tatizo ubongo wako umeujaza zile herufi za wafuga ndevu.Na wewe unathibitisha hiyo ripoti ukiwa kama nani labda.
Mi naona karopoka hapo, kwani CAG akisema wewe ni msafi huku unajua hujaoga kwa mwezi mzima utamwamini CAG? naona huyu jamaa kaamua kuropoka, yawezekana ni mnufaika wa mradi huo! wale wapo ndani, wanajua kilichopo wewe unawapinga mbona ni akili ndogo kuelewa jambo hili halihitaji kuwa na PhD! huyu CAG yawezekana ni agent wa Dau waje Deloite utaona mambo yatakavyofunuliwa halafu ushindwe kuangalia.Wataumbuka tu mwaka huu. hapo umepangua wakajipange wtuletee mashudu mengine. Mwacheni DAU apumzike. hawa watu wanajistukia sana ofisi umepewa unaweweseka nini?
Assad alikuwa board member Nssf na amenufaika kwa kuuziwa nyumba bei chee na dauMi naona karopoka hapo, kwani CAG akisema wewe ni msafi huku unajua hujaoga kwa mwezi mzima utamwamini CAG? naona huyu jamaa kaamua kuropoka, yawezekana ni mnufaika wa mradi huo! wale wapo ndani, wanajua kilichopo wewe unawapinga mbona ni akili ndogo kuelewa jambo hili halihitaji kuwa na PhD! huyu CAG yawezekana ni agent wa Dau waje Deloite utaona mambo yatakavyofunuliwa halafu ushindwe kuangalia.
kijana wa leo ngoja nikupe explanation for dumb ,
imagine wewe una kiwanja cha heka moja hapo kibaha ambacho tusema thamani yake waweza muuzia mtu kwa milion 10,
wanakuja wawekezaji wanataka kuweka mradi wa kujenga maghorofa ya kupangisha na wanataka wakupe milion 10 uwaachie kiwanja,
unapiga hesabu ya mradi utakaowekwa hapo na kuona utakuwa na thamani ya bilion 100,unaona kuuza kiwanja kwa milion 10 utakuwa umewapa watu ulaji,
unakataa kuuza,wanakubembeleza hatmaye unakubali kuingia nao ubia na mnapanga katika mradi huo upewe hisa 20%,ambayo kama sikosei ni thamani kama milion 200.
Kumbuka mwanzo thamani halisi ya hiyo heka yako moja ni sh milion 10,
lakini kwasababu umeingia mkataba wa land for equit sasa thamani yako katika mradi huo ni milioni 200.
Ndicho kilichotokea,halafu watu wanatumia umbumbu wa watu kutojua haya mambo kwa kuwapaka watu matope kuwa kuna ufisadi,
sasa swali ukipeleka mahakamani hii kesi utashinda au ndo yaleyale ya Dowans
Mi naona karopoka hapo, kwani CAG akisema wewe ni msafi huku unajua hujaoga kwa mwezi mzima utamwamini CAG? naona huyu jamaa kaamua kuropoka, yawezekana ni mnufaika wa mradi huo! wale wapo ndani, wanajua kilichopo wewe unawapinga mbona ni akili ndogo kuelewa jambo hili halihitaji kuwa na PhD! huyu CAG yawezekana ni agent wa Dau waje Deloite utaona mambo yatakavyofunuliwa halafu ushindwe kuangalia.
Kwanini NSSF hawakununua kiwanja wakakiendeleza wenyewe na maeneo ya wazi yapo mengi tu Kigamboni? One million dollar question.
Tatizo inasemekana hao wawekezaji hawakuwa na ela mfukoni! ela walitaka wamkope huyo wanayetaka kuwekeza nao!!
Aisee kumbe tuhuma hizi ni za kweli!!! Kabla ya post yako nilikuwa natilia mashaka tuhuma hizi kuwa zimetengenezwa ingawa nilimuuliza Mohamed Said anitajie shareholders wa Azimio naye akaa kimya. Ila baada ya post yako hii ndiyo nimegundua kunauwezekano mkubwa DG aliyepita pale alikuwa fisadi wa kutisha.Rugemalila alipotoa ardhi na Iptl wakaweka mashine zao alikuwa na fedha?
Na je alilipwa yale mabillion ya pesa kwa tija gan kama siyo ile share yake?
Hutumii hata akili kujiongeza ktk hilo
Naona unatumia nguvu nyingi kutetea uozo, hapo waliponunua hakuna chochote special ndio maana unaambiwa few metres kutoka hapo viwanja vilikuwa vinauzwa 25m.Maeneo ya wazi yapo mengi je ni strategic?
Au wewe unaona kila eneo la wazi unaweza kuwekeza?
Umekula maharage ya wapi?
