hamna mkuu,hawatauza kwa milioni 20,kumbuka kuna tayari nyumba 300 ziko tayari juu ya hiyo ardhi,kwahiyo thamani ya ardhi imeongezeka maradufuAzimio na NSSF wakishindwa kwenye huu ubia na wakaamua kuuza huu mradi wanufaika wakubwa watakuwa ni Azimio.
Azimio watapa asilimia 20 yao ya milioni 800 kwa kila kiwanja lakini wanunuaji watakuwa tayari kulipa milioni 20 kwa kila kiwanja!
Mkuu,mkuu,hiyo ardhi sio kwamba hao,azimio washakula hiyo milion 800 kila heka,
yaani pale itapoanza kuzalisha sasa,
thamani ya ardhi halisi ni milioni 25 ikiwa dormant,
sasa umeingia ubia na mtu mkajenga hotel kwa ushirikiano,bado katika kugawana mapato wewe utadai hiyohiyo milioni 25?.
Hao azimio ni expert wa real estate which means NSSF wanafaidi pia consultation toka azimio,
ieleweke sitetei mtu nachangia navyoona ni sawa,
nijuavyo mimi NSSF bado hawajanunua ardhi kwa milioni 800 kwa heka toka kwa azimio
Mkuu,hamna mkuu,hawatauza kwa milioni 20,kumbuka kuna tayari nyumba 300 ziko tayari juu ya hiyo ardhi,kwahiyo thamani ya ardhi imeongezeka maradufu
Kigamboni kipindi huu ubia wa kishetani unafanyika bei ya ardhi iliyokuwa sokoni ni kati ya 1,500,000/= na 4,500,000/= kwa eka kutegemea na sehemu husika! na ardhi ilikuwa inapatikana sana! Sasa katika mazingira hayo ni mwekezaji ibilisi tu ambaye ataamua kutokununua ardhi mwenyewe halafu aingie ubia na mtu au kampuni inayothaminisha ardhi yake kwa sh 775,000,000/= kwa eka badala ya kuinunua mwenyewe kwa sh 5,000,000/= kwa eka!.
Hiyo ni tisa lakini kumi huyo mbia aliyethaminisha ardhi yake kwa sh 775,000,000/= bado anakutaka wewe umkopeshe pesa na ndiye anayemiliki share nyingi zaidi!
Ninachokiona hapa ni ufisadi uliokubuhu! Yaani nakopa pesa kwako halafu nanunua ardhi kwa bei chee halafu naingia ubia na wewe na kuithàminisha ardhi niliyonunua kwa hela niliyokopa kwako kwa bei mbaya kisha mimi ndo nakuwa mmiliki wa mradi mwenye hisa nyingi wakati kimsingi pesa yote ya mradi imetoka kwako!
Two wrongs don't make a right!!
Halafu Rugemalila aliingia ubia na IPTL ni shirika binafsi tofauti na NSSF ambalo linaendeshwa kwa pesa zetu.
Makampuni kama IPTL tanapingia ubia ya aina hiyo wanajua wenyewe cha kufanya ili kurudisha gharama zao na tumeona walichofanya!!
ndo maana kuna mahakama za biashara ambayo kama mbia mmoja amekiuka makubaliano mahakama inaamua,Hata hili nalo mtu anajipanga kutetea?
1.Tatizo sio joint venture,hakuna popote ambapo watu wameona joint venture kati ya nssf na azimio ni tatizo.
2. Tatizo ni ulaghai uliofanyika,azimio haina eneo sawa na linalotajwa kwenye mkataba na pili thamani ya kiwanja milioni 800 sio sahihi.
Tuwe tunatulia na kutafakari hata kama tumetumwa na kulipwa ili kusafisha watu.
Rugemalila na iptl deal halikua wrong,ndo biashara inavyoenda,yaani uje usimike mitambo kiwanjani kwangu tuseme heka moja,uanze kuungurumisha mashine na kuuza umeme miaka nenda rudi juu ya kiwanja changu halafu mimi unilipe milion 25?,,
keep in mind hayo mahesabu ya hisa mtu anaanza kupata mapato baada la mradi kukamilika na kuanza kuingiza mapato,
sasa unapodai wamenunua heka kwa milion 800,hiyo ni misleading
ndo maana kuna mahakama za biashara ambayo kama mbia mmoja amekiuka makubaliano mahakama inaamua,
mimi tatizo langu lipo katika milioni 800 kwa kiwanja,kama nakumbuka hesabu hiyo ilipatikana kwa kugawa eneo gawa kwa gharama zote za mradi,kama ni kweli,na eneo likawa pungufu inamaana itatakiwa recalculation na kuset upya hisa,kama unakumbuka hiyo hesabu waliipata vipi tuambie,
ila nijuavyo huwezi kutumia lugha ya nssf imenunua heka kwa milioni 800 ikakubalika kisheria,kwani hawajanunua ardhi
Naona unatumia nguvu nyingi kutetea uozo, hapo waliponunua hakuna chochote special ndio maana unaambiwa few metres kutoka hapo viwanja vilikuwa vinauzwa 25m.
Haya mkuu.Sasa aliekuambia Nssf amenunua hiyo ardhi ni nan?
Walichofanya Nssf ni kuingia ubia na mwenye hiyo ardhi kisha baada ya mradi kukamilika na kuanza kuleta faida wagawane kwenye shares
Sidhan kama unakifaham unachokiongelea
Naona unatumia nguvu nyingi kutetea uozo, hapo waliponunua hakuna chochote special ndio maana unaambiwa few metres kutoka hapo viwanja vilikuwa vinauzwa 25m.
Vipi wangenunua ardhi yao kwa bei nafuu kuliko thamani ya hisa walizompa mbia? Yaani mfano wanunue ardhi eneo hilo hilo kwa mfano m100 badala ya kuchukua ya huyo mtu na kumpa share za thamani ya bilioni kadhaa? Au kulikuwa hamna ardhi ingine zaidi ya hio ya mbia?Usipojua Maana ya Asset to Equity huwezi kujua hii kadhia ya NSSF Matokeo yake mtakuja kusema Dr. Dau anaogopwa au analindwa. NSSF haikutoa fedha kununua Ardhi hiyo kilichofanyika ni kuingiza Ardhi hiyo kwny Mradi kwa Makubaliano kuwa thamani ya ardhi hiyo iwe converted kwenda kwny Hisa watazokuwa wanamiliki kwa Ubia. Hakuna Malipo yaliyofanyika kilichofanyika ni Evaluation ya Ardhi hiyo kwa thamani hiyo tajwa ambayo wapo wanaoihoji wakiamini imethaminishwa kwa thamani ya juu!
Vipi wangenunua ardhi yao kwa bei nafuu kuliko thamani ya hisa walizompa mbia? Yaani mfano wanunue ardhi eneo hilo hilo kwa mfano m100 badala ya kuchukua ya huyo mtu na kumpa share za thamani ya bilioni kadhaa? Au kulikuwa hamna ardhi ingine zaidi ya hio ya mbia?
Kwanini hawakununua waka opt ubia?Kama Wangenunua wenyewe neno Ubia lisingekuwepo!
Sasa Uliza kwa nini Ubia nikupe tena Darsa Duara bila ya kashfa wala kejeli.