huyu jamaa nafikili si muelewa kabisa anashindwa kuleta ushahidi wa kimaandiko kabisaUko sahihi mimi ni mtupu kwako,kwa sababu naongea vitu ambavyo huvielewi.Mkuu tulia kwanza naona kama kuna vitu umepata sasa unataka kunidisturb ili niharibu noo brother,loose your temper not.Usifanye hivyo,kwa hiyo rafiki umenielewa au nikuache upumzike kesho niendelee kukuelimisha?Unajua tena brain ya mwanadamu ina kiwango maximum cha kupokea kikifikiwa unakuta mtu anakuwepo ila haelewi somo.
hiyo habari nimeikopi kutoka chombo cha habari cha vatikani kinaitwa Catholic news agency (CNA) kupesti humu jamii forum tu mkuu sasa naona wakatoliki wingine wanaipingakwa mkristu mkatoliki haitaji maelezo ya muanzisha uzi ili kuelewa aamini kipi kati ya hayo mnayo bishana
namuomba Mungu atupe Imani na hekima maana wengi hatujui kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
hiyo habari nimeikopi kutoka chombo cha habari cha vatikani kinaitwa Catholic news agency (CNA) kupesti humu jamii forum tu mkuu sasa naona wakatoliki wingine wanaipinga
kweli kabisa mkuu.kwa mkristu mkatoliki haitaji maelezo ya muanzisha uzi ili kuelewa aamini kipi kati ya hayo mnayo bishana
namuomba Mungu atupe Imani na hekima maana wengi hatujui kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
Ndugu kuwa na utaratibu wa kusoma biblia kila siku,kabla ya kusomwa mwombe Mungu nakusaidie kuelewa.Ukisoma biblia utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru.Wengi hawasomi biblia wanasubilia viongozi wao wasome waje wawaelezee na wengi wao wakikutana na watoto wa ma mdogo wanachukuliwa kirahisi kwa sababu hawalijui neno.kwa mkristu mkatoliki haitaji maelezo ya muanzisha uzi ili kuelewa aamini kipi kati ya hayo mnayo bishana
namuomba Mungu atupe Imani na hekima maana wengi hatujui kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
soma vizuri hiyo mada halafu uje na conclusion yako kama unaipinga au vipi sio unacomment kabla ya kuisomaMtu ambaye ni Mkatoliki na amepitia mafundisho ya ekaristi na kipaimara. Hawez kaa na kuanza kuuliza picha za kanisani ni za nini au rozali ni kitu gani. Nyie mnao question hivyo vitu sio wakatoliki nyie ni mamluki tu.
Siyo kosa lake wala usione ni yeye,kuna roho zinazotenda kazi ndani ya watu,zikiwafunga ufahamu hata uwaelezee vipi.Naamini unajua anayeokoa ni Mungu na si mwanadamu.Usimlaumu wakati wa bwana ukifika ataijua kweli,mwombee tu.Wewe panda mbengu,mwingine ataimwagilia maji kisha mwishoni atavunwa.huyu jamaa nafikili si muelewa kabisa anashindwa kuleta ushahidi wa kimaandiko kabisa
Uko sahihi mimi ni mtupu kwako,kwa sababu naongea vitu ambavyo huvielewi.Mkuu tulia kwanza naona kama kuna vitu umepata sasa unataka kunidisturb ili niharibu noo brother,loose your temper not.Usifanye hivyo,kwa hiyo rafiki umenielewa au nikuache upumzike kesho niendelee kukuelimisha?Unajua tena brain ya mwanadamu ina kiwango maximum cha kupokea kikifikiwa unakuta mtu anakuwepo ila haelewi somo.
Aliyekuambia Catholic News Agency ni Chombo cha habari kutoka Vatican ni nani...?we jamaa ubishi wako siuweliwi kabisa unafikili nimejitungia hayo au unafikili kila mmoja unaweza kumshinda kirahisi na hiyo information ni kutoka CNA chombo cha habari kutoka Vatican na sijui kama umeisoma na kuielewa vizuri.
huyu jamaa nafikili si muelewa kabisa anashindwa kuleta ushahidi wa kimaandiko kabisa
Wewe unaesoma ndio ulipata maarifa kuwa hakuna dini ya kweli duniani..?Ndugu kuwa na utaratibu wa kusoma biblia kila siku,kabla ya kusomwa mwombe Mungu nakusaidie kuelewa.Ukisoma biblia utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru.Wengi hawasomi biblia wanasubilia viongozi wao wasome waje wawaelezee na wengi wao wakikutana na watoto wa ma mdogo wanachukuliwa kirahisi kwa sababu hawalijui neno.
Sasa wakiabudu sanamu we inakukera nini kipi kinakufanya uchukie wakati unadhehebu lako?? Kwann usiwe bize na dhehebu lako tu..kama wanakuchefua hicho ni kiherehere chako umeyataka mwenyewe chefuka vzurnachukia dhehebu...sijataja mtu..
uwege unasoma vizur basi kabla hujajibu..
ila hapa kila mtu ana uhuru wa kueleza yake ya moyoni
KAMA NIMEKUKERA AM SOREEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwani nimequote post yako au naongelea wanaocrush ivyo vitu? Sijahangaika kuisoma iyo post sababu sijui hiyo lugha mimi nmesoma comments na ndicho nikichokiandika kutokana na commentssoma vizuri hiyo mada halafu uje na conclusion yako kama unaipinga au vipi sio unacomment kabla ya kuisoma
Huwa mkishindwa hoja ndio maneno mnayokimbilia....Nasubiria uniite pepo...Siyo kosa lake wala usione ni yeye,kuna roho zinazotenda kazi ndani ya watu
haya niilekeze ni cha wapi sasa na kwa nini kijiite Catholic news agency(CNA) halafu umeifungua hiyo link kama nilivyokuelekeza mkuuAliyekuambia Catholic News Agency ni Chombo cha habari kutoka Vatican ni nani...?
zipinge hoja sasa za Catholic news agency kimaandiko na si vinginevyo siumesema sio chombo cha habari cha Vatican mkuuUshahidi gani..? Kwa hoja ipi uliyoniomba andiko nikupe..?
Hebu nioneshe hiyo hoja yako niione..
hiyo habari nimeikopi kutoka chombo cha habari cha vatikani kinaitwa Catholic news agency (CNA) kupesti humu jamii forum tu mkuu sasa naona wakatoliki wingine wanaipinga
Sorry kama nimekukwaza but hiyo post ilikuwa inajieleza ndio maana niliandika vile.Kwani nimequote post yako au naongelea wanaocrush ivyo vitu? Sijahangaika kuisoma iyo post sababu sijui hiyo lugha mimi nmesoma comments na ndicho nikichokiandika kutokana na comments
Hiyo ni web site kubwa inayomilikiwa na Padre mmoja wa Kimarekani...haya niilekeze ni cha wapi sasa na kwa nini kijiite Catholic news agency(CNA) halafu umeifungua hiyo link kama nilivyokuelekeza mkuu