Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hawakununua waka opt ubia?
wangeweza kununua sawa,mfano kule kisarawe au serengeti wangeweza kupata eneo kubwa tu hata kwa milion kumi kumi,Vipi wangenunua ardhi yao kwa bei nafuu kuliko thamani ya hisa walizompa mbia? Yaani mfano wanunue ardhi eneo hilo hilo kwa mfano m100 badala ya kuchukua ya huyo mtu na kumpa share za thamani ya bilioni kadhaa? Au kulikuwa hamna ardhi ingine zaidi ya hio ya mbia?
Ha ha ha ha raha sana kumuuliz mtu kitu wakati jibu unalijua.Kufanya Mradi bila ya Ubia maana yake ni kuwa;
1) risk yote ya mradi ingebebwa na NSSF na kumbuka Pension fund wanatakiwa kuzingatiwa zaid kuepuka hasara kuliko kupata faida ambayo Ina high risk.
2) Cashflow ya NSSF ingeathirika zaid kias cha kukwamisha miradi mingine kwa kuwa kununua kunge involve Cash outflow .
3) Ubia na Mwekezaji Mwenza mwny Uzoefu wa Miradi ya aina hiyo hukuwezesha kupata Expertism yake with zero cost
4) Kunaipa Fursa NSSF kufanya Miradi mingi na kikubwa zaid kwa wakat mmoja kwa kuwa kuna punguza Over concentration ya mradi mmoja na hiyo ndio Siri ya NSSF chini ya Dr. Dau kuwezesha kufanya Miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja Kama vile Majengo ya Uwekezaji Mikoa yote ya Tanzania bara, UDOM , Bunge, Daraja la Kigamboni n.k
Nimependa uliposema 'pengine Azimio ndio pekee alikuwa na eneo hapo. Kama ungeniambia Azimio pekee ndio walikuwa na eneo hapo wala nisingehoji. Mfano siwezi kuhoji ubia posta DSM kwasababu hamna kiwanja kitupu pale.wangeweza kununua sawa,mfano kule kisarawe au serengeti wangeweza kupata eneo kubwa tu hata kwa milion kumi kumi,
sasa nani angeenda kuishi huko.?
Pengine azimio ndo alikuwa mtu pekee aliekuwa na eneo kubwa eneo hilo na alikuwa tayari kuliendeleza pia azimio ni wataalamu wa mambo ya real estate,
au unafikiri kina dau ndo wamechora ramani na kupanga huo mji ukae vipi ,pamoja na kusimamia ujenzi wake,pamoja na kutoa advertising kwa nyumba zilizo tayari,etc,
vyote vinahitaji wataalamu wa fani hiyo,mradi wenyewe kwanza ni mkubwa unahitaji wataalamu wa fani
Huna hoja ila wewe ni mnafiki na muongoMkuu muanzisha hoja anajamba tu maanake ktk ripoti ya CAG walihoji kwanini wasitumie ardhi yao kujenga ambayo wanayo hukohuko kigamboni,ile ni njia ya kuiba waloitumia na kampuni yenyewe ni ya dau
Ha ha ha ha raha sana kumuuliz mtu kitu wakati jibu unalijua.
Mbia huyu ambae alitakiwa awekeze kiasi fulani ambacho hana,inabidi NSSF aweke yeye sasa! Kweli expertism at zero cost.
Wewe unaongozwa na ubongo kweli kuja na majibu kama haya?Kufanya Mradi bila ya Ubia maana yake ni kuwa;
1) risk yote ya mradi ingebebwa na NSSF na kumbuka Pension fund wanatakiwa kuzingatiwa zaid kuepuka hasara kuliko kupata faida ambayo Ina high risk.
2) Cashflow ya NSSF ingeathirika zaid kias cha kukwamisha miradi mingine kwa kuwa kununua kunge involve Cash outflow .
