Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sikiliza dogo... mi siko hapa kukishawishi au kukufundisha chochote. Mi nimeweka tu msimamo wangu kuhusu kanisa langu. Na huu ni msimamo wangu na wala simshawishi yeyote kuufuata (akiwemo mke wangu na wanangu)We ndg acha kujikweza....!
Acha kujisifia waache wakusifie...!
Huenda ukawa wewe ni mchanga sana kwenye maandiko kuliko unavyofikiri.....!
My self bado ujanishawishi even for a single word
According to your post it seems your very shallow in bible knowledge bro.....!come up utapata elimu humu JF.....!karibu sana...!
Kama niko shallow we inakuuma au inakuhusu nini??
Mi ni mkatoliki...
Nahudhuria misa takatifu...
Nakomunyika...
Mwanachama wa CPT...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mt. Aloyce...
Nakunywa bia..
Nakula kitimoto...
Sisali rozari....
Sibusu msalaba ijumaa kuu
Huu ndio ukatoliki wangu... hakuna wa kunielekeza vingunevyo