Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Hembu tuweni wakweli,

Ile style ya Brock Lesnar ya kukubana tumbo kwa nyuma na kukurushia nyuma yake, ile aliompiga nayo John Cena Mpaka akachukua mkanda wa Heavyweight ni uongo?

Superman Punch ya Roman Reign ni uongo?

Spear za kina Roman Reign na zamani Edge ni uongo?

DDT kama ya Randy Orton, ile anakuning'niza miguu kwenye kamba ni uongo

RKO ya Randy Orton ni uongo nayo?

Seth Rolling ana style yake nayo akikukuta umeinama anarudi mpaka kwenye kwamba na kuja kukukanyaga kisogoni Mpaka USO/sura inagusa chini ni uongo?

Vipi kuhusu style ya REST IN PEACE ya Undertaker? Labda kitu nisichoamini kwa huyu bwana ni eti alikufa zamani then mzuka wake ndio unakujaga kupigana.

Lakini vipi kuhusu style za Ray Mysterio ya kukubana shingo kwa miguu kisha anazunguka na kukurusha ni uongo ule? Au ile style yake ya "609" ni uongo?

Je style ya John Cena ya " You Can't See Me" ambayo anakuangukia na ngumi ya nguvu ni uongo? Au ile anakubeba begani na kukubwaga kwa nguvu uongo ule?

Zamani wakati Sting anapigana alikua akiingia kutokea juu ya Ukumbi kupitia kamba, alikua akiogopwa na wapiganaji wote wakiwemo NWO, Kisa tu alikua na Rungu ndani ya koti, uongo uko wapi hapo?

Vile viti ukivipiga au kuvikunja vinatoa mlio wa mabati au chuma, uongo wake uko wapi hapo?

TLC (Table, Ladder and Chair) ni uongo? Watu hawavunjiki juu ya meza? Hawapigwi na Meza?

Conclusion,
Mi naamini wanavyopigana pale vyote ni kweli kabisa, hawatoki damu sababu ya madawa wanayopaka na kunywa. Ila pengine vitu vya uongo ni kama zile bifu zao, zipo kibiashara zaidi. Pia ule mchezo Sheria hazifuatwi sana Bali ubabe mwingi. Ndio maana ukiweza kumcheat refa tu akakupa ushindi basi wewe ni Bingwa, hata kama watazamaji na waandaaji wameona tofauti.
 
ni uwongo mtupu wala hakuna wa kunidanganya, haw wanakufa ni ajali kazini lkn hakuna uhalisia pale
 
Mmeshaambiwa ni ENTERTAINMENT... kama ilivyo movie n.k... Kimsing yale ni maigizo... Siyo mambo ya kweli

Labda tuwawekee na vipande kama hivi ndio wataamini
The reality is WWE (World Wrestling Entertainment) is as fake as any movie or play that you go to see. Professional wrestling or pro wrestling has been a major form of entertainment in countries like the US,Canada, Japan and Mexico since early 1900s. In pro wrestling, everything is meticulously planned. The wrestler's persona, his match ups, the moves that he is going to perform in the ring, what he is going to say in the ring. Everything is done with precise timing to bring finesse to the whole entertainment side of the busines......
FROM:
Is WWE fake and scripted?
 
Mchezo huu ni waukweli, Mayweather kuna kipindi aliingia contract na WWE lakini ule mziki pale ndani alishindwa aka resign
 
Mtu anayeamini huu mchezo kuwa ni ukweli atakuwa hayupo sawa kichwani
 
Hembu tuweni wakweli,

Ile style ya Brock Lesnar ya kukubana tumbo kwa nyuma na kukurushia nyuma yake, ile aliompiga nayo John Cena Mpaka akachukua mkanda wa Heavyweight ni uongo?

Superman Punch ya Roman Reign ni uongo?

Spear za kina Roman Reign na zamani Edge ni uongo?

DDT kama ya Randy Orton, ile anakuning'niza miguu kwenye kamba ni uongo

RKO ya Randy Orton ni uongo nayo?

Seth Rolling ana style yake nayo akikukuta umeinama anarudi mpaka kwenye kwamba na kuja kukukanyaga kisogoni Mpaka USO/sura inagusa chini ni uongo?

Vipi kuhusu style ya REST IN PEACE ya Undertaker? Labda kitu nisichoamini kwa huyu bwana ni eti alikufa zamani then mzuka wake ndio unakujaga kupigana.

Lakini vipi kuhusu style za Ray Mysterio ya kukubana shingo kwa miguu kisha anazunguka na kukurusha ni uongo ule? Au ile style yake ya "609" ni uongo?

Je style ya John Cena ya " You Can't See Me" ambayo anakuangukia na ngumi ya nguvu ni uongo? Au ile anakubeba begani na kukubwaga kwa nguvu uongo ule?

Zamani wakati Sting anapigana alikua akiingia kutokea juu ya Ukumbi kupitia kamba, alikua akiogopwa na wapiganaji wote wakiwemo NWO, Kisa tu alikua na Rungu ndani ya koti, uongo uko wapi hapo?

Vile viti ukivipiga au kuvikunja vinatoa mlio wa mabati au chuma, uongo wake uko wapi hapo?

TLC (Table, Ladder and Chair) ni uongo? Watu hawavunjiki juu ya meza? Hawapigwi na Meza?

