Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Sipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Ewaaa... ila kwenye kuruhusu ulabu... hapo nalipa big up kanisa letu pendwa.
 
natamani nusu ya waroma wote wangekua ka wewe.
mambo ya kutafsili huwa yananishinda mkuu lakini hiyo ni moja ya sehemu ya article hapo juu kuhusu msimamo wa Roman katika kupinga kuabudu zile sanamu zilizopo makanisani

" The Church does NOT compel her members to kneel or pray before images. No one is allowed by the Church to pray to images since they have no ears to hear or power to help us. The Church allows for the veneration of images as long as the honor is directed towards Christ and His saints."
 
Hiyo ndio points nafata Bible inavyosema sio wao wanavyotaka
Kumbe tupo wengi aisee nilikuwa sijui kabisa mambo ya kubusu sanamu hapana ila jumapili kama kawaida church naingia.
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Huwezi kujiita mkatoliki alafu ukajiweka pembeni mambo hayo....!
Huo utakuwa in zaidi ya uwendawazimu....!

Kwani msalaba,rozari vinaabudiwa....?

Wapi kwenye rozari Maria anaombwa msamaha.....?

Pole sana...!ila endelea na usabato wako.
 
Mkuu, nimeelewa kuwa kuna watu hawajui Katesisi...
 
Huwezi kujiita mkatoliki alafu ukajiweka pembeni mambo hayo....!
Huo utakuwa in zaidi ya uwendawazimu....!

Kwani msalaba,rozari vinaabudiwa....?

Wapi kwenye rozari Maria anaombwa msamaha.....?

Pole sana...!ila endelea na usabato wako.
Wapi nimesema vinaabudiwa?? Nimesema siwezi kubusu msalaba na huwezi kunilazimisha wala kunitoa kwenye ukatoliki.

Unaruhusiwa kuniita mwendawazimu kwakuwa imani yako ya kikatoliki unayoiamini wewe inakuruhusu hivyo. Ila imani yangu mimi sithubutu wala kukuita mjinga kwakuwa ntakuwa natenda dhambi

Pili sijasema Maria anaombwa msamaha bali nimesema siamini kama Maria anaweza kusikiliza sala zangu kwakuwa hana uwezo wa kiMungu. Kama wewe unaamini sijakukataza...
 
Hebu jisemee nafsi yako....Huko hivyo na nani...??

Pole maana una-poor catechesis....

Sikujua kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki...ningejua parokia yako, nikikuona tu unaingia nahakikisha nakutoa nje maana wewe ni mafiki wa kiwango cha juu
Duuh mkuu punguza speed barabara ina mashimo hii
 
Back
Top Bottom