Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Police nao wamesaidia sana kuharibu uchaguzi.
 
Dalili za kulamba chakula cha nyuki ni kukwepa kutia timu majimbo 14 ya uchaguzi!!!
Hakuna mtu au chama kinachojitambua kitaendelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi kwa mazingira haya. Ni mtu mjinga tu ataendelea kushiriki kwenye hizo chaguzi za kishenzi ili kuzipa uhalali, wakati box la kura haliheshimiwi.
 

Halafu dhalimu baada ya kuona matokeo aliyoyataka hayajaendana na idadi halisi ya watu waliojitokeza kwenye kupiga kura, akasema hakuna kushangilia ushindi bali watu wakachape kazi kwani uchaguzi umekwisha.
 
Tunaojuwa ukweli wa mambo ndio maana tumechaguwa kukaa kimya, huyu mama ametutowa jehenamu.

Haya mambo ya bandari tuweke kando kwanza lakini watu waelewe vizuri alipotutowa huyu mama.
Amekutoa utumwani kisha anakupeleka jehanamu huko uarabuni?

Mna mavi vichwani aisee..

Bora Magufuli alipora uchaguzi ambao unarekebishika baada ya miaka 5 vipi huyu bibi yako kukuuza uarabuni?
 
Sasa tushauriane hapa, ni mbinu gani wananchi tutumie kuiondoa CCM madarakani?
Hakuna haja ya kuiondoa CCM bali haja ni kuitakia CCM itimize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba yake na Katiba ya nchi.

Kwa sababu katiba zote mbili hazielekezi kukera wananchi bali zinaelekeza kuboresha maisha Yao katika nyanja zote.

Povu ruksa.
 
Amekutoa utumwani kisha anakupeleka jehanamu huko uarabuni?

Mna mavi vichwani aisee..

Bora Magufuli alipora uchaguzi ambao unarekebishika baada ya miaka 5 vipi huyu bibi yako kukuuza uarabuni?
Ushetani wa Magufuli haya ndio matunda yake, bunge aliloliweka kiharamu Magufuli ndio limehalalisha uharamia huu wa Waarabu, Magufuli huwezi kumtenganisha na hili haya ndio matunda tunayavuna sasa.

Nakumbuka wakati Makinda akiwa spika wakati wa kupitisha vifungu vya sheria alikuwa anampa air time sana Tundu Lisu na alikuwa akiheshimu sana ushauri wa Lisu.

Sasa huyu shetani wenu aliyetwaliwa kuzimu watu kama Lisu yeye ndio alikuwa anataka kuwauwa kikatili, shenzi kabisa lile zee.
 
Bunge ndio lilienda dubai kwenye expro?

Sikia bwana taahira, hilo bunge limecheza ngoma anayopiga huyu bibiako.

Bibiako angeamua vinginevyo wala yasingetokea haya kuuzwa kwa wajomba zake!

Ni lini bunge liliwahi kusimamia maslahi ya wanachi?

Huyo Lisu wako wakati Richmond, Meremeta, Rada, Escrow na uchafu mwingine unatokea si alikuwa bungeni? Alifnya nini kuzui usitokee?

Dr. Slaa juzi katwambia kuna mikataba ya hovyo zaidi ya 2,000 hapa nchini, je yote ilipita kwenye bunge hili

Mnafanya upumbavu alafu mnajificha kwenye kichaka cha Magufuli?
 
Yani mimi nikisikia Jina la magufuli naanza na Dua ya kumlaani shetani uko alipo aongezewe adhabu za kaburini..yani ni Bora ata Rais angekuwa bambo au kingwendu kuliko yule mtu almashauri kuu ya CCM mkiona mtu ana dalili za kuwa kama yule shetani naomba mlifyeke Jina lake mara moja..
 
Wewe ni taahira ndio maana mama yetu kaaamua awauze kwa wajomba zake Dubai.
 
Ndio walichotufanya hawa jamaa
 
Samahani Huwa sibishani tafadhali
 
Usinikumbushe baradhuli yule!
 
Nilifika kituoni saa nne asubuhi, hakukuwa na dalili za msongamano wala foleni, haikunichukua zaidi ya dakika 20 kukamilisha zoezi la kupiga kura.
Kilichonishangaza wakati wa kutumbukiza kura yangu ni kuona sanduku limejaa hadi kufika nusu!. Inawezekana watu walianza kupiga kura mapema sana...lakini kwa masanduku yote?.
Sidhani kama Magufuli alihitaji kuiba kura ili achaguliwe tena, CCM Kama chama ndio wanaonekana hasa kutengeneza mbinu ya kushinda kwa kishindo.....
Kwa mfumo uliopo wa uchaguzi sitapoteza tena muda wangu kwenda kupiga kura. Nitashawishika kupiga pale upigaji kura utakapokoma kuwa wa siri.
 
Mimi niyapokea haya na pia namuombea msamaha rais Magufuli kwani hata kama hujaweka ushahidi kudhibitisha hoja zako naamini upande wa pili alifanya hayo kwa maslahi mapana ya Nchi.
Lakini kwasababu sasa hivi hayupo na hakuna wa kumtetea zaidi ya kuwaomba msamaha nyie wakamilifu mumuache mzee mbona mnateseka sana.

Ni kitu GANI unataka ku prove?
 
Kila kiongozi Huwa ana mazuri yake na mabaya yake.

Miongoni mwa mabaya ya JPM ni uchaguzi wa 2020
 

Mbona Magufuli ambaye anajifanya alikuwa mzalendo hakuweza kuzuia huo wizi wakati alikuwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri? Au wakati akiwa waziri uliwahi kumsikia akipinga mikataba ya wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…