Conclusion,
Mi naamini wanavyopigana pale vyote ni kweli kabisa, hawatoki damu sababu ya madawa wanayopaka na kunywa. Ila pengine vitu vya uongo ni kama zile bifu zao, zipo kibiashara zaidi. Pia ule mchezo Sheria hazifuatwi sana Bali ubabe mwingi. Ndio maana ukiweza kumcheat refa tu akakupa ushindi basi wewe ni Bingwa, hata kama watazamaji na waandaaji wameona tofauti.

kwa hiyo unaamini undertaker alifufuka ?
teh teh teh akili za maiti hizi
 
Wewe utakua una Matatizo sana kichwani mwako, soma tena nichoandika kuhusu Undertaker. Usiwe unacomment ovyo bila kuelewa unachosoma.

Nimeandika kua kitu NISICHOAMINI katika Undertaker ni kua alikufa zamani then unaopigana sasa ni mzuka wake, Unaielewaje hii statement? Nahisi wewe ni wa kabila la kina Pierre Nkurunzinza ndio maana kiswahili kinakupa tabu kukielewa!
 
Nahao wanaokufa kwenye mapambano ni maigizo?
ajali kazini , hivi wewe mtu anapigwa mapaka hajiwezi ghafla anapata nguvu, na hujiulizi ile style ya masterio mtu lazima akae kwenye kamba sijui yaitwa 360, mimi nilikuwa naamini kama wewe... aim glad baada ya kuangalia THE REAL FIGHTS! UFC nkaona WWE wote maigizo
 
Wewe utakua una Matatizo sana kichwani mwako, soma tena nichoandika kuhusu Undertaker. Usiwe unacomment ovyo bila kuelewa unachosoma.

Nimeandika kua kitu NISICHOAMINI katika Undertaker ni kua alikufa zamani then unaopigana sasa ni mzuka wake, Unaielewaje hii statement? Nahisi wewe ni wa kabila la kina Pierre Nkurunzinza ndio maana kiswahili kinakupa tabu kukielewa!

hivi yule ray mysterio akikupiga tu lazima uangukie ile kamba ile unaamini
ha ha ha ha ha ha
we jamaa umeanza kuangalia tv lini ?
au unaangalia kama mtoto wa kuamini komando kipensi anaweza kupiga jeshi zima kwa kutumia kisu ?
 
Hapa tunazungumzia Wrestling, hiyo Commando Kipensi ukitaka anzishia thread yake.

Back to our topic, kama yeye style ya "609" ndio anaipenda, Kwanini akili yako isikufikirishe kua akikupiga basi lazima YEYE ndio akuelekezee kwenye kamba ili akuchape style ile?

Yaani Kwanini unaamini wanaopigwa ndio wanajidondoshea kwenye kamba na sio yeye anawaelekezea huko?

Mieleka naiangalia toka kuanzwa kuonyeshwa hapa Tanzania!
 
ajali kazini , hivi wewe mtu anapigwa mapaka hajiwezi ghafla anapata nguvu, na hujiulizi ile style ya masterio mtu lazima akae kwenye kamba sijui yaitwa 360, mimi nilikuwa naamini kama wewe... aim glad baada ya kuangalia THE REAL FIGHTS! UFC nkaona WWE wote maigizo

Ndio maana John Cena anakuambia "Never Give Up", hata kwenye Ngumi za Kawaida au Michezo mingine Kuna kushambuliana kwa zamu, ni kawaida tu uka-dominate mchezo then later kibao kikakugeukia!
 
Hapa tunazungumzia Wrestling, hiyo Commando Kipensi ukitaka anzishia thread yake.

Back to our topic, kama yeye style ya "609" ndio anaipenda, Kwanini akili yako isikufikirishe kua akikupiga basi lazima YEYE ndio akuelekezee kwenye kamba ili akuchape style ile?

Yaani Kwanini unaamini wanaopigwa ndio wanajidondoshea kwenye kamba na sio yeye anawaelekezea huko?

Mieleka naiangalia toka kuanzwa kuonyeshwa hapa Tanzania!

Hii ni imani yako ushaamini ni ukweli haina shida ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hii michezo ya kupangwa
eti ray mysterio ni mbabe wa kenny ha ha ha ha ha
kuanza kuangalia tv ukubwani ni shida sana john cena hapigwi ??
triple h hapigwi ??
kile kijeba eti naye mbabe ha ha ha ha ha
 
Ndio maana John Cena anakuambia "Never Give Up", hata kwenye Ngumi za Kawaida au Michezo mingine Kuna kushambuliana kwa zamu, ni kawaida tu uka-dominate mchezo then later kibao kikakugeukia!

mkuu shark na wengine naomba tujadili upigaji ngumi wa wana mieleka mbona kama hawa kunji ngumi na kuirusha straight kama kwenye boxing yani ngumi zao sio za nako ni kama wanapiga kiupande hivi alafu makofi ya kifua yanakua mengi.........alafu ishu ya kupima kilo hamna mtu kama raymaysterial ashawahi kupiganishwa na umaga khalii big show...wch luk unfair ki uzito na urefu gap kubwa
 
WATANZANIA ni wajuwaji kweli yani ukiwauliza wanacho bishania hawakijui. kaeni chini mueilimishwe siyo kubishania usilo lijua
 
Back
Top Bottom