Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Mama Samia mitano tena, wanaomchukia wanasumbuliwa na udini na mfumo dume.
Msaliti hawezi kunipeleka utumwa Dubai kisha uje kumficha kwenye kivuli cha udini, daima nitasema..

Samia ni shetani.
 
Kwenye majumuisho kwani hayo mawkala wanakuwa wapi na wanakuwa na nakala ya matokeo ya kila kituo. Kwanini waibiwe wakati wa majumuisho wakati kura zipo wazi zina onekana. Haya tulikuwa na waangalizi wa kitaifa na kimataifa what was there comments. Hawa ndo mara nyingi huwa ni chanzo cha kujua uchaguzi kuwa huru na haki. Tuache kuleta taharuki wewe jinga jinga.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaesema umetolewa jehanamu wakati ndio umefika utumwani Dubai una akili?
Ila mkipelekwa utumwani Canada kwa Barrick ni sawa tu?

Hivi kuna Mtanzania anayechimba almasi Mwadui?
 
Sina muda wa kupoteza kwa mtu mjinga, kamuulize Odinga kura zinaibwaje atakupa elimu.
 
Duh
 
Sina muda wa kupoteza kwa mtu mjinga, kamuulize Odinga kura zinaibwaje atakupa elimu.
Unaona ulivyo tahira wewe. Wewe ndo umeleta mada hapa sasa mimi nikamuuliza odinga tena. Wewe si ndiyo mleta mada. You have evidences sasa twende nje ya nchi tena. Huna hoja. Acheni kuleta hisia. Ule uchaguzi mlipoteza Magufuli aliwazunguka kila kona genius mmoja.

Muda huu ambapo nchi imekuwa porous badala ya kujenga msimamo mmeshampitisha mama ashinde bila kupingwa. Baadaye mje tena mseme mmeibiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] wajinga ndo waliwao.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Kata pia kila mgombea anakua na wakala mmoja wa majumuisho,na kama anakubali vituo hewa nae kanunuliwa.

mambo yasiwe mengi, jambo kubwa ni bado watu awajawa tayari kwa mabadiliko.
viongozi wa upinzani wanaaminisha watu kuitoa madarakani ccm ni mpaka uchaguzi iyo ni kupumbaza watu na uoga.

zipo nchi raia walipochoka utawala walikiamsha tu chap na kikaeleweka bila kusubiri eti mpaka uchaguzi,uchaguzi wenyewe ni mara moja kila baada ya miaka mitano sasa ni lini utaitoa ccm madarakani!
 
Ila mkipelekwa utumwani Canada kwa Barrick ni sawa tu?

Hivi kuna Mtanzania anayechimba almasi Mwadui?
Hujielewi, kila jambo linajadiliwa kwa wakati wake, tuwekee hapa huo mkataba wa Barrick tuujadili.

Kwani huo mkataba wa Barrick nao hauna ukomo kama wa huyu mamako msaliti?
 
mwenda zake umetuletea wabunge hewa tunateseka nao sasa hivi wameweka hela mbele chato haitakusahau kwa miundombinu uliyoijenga na kurudisha heshima ya Chato

Nchi haitakusahau kws udikteta ulioufanya we nenda tu kwakweli
 
Umeandika maoni yako halafu unatulazimisha kuamini kua eti ndio ukweli. Umebumba hizo taarifa. Lamsingi Wapinzani tuhamasishe wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwachagua kama mnafaa na sio kuwahimiza wananchi kujiandaa na vurugu ambazo zikianza mnapandanndege kwenda nje kula Bata.
 
Kwako.. kulwa jilala na kisamv leteni mchango wenu...!
 
Ha ha ha ha ha Daaah

Hilo hata halikuzungumziwa Ikulu wakati ule.

Pole sana Kiongozi
 
100% ni kweli... na hata ajira za muda za usimamizi wa vituo vya kupigia kura nyingi zilikuwa za kupewa kwa maelekezo, walimu walitumika sana sana sanaaa, + hawa maafisa wetu, wapo hadi waliosafirishwa na kubadilishana Mikoa na majimbo... na hapa ndio kukatokea na tatizo la mawakala wengi wa upinzani kuzuiwa na kulalamika... mawakala wengi walitokea mahala tofauti na eneo la kupigia kura na wengi walikuwa maafisa
 
Wewe Chawa hatuzungumzii Uchaguzi wa Umoja wa Vijana
 
Upinzani ni viroboto na wajinga sana, hakuna mtanzania atakayekuja kuwaamini na it will never happen vibaraka wa mabeberu kutawala hii nchi.
Sawa Vibaraka wa Waarabu. Bado kuuzwa viuno vyenu tu.
 
Tunaojuwa ukweli wa mambo ndio maana tumechaguwa kukaa kimya, huyu mama ametutowa jehenamu.

Haya mambo ya bandari tuweke kando kwanza lakini watu waelewe vizuri alipotutowa huyu mama.
Huyu mama ametutoa wapi? Na ametutoaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…