Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu nyingi inatumika kumtetea huyo bwana Dau...
Nguvu nyingi inatumika kumtetea huyo bwana Dau...
Kitilya amefanya kazi gani zaidi ya kuidhoofosha TRA?Ukiweka Kitilya Vs Dau namwona Dau ana nafuuHvi kuna mtu ameifanyia kazi hii nchi kama Kitily wa TRA? Yeye yuko wapi sasa hvi?Haki sawa kwa wote
Mkuu ripoti iloenda kwa rais ilikuwa haina nataka za board,rais akirudishwa ndo maana wangwe aliikuta na kujadili upya,spika hajapewa ila November atapewa na itatinga bungeni baada ya PAC ukipitia,wait an see acha keleleWacha kuandika vitu vya kusadikika..
CAG alishaikabidh Report yake muda mrefu kwa mheshimiwa Rais na ilishakabidhiwa kwa Speaker wa bunge
Ww uko dunia gan?
Teh teh teh..kwaiyo kumbe hujui hata unachokiongea?
Pole sana hebu kaaa chini kwanza
Na wewe unathibitisha hiyo ripoti ukiwa kama nani labda.wewe unakanusha hiyo ripoti ukiwa kama nani labda?
Mwapamba naye mbunge nilikuwa sijuiWewe checkbob chukua time zako...
Hakuna asiefaham humu JF kuwa mimi ni mfia dini au Jihadist hilo liko wazi kabisa
Na hakuna asiefaham humu JF kuwa wewe ni mtetea mafisadi tuh kama Lowasa n his gangs kwa posho ya popularity na uchumia tumbo ufipa ambapo hata hivyo hujaipata...
Tokea umeanza kutumika chadema umepata kitu gan?
Wenzako wenye akili kama Juliana Shonza na Mwimpamba wameondoka huko na wameukwaa ubunge na maisha yanaendelea...
Utasota sana hapo town kwa maisha yako ya kuunga unga.
Hvi kuna mtu ameifanyia kazi hii nchi kama Kitily wa TRA? Yeye yuko wapi sasa hvi?Haki sawa kwa wote
Mbona kama unataka kulia?? HahahaNashukuru Pasco.
Nachotaka ujumbe ufike na upotoshaji uachweee
Pasco inasemekana wewe ni mwandish wa habari
Sasa waeleze waandishi wa habari wenzako mfano wa Mwanachi waache mtindo wa kupokea bahasha na kuacha weledii
Kwan hata Pasco Njaa kama hizo umeachaa tokea zamaaani sana kama sikosei
Mkuu we muongo hivyo,Nssf imepata hati safi?labla hati emetia wewe na sio AsadAudit gan iliyomtaja Dr Dau ni mchafu?
Mkuu mbona Dr Dau anakuumiza sana?
Kama unampenda sema tuh akuoe maana ruksa giyo kwa utaratibu wa dini anayo
CAG Reports zinasema Nssf wana hati safi na kila kitu kipo wazi...wewe unachotaka ni kitu gan?
Teh teh teh
Hahaha wakati ana perform cover yake ya "make it rain"Kilio cha mwisho cha THE BIG SHOW kilimalizwa na barungutu la pesa lililotolewa na Magufuli kwenye baraza la Idd.
Mkuu ripoti iloenda kwa rais ilikuwa haina nataka za board,rais akirudishwa ndo maana wangwe aliikuta na kujadili upya,spika hajapewa ila November atapewa na itatinga bungeni baada ya PAC ukipitia,wait an see acha kelele
Mkuu we dini gani muongo hivyo,Nssf imepata hati safi?labla hati emetia wewe na sio Asad
Ni jasiri Dau...ni jasiri gani aibe sh milioni 775 kwa kitu cha thamani ya shilingi milioni 25