Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahaja vijana mna tabu kwelikweli. Unaweza kukuta nabishana na mwanangu miliyemfundisha mwenyewe.Katekesisi yako ni duni kwa viwango vya Bashite....Sidhani hata kama Biblia unayo wewe..?
Kwa kukusaidia tu... nimeusoma ukatoliki kabla hujazaliwa... naujua labda kumzidi hata baba yako. Biblia hapa ndio nyumbani kwake. Kuanzia ya kikatoliki mpaka hizi nyingine ambazo baadhi ya vitabu vimeondolewa.
Kijana baki na imani yako ya kukariri... Sisi tunafuata misingi ya bibli. Sote tuna nia moja... tukutane mbinguni.
Siku nyingine uwe na nidhamu ya kutumia lugha nzuri kwenye mijadala inayohusu imani.
Mapovu yapeleke siasani... huu pia ni ushauri tu, sio lazima uufuate. Maana tumetofautiana makuzi na hekima na busara pia hutofautiana