Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
ExactlyWapi nimesema vinaabudiwa?? Nimesema siwezi kubusu msalaba na huwezi kunilazimisha wala kunitoa kwenye ukatoliki.
Unaruhusiwa kuniita mwendawazimu kwakuwa imani yako ya kikatoliki unayoiamini wewe inakuruhusu hivyo. Ila imani yangu mimi sithubutu wala kukuita mjinga kwakuwa ntakuwa natenda dhambi
Pili sijasema Maria anaombwa msamaha bali nimesema siamini kama Maria anaweza kusikiliza sala zangu kwakuwa hana uwezo wa kiMungu. Kama wewe unaamini sijakukataza...