusa chini ni uongo?
Vipi kuhusu style ya REST IN PEACE ya Undertaker? Labda kitu nisichoamini kwa huyu bwana ni eti alikufa zamani then mzuka wake ndio unakujaga kupigana.
Lakini vipi kuhusu style za Ray Mysterio ya kukubana shingo kwa miguu kisha anazunguka na kukurusha ni uongo ule? Au ile style yake ya "609" ni uongo?
Je style ya John Cena ya " You Can't See Me" ambayo anakuangukia na ngumi ya nguvu ni uongo? Au ile anakubeba begani na kukubwaga kwa nguvu uongo ule?
Zamani wakati Sting anapigana alikua akiingia kutokea juu ya Ukumbi kupitia kamba, alikua akiogopwa na wapiganaji wote wakiwemo NWO, Kisa tu alikua na Rungu ndani ya koti, uongo uko wapi hapo?
Vile viti ukivipiga au kuvikunja vinatoa mlio wa mabati au chuma, uongo wake uko wapi hapo?
TLC (Table, Ladder and Chair) ni uongo? Watu hawavunjiki juu ya meza? Hawapigwi na Meza?
Conclusion,
Mi naamini wanavyopigana pale vyote ni kweli kabisa, hawatoki damu sababu ya madawa wanayopaka na kunywa. Ila pengine vitu vya uongo ni kama zile bifu zao, zipo kibiashara zaidi. Pia ule mchezo Sheria hazifuatwi sana Bali ubabe mwingi. Ndio maana ukiweza kumcheat refa tu akakupa ushindi basi wewe ni Bingwa, hata kama watazamaji na waandaaji wameona tofauti.