Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mkuu kama mngekuwa mnasoma na kuelewa bible basi makanisa yote ya kikatoliki mngechoma au kutupilia mbali masanamu yenu yote...uwepo wa hayo madubwana ni kiashiria tosha kwamba hamjui bible
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Una uhakika gani kuwa we uko uliko ndo uko ktka njia sahihi[emoji13] [emoji12]hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Kweli kabisa...kwenye biblia yako hiyo unayosoma hakuna mahali kumekatazwa kuchonga masanamu. ..si mlifuta hivyo vipengele wakati mnarekebisha neno la Mungu??Hakuna mahali kwenye biblia kumekatazwa kutengeneza au kuchonga sanamu....Sijui biblia gani hiyo imekataza...
Niwekee nukuuu inayoonesha Mungu alikataa kuchonga sanamu...tujadiliKweli kabisa...kwenye biblia yako hiyo unayosoma hakuna mahali kumekatazwa kuchonga masanamu. ..si mlifuta hivyo vipengele wakati mnarekebisha neno la Mungu??
Acha upimbi ww kila mtu aamin iman yake xio unatukana tu ovyo by the way roman catholic ndo chimbuko la all other related religions isipokuwa muslims tu...xo next time watch outhakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Ndio maana Biblia inasema kanisa hili lililoitwa "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi".Ufunuo 17:5.Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
Hivi kuna wazinzi dunia hii kuwazidi makasisi na masista wa roma? Ulevi ninyi, sigara ninyi, kulawiti watoto ninyi wenyewe ila mansingizia wengine. Kweli roma ni kiti cha enzi cha shetani.Wasabato bwana in shida sana pamoja na kulichkia sana kanisa katoliki mbona mmeshindwa kushawishi watu kujiunga na Manisa ln? Matokeo tunaona kila Sikh wasabato mnazidi kupungua?na wakatoliki wanazidi ongezeka!hebu endeleeni na yule mama yenu mwasi was kanisa mpk akafukuzwa na kanisa lake na kujiunga na Freemasonry.Mani aside jua wasabato mlivyokua washirikina wabaguzi MNA chuki wachoyo wazinzi.
Tumeagizwa upendo na si chuki! Kama ni mkristo wa kweli, kwa kauli zako hizo umepotoka ndugu! Nakushauri usome vizuri maandiko matakatifu.hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Wewe si mkatoliki hebu fanya yako.. huwezi kuwazidi watu waliyoyajua haya toka Enzi za yesuMimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...
Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Wewe sio mkatolikiSipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Yani mtu kama huyo anatakiwa kuwa excommunicatedHebu jisemee nafsi yako....Huko hivyo na nani...??
Pole maana una-poor catechesis....
Sikujua kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki...ningejua parokia yako, nikikuona tu unaingia nahakikisha nakutoa nje maana wewe ni mafiki wa kiwango cha juu
Wewe sio mkatoliki na askofu kama angekujua angekufungia sacramentNiko Parokia ya Mwenye heri Isidori Bakanja, Boko. Hebu njoo nione uwezo wako wa kunizuia.
Maana hata askofu wangu anaujua msimamo wangu na hajawahi kunisema vibaya kama wewe "mtakatifu mbarikiwa"
Nimependa maelezo yako..Watu wanatafsiri tofauti sana,hivi yesu hakufundisha kwa mifano!!au kama sanam ninamna yakuabubu ..Hivi kuna makanisa mangapi yana arama ya musaraba!!kwahiyo na msalaba ule tuite sanam,waiabudio watu",sanam nipicha inayo toa lugha yenye kielelezo flani kiuhalisia.watu hutumia kukashfu dhehebu la watu flani kutumia sanam,jambo ambalo sio sahihi.Mimi ni Roman Catholic
Sijawahi kuabudu sanamu hata siku moja. Kanisani naziona sanam kama zinatoa lugha ya picha kwa waumini.
Mfano sikujua kusulubiwa kunakuwaje mpaka nilipoiona sanamu ikinionyesha namna mtu anayesulubiwa msalabani anavyo kaa msalabani.
Bwana Yesu Kristo alifundisha mahali na kusema
" Ufalme wa mbingu upo mioyoni mwenu "
Hivyo maamuzi yako ndiyo yanayo zingatiwa kuhusu nini unaabudu.
Unaweza ukaingia kanisani iliyojaa sanamu lakini wewe moyo na akili zako ukaziongoza katika kumwabudu Mungu.
Unaweza kuingia kanisa ambalo halina sanamu hata moja na ukaabudu miungu mingine
kama kwa wanaume kuelekeza akili zao kwa wanawake warembo walioko kanisani badala ya kumwomba Mungu.
Watu wa siku hizi wanaabudu miungu mingi tu bila kujijua.
Wengine wanaabudu simu, kila wakati wana chati au kuangalia video, hawana muda wa kuenda kanisani wala kusali.
Wengine wanaabudu wanamuziki au wacheza mpira nk. mpaka wamechora tatuu zao mwilini
Mimi hata kwa bahati mbaya nikiingia kanisa la shetani nitamwabudu Mungu rohoni na sala zangu zitamfikia, na shetani hatanigusa mpaka natoka.
Je wewe moyoni unamwabudu nani ?
Ukimjua na kumwabudu Mungu kwa dhati hakuna cha sanamu wala shetani watakao kubabaisha.
Tuonane baadae