DESIGNATED SURVIVOR
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 130
- 41
Na wote ni wa chama chetu, heko mzee Butiku.Tutasikia mengine tusiyotakiwa hata kuyajua. Scandal hizi zinatokana na kuzidiana ujanja kati ya wapiga deal
NSSF hawajauziwa hicho kiwanja,na infact bado ni mali ya azimio,Nssf wakitaka wanaweza kuondoa majengo waliyoanza kujenga ili jamaa waweke majaruba ya mpungaMkuu unapothaminisha ardhi kuna vitu vinaangaliwa kama vinaendana na thamani halisi,kulikuwa na factors zipi zilizofanya thamani ya ardhi kupanda kiasi hicho? kumbuka ni lazima kuwe na existing factors ili kupandisha thamani ya eneo. Huwezi kusema hili eneo lina thamani kwa sababu chuo kikuu UDSM kitahamia hapa, ukamuuzia mtu kwa thamani ya chuo kikuu kuwa pale wakati hakipo. Kama hilo eneo lilikuwa wazi na wakalivalue kwa thamani isiyo halisi, hapo mtu anashtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. Huwezi kusema eneo hili milioni 800 wakati eneo linalopakana na hilo linauzwa milioni 25 na halipati wateja.
NSSF hawajauziwa hicho kiwanja,na infact bado ni mali ya azimio,Nssf wakitaka wanaweza kuondoa majengo waliyoanza kujenga ili jamaa waweke majaruba ya mpungaMkuu unapothaminisha ardhi kuna vitu vinaangaliwa kama vinaendana na thamani halisi,kulikuwa na factors zipi zilizofanya thamani ya ardhi kupanda kiasi hicho? kumbuka ni lazima kuwe na existing factors ili kupandisha thamani ya eneo. Huwezi kusema hili eneo lina thamani kwa sababu chuo kikuu UDSM kitahamia hapa, ukamuuzia mtu kwa thamani ya chuo kikuu kuwa pale wakati hakipo. Kama hilo eneo lilikuwa wazi na wakalivalue kwa thamani isiyo halisi, hapo mtu anashtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. Huwezi kusema eneo hili milioni 800 wakati eneo linalopakana na hilo linauzwa milioni 25 na halipati wateja.
hana hata,unafikiri ardhi ni mchezo mchezo?,Yaani Azimuo hana hata mia. Maana hiyo 35% ya hela ya mtaji ambayo alitakiwa atoe,alitaka kuikopa NSSF yenyewe. Yaani at the end NSSF ingekuwa imejenga mradi wote kwa hela zake yenyewe halafu hao matapeli wangepewa 55% share ya mradi bila kutoa hata shilingi moja. Halafu watu wanateteta upuuzi hapa
hivyo vitu wataviondoa bure mkuu? na vitakua na thamani sawa? unajua maana ya share contract au joint venture contract?NSSF hawajauziwa hicho kiwanja,na infact bado ni mali ya azimio,Nssf wakitaka wanaweza kuondoa majengo waliyoanza kujenga ili jamaa waweke majaruba ya mpunga
kwa mawazo yako unadhani hiyo azimio ni kampuni ngeni sana katika mambo ya real estate.Elungata tutolee hizi justification za wizi, hakuna mwekezaje mwenye akili timamu anayeweza kukubali kiwanja cha 10m kiwe valued 400m (au 25m iwe 800m), hiyo ni zaidi ya 30 ya thamani ya soko, huu ni utapeli wa wazi.
Tukichukua 775m iliyoliwa kwa kila acre, kwa acres 20,000 ni ela nyingi sana
775m * 20,000 = 15tr
Tukisema tuchukue acre 3000 tu ni
775m * 3000 = 2.3tr
Nyie watu mnafaa kunyongwa, yaani mnataka kupiga 2.3tr kwa makaratasi tu, hata tukiunganisha Richmond, Escrow na takataka nyingine inaweza isifike 2.3tr, Magu lazima azae na nyie, muandae ndoo tu za kwenda nazo.
Bado na hamu ya kujua mmiliki wa Azimio housing ni nani? Nani ana guts za kutaka kulitapeli shirika pesa nyingi hivi?
SWALI:
The concept of land for equity hakuanza NSSF. Imeanzishwa na NHC tokea wakati wa Masebo then Marehemu Sang'anya then Madekwe na sasa Mchechu ameiendeleza. PPF TPDC TBA na wengineo wamefanya.
Why iwe dhambi kwa NSSF?
Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha!!!!!!
so kumbe unaelewa ni joint venture,sasa kwanini unaamini kuwa NSSF wamenunua hivyo viwanja kwa milion 800 kwa hekari,hivyo vitu wataviondoa bure mkuu? na vitakua na thamani sawa? unajua maana ya share contract au joint venture contract?
Mkuu kumbe hujaelewa mada, sio kwamba NSSF wamenunua ila wameingia kwenye ubia na hao Azimio huku wakikubali wakithaminisha viwanja kwa Milioni 800 kwa kila kiwanja. Mfano mm na wewe tunaingia JV, wewe unaeneo mm nina hela ya materials, unaniambia thamani ya eneo lako ni milioni 10, mm nakubali lakini kiuhalisia thamani ya eneo lako ni elfu 10 tu!! hicho ndo kilichotokea.so kumbe unaelewa ni joint venture,sasa kwanini unaamini kuwa NSSF wamenunua hivyo viwanja kwa milion 800 kwa hekari,
kama wamenunua hicho kiwanja maana yake ni kuwa azimio hana chake pale na hawezi kuwa mbia,
which meanz kijana wa kileo umeingizwa chaka na hawa maprofesor uchwara,use your common sense maan
mimi hiyo yote najua ila wasioujua watadhani nsssf kweli wamenunua heka moja kwa milioni 800,Mkuu kumbe hujaelewa mada, sio kwamba NSSF wamenunua ila wameingia kwenye ubia na hao Azimio huku wakikubali wakithaminisha viwanja kwa Milioni 800 kwa kila kiwanja. Mfano mm na wewe tunaingia JV, wewe unaeneo mm nina hela ya materials, unaniambia thamani ya eneo lako ni milioni 10, mm nakubali lakini kiuhalisia thamani ya eneo lako ni elfu 10 tu!! hicho ndo kilichotokea.
Tunajua wewe ni mmojawapo wa wanufaika sasa majibu yako huku hata kusaidia nenda mbele ya kamati waeleze hayo,
Elungata hizi ni justification za kitoto, deal lipo wazi kuwa ardhi itakuwa ni sehemu ya hisa za Azimio na wakaithaminisha kwa kila acre ni 800m wakati market value ya acre ni 25m. Kama hizo hisa za 20% zilikuwa zinatokana na ardhi ambayo imethaminishwa kwa utapeli jua hizo hisa zitarudi tu NSSF, na wahuni wote lazima muende Segerea.kwa mawazo yako unadhani hiyo azimio ni kampuni ngeni sana katika mambo ya real estate.
Hakuna hela ambayo nssf wamelipa kununua kiwanja kwa bei ya milion 800 kwa heka,mmekaririshwa,
kile kiwanja ni mali ya hiyo kampuni ya azimio