Ukweli ni kwamba kama mtu amekuwa kwenye managerial level sehemu yoyote basi ukifanya ukaguzi lazima atakuwa kafanya makosa.Hii ni sawa na Rugemalila aliyetoa ardhgi kwa IPTL,akaja kuvuna mabilioni ya hatari mpaka yakamchanganya akaanza kutoa sandakalawe.
Inaonekana huyu mkurugenzi mpya wa NSSF ni mtu wa majungu na kupenda kukomoa,
sijui hata lengo lake la kuufanyia ufukunyungu management iliyopita ni nini wakati yeye tangu ashike madaraka hajaweza hata kufanya mradi mmoja hata wa kutengeza kalavati tu ili nae tujue kweli anafaa pale,
sasa hiyo kesi ya kimajungu hata upeleke mahakamani utamshinda nani zaidi ya kupoteza mda wa watu?,
hopelless kabisa huyu
hivi kama azimio walianza na kutoa ardhi,NSSF wao walianza na kutoa nini vile?Labda ungefafanua hiyo 20% ya land mliyo kubaliana ni sh ngapi na ardhi ni kiasi gani na market value ya ardhi ni sh ngapi.... maana mnapo tengeneza JV kama hiyo, lazima kila mtu achangie kitu chenye thamani halisi.... naomba ufafanuzi wa hilo tu mkuu....
20% ya bilioni 100 ni milioni 200!!!kijana wa leo ngoja nikupe explanation for dumb ,
Hivi wewe hapa ndio umeandika nini cha kuitetea NSSF wakati wa Dr Dau?!imagine wewe una kiwanja cha heka moja hapo kibaha ambacho tusema thamani yake waweza muuzia mtu kwa milion 10,
wanakuja wawekezaji wanataka kuweka mradi wa kujenga maghorofa ya kupangisha na wanataka wakupe milion 10 uwaachie kiwanja,
unapiga hesabu ya mradi utakaowekwa hapo na kuona utakuwa na thamani ya bilion 100,unaona kuuza kiwanja kwa milion 10 utakuwa umewapa watu ulaji,
unakataa kuuza,wanakubembeleza hatmaye unakubali kuingia nao ubia na mnapanga katika mradi huo upewe hisa 20%,ambayo kama sikosei ni thamani kama milion 200.
Kumbuka mwanzo thamani halisi ya hiyo heka yako moja ni sh milion 10,
lakini kwasababu umeingia mkataba wa land for equit sasa thamani yako katika mradi huo ni milioni 200.
Ndicho kilichotokea,halafu watu wanatumia umbumbu wa watu kutojua haya mambo kwa kuwapaka watu matope kuwa kuna ufisadi,
sasa swali ukipeleka mahakamani hii kesi utashinda au ndo yaleyale ya Dowans
Two wrongs don't make a right!!Rugemalila alipotoa ardhi na Iptl wakaweka mashine zao alikuwa na fedha?
Na je alilipwa yale mabillion ya pesa kwa tija gan kama siyo ile share yake?
Hutumii hata akili kujiongeza ktk hilo
mkuu,hiyo ardhi sio kwamba hao,azimio washakula hiyo milion 800 kila heka,20% ya bilioni 100 ni milioni 200!!!
Hivi wewe hapa ndio umeandika nini cha kuitetea NSSF wakati wa Dr Dau?!
Kwenye mfano wako unasema umetoa heka moja yenye dhamani ya milioni 10 lakini kwenye land equity umefanikiwa kuifikisha "milioni 200"! Kwenye huu mfano aliyenufaika ni Azimio....good for them!
Tatizo letu ni NSSF ambayo inaendeshwa kwa pesa zetu. Embu nieleze, NSSF imenufaika vipi Kwenye land equity ya "milioni 200" wakati dhamani halisi ya ardhi ni milioni10?!
Hatuelewi ni kwa nini NSSF wameingia ubia na Azimio kwa gharama kubwa. Kuna kitu kingine NSSF wananufaika kutoka kwa Azimio kama real estate expertise?
NSSF wangeweza kutekeleza huu mradi wenyewe kwa gharama nafuu bila Azimio!
Tofautisha kuingia ubia wa ardhi baadhi ya maeneo Dar na sehemu kama Kigamboni?
Rugemalila na iptl deal halikua wrong,ndo biashara inavyoenda,yaani uje usimike mitambo kiwanjani kwangu tuseme heka moja,uanze kuungurumisha mashine na kuuza umeme miaka nenda rudi juu ya kiwanja changu halafu mimi unilipe milion 25?,,Two wrongs don't make a right!!
Halafu Rugemalila aliingia ubia na IPTL ni shirika binafsi tofauti na NSSF ambalo linaendeshwa kwa pesa zetu.
Makampuni kama IPTL tanapingia ubia ya aina hiyo wanajua wenyewe cha kufanya ili kurudisha gharama zao na tumeona walichofanya!!