3) Ubia na Mwekezaji Mwenza mwny Uzoefu wa Miradi ya aina hiyo hukuwezesha kupata Expertism yake with zero cost
4) Kunaipa Fursa NSSF kufanya Miradi mingi na kikubwa zaid kwa wakat mmoja kwa kuwa kuna punguza Over concentration ya mradi mmoja na hiyo ndio Siri ya NSSF chini ya Dr. Dau kuwezesha kufanya Miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja Kama vile Majengo ya Uwekezaji Mikoa yote ya Tanzania bara, UDOM , Bunge, Daraja la Kigamboni n.k
Ha ha ha ha ha nilikuwa nakuleta huku ndio ushakuja sasa. Hamna mwenye akili anapiga kizembe. Unatumia njia zinazoelezeka kupiga. Na ndio kilichofanyika!Kwa hiyo hoja ya kuwa NSSF wamenunua Kiwanja kwa Million 800 bado ipo au tushahamisha Magoli Kama kawaida yetu Watanganyika [emoji3][emoji3][emoji3]?
Wewe unaongozwa na ubongo kweli kuja na majibu kama haya?
1. Hata kama kungetokea risk ya project kutofikia malengo yake hao Azimio wangesaidiaje kwenye kubeba risk wakati walichotoa ni kidogo mno mno compare to NSSF? Sana sana hasara yao ingekuwa ni kidogo na NSSF ndio wangepata hasara. Hii theory ingekuwa kweli kama hao Azimio wangekuwa wametoa kitu cha maana. (Au labda ni mabingwa wa kubeba risk mabegani kwi kwi kwi)
2. Wewe kweli ukifanya mahesabu hata bila karatasi unaona kweli kama NSSF ingenunua eneo lake karibu na hapo ingetumia fedha nyingi kuliko huu utapeli uliofanywa?
3. Unaweza kuonesha hao Azimio walishafanya tena miradi ya aina hiyo mingapi na uzoefu wao? Ni kina nani hao?
4. Kwa hiyo shida ya NSSF ilikuwa ni mbia wa kuipunguzia muda wa concentration kwenye project moja ili ipate muda wa kufanya project nyingine? Sioni mantiki ya kumtafuta mbia wa namna hii kwa gharama kubwa kama hii. Bora isingefanya hiyo project!
Ha ha ha ha ha nilikuwa nakuleta huku ndio ushakuja sasa. Hamna mwenye akili anapiga kizembe. Unatumia njia zinazoelezeka kupiga. Na ndio kilichofanyika!
Haya mkuu,asante kwa elimu.Ndo sasa tusaidie hiyo hela imepigwaje wakati Mradi hata kuanza haujaanza? Inawezekana unajua hizo mbinu.
Hakuna mbinu yoyote Duniani kupiga hela Kama Hakuna Movement of cash sasa hapo Hakuna any movement in cashflow bado tunaambiwa wamepigwa. Nipe hizo mbinu mpya alizotumia Dau
pengine waliokuwepo hata watu 100 hapo wana viplot vidogo na wangejua kuna deal la kununua viwanja kwa mradi mkubwa lazima bei ingeshoot,lakini bado tena nssf ingebidi atafute mtu wa kufanya naye kazi,isitoshe haya maswali mahakamani hayatasaidia,eti kwamba kwanini msinunue badala ya kuingia ubia,Nimependa uliposema 'pengine Azimio ndio pekee alikuwa na eneo hapo. Kama ungeniambia Azimio pekee ndio walikuwa na eneo hapo wala nisingehoji. Mfano siwezi kuhoji ubia posta DSM kwasababu hamna kiwanja kitupu pale.
Basi hao waliofanya project analysisi wana uelewa kama wako!Hakuna haja ya kejeli na kebehi.
Economists agree to disagree, si lazima Analysis zangu na zako kufanana na hata zikipishana ni kitu cha kawaida kwny Project analysis
Naona kuna jitihada ya kutaka kuhamisha Magoli kimtindo mtindo.
Hoja ilikuwa ni kuwa NSSF imenunua Kiwanja kwa Tsh 800 Million jee ni kweli? Maana hili halihitaji analysisi ni facts ama NSSF walinunua au hawakununua maana Wananchi wa kawaida wanakorogwa na taarifa tofauti.