Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Mkuu kama mngekuwa mnasoma na kuelewa bible basi makanisa yote ya kikatoliki mngechoma au kutupilia mbali masanamu yenu yote...uwepo wa hayo madubwana ni kiashiria tosha kwamba hamjui bible

Hakuna mahali kwenye biblia kumekatazwa kutengeneza au kuchonga sanamu....Sijui biblia gani hiyo imekataza...
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.

Naweza kusema hujaelewa au hujasoma vizuri hyo post hapo juu. Siku zote usiongozwe na mihemko katika kuevaluate kitu kama ulivofanya hapo juu.
Kujua au kushika kifungu kimoja cha bible sio kujua bible, Bible ni pana sana ndugu, soma vifungu hapo juu vitakusaidia.
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Una uhakika gani kuwa we uko uliko ndo uko ktka njia sahihi[emoji13] [emoji12]
 
Hakuna mahali kwenye biblia kumekatazwa kutengeneza au kuchonga sanamu....Sijui biblia gani hiyo imekataza...
Kweli kabisa...kwenye biblia yako hiyo unayosoma hakuna mahali kumekatazwa kuchonga masanamu. ..si mlifuta hivyo vipengele wakati mnarekebisha neno la Mungu??
 
Kweli kabisa...kwenye biblia yako hiyo unayosoma hakuna mahali kumekatazwa kuchonga masanamu. ..si mlifuta hivyo vipengele wakati mnarekebisha neno la Mungu??
Niwekee nukuuu inayoonesha Mungu alikataa kuchonga sanamu...tujadili
 
Mimi ni Roman Catholic
Sijawahi kuabudu sanamu hata siku moja. Kanisani naziona sanam kama zinatoa lugha ya picha kwa waumini.

Mfano sikujua kusulubiwa kunakuwaje mpaka nilipoiona sanamu ikinionyesha namna mtu anayesulubiwa msalabani anavyo kaa msalabani.

Bwana Yesu Kristo alifundisha mahali na kusema

" Ufalme wa mbingu upo mioyoni mwenu "

Hivyo maamuzi yako ndiyo yanayo zingatiwa kuhusu nini unaabudu.
Unaweza ukaingia kanisani iliyojaa sanamu lakini wewe moyo na akili zako ukaziongoza katika kumwabudu Mungu.

Unaweza kuingia kanisa ambalo halina sanamu hata moja na ukaabudu miungu mingine
kama kwa wanaume kuelekeza akili zao kwa wanawake warembo walioko kanisani badala ya kumwomba Mungu.

Watu wa siku hizi wanaabudu miungu mingi tu bila kujijua.

Wengine wanaabudu simu, kila wakati wana chati au kuangalia video, hawana muda wa kuenda kanisani wala kusali.
Wengine wanaabudu wanamuziki au wacheza mpira nk. mpaka wamechora tatuu zao mwilini
Mimi hata kwa bahati mbaya nikiingia kanisa la shetani nitamwabudu Mungu rohoni na sala zangu zitamfikia, na shetani hatanigusa mpaka natoka.

Je wewe moyoni unamwabudu nani ?

Ukimjua na kumwabudu Mungu kwa dhati hakuna cha sanamu wala shetani watakao kubabaisha.

Tuonane baadae
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Acha upimbi ww kila mtu aamin iman yake xio unatukana tu ovyo by the way roman catholic ndo chimbuko la all other related religions isipokuwa muslims tu...xo next time watch out
 
Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
 
Ndio maana Biblia inasema kanisa hili lililoitwa "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi".Ufunuo 17:5.
ni kanisa mama na lina watoto wanaofuata nafundisho yake.Linaitwa babeli baada ya kubadili amri za Mungu pamoja na majira rejea Daniel 7:25. " Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake aliye juu, naye ataazimu kubadili majira na sheria, nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, nyakati na nusu wakati"

Anayezungumziwa hapo ni utawala wa kipapa wa kanisa la Roman Catholic.kanisa limetesa watakatifu wa Mungu kama ilivyotabiliwa kwa siku 1260 (ufunuo 11:3: ufunuo 12:6)au miezi 42 (ufunuo 11:2), au miaka mitatu na nusu (Daniel 7:25). Hiki ndicho kipindi cha zama za giza. Biblia haikiruhusiwa kusomwa na waumini wa kawaida isipokuwa misale ya waumini ambayo tayari ilikuwa imepotishwa. Ni kipindi hiki waliibuka wana matengenezo wakiwemo Martin Luther, Jan Huss, Jerome na wengineo ambao walianza kupinga mafundisho potofu ikiwemo kutubu dhambi kwa padri na kupewa cheti cha msamaha., ibada za wafu n.k. mambo haya yaliamsha mateso kwa hawa watakatifu wa Bwana kama ilivyotabiriwa kuwa watatiwa mikononi mwa huyu mnyama, ama pembe ndogo iliyozuka katika pembe za huyu mnyama yaani Rumi ama Babeli Mkuu yule kahaba wa Ufunuo 17:5.

Haya mambo yako wazi, historia iko wazi na Biblia imetoa nuru ya kutosha kuhusu uasi wa Roman Catholic, jambo lililopelekea kuitwa "Mama wa Makahaba na machukizo ya nchi". Nawasihi turejee mafungu hayo niliyotoa kwa kupata maarifa ya kutusaidia katika wokovu wetu.
 
Wasabato bwana in shida sana pamoja na kulichkia sana kanisa katoliki mbona mmeshindwa kushawishi watu kujiunga na Manisa ln? Matokeo tunaona kila Sikh wasabato mnazidi kupungua?na wakatoliki wanazidi ongezeka!hebu endeleeni na yule mama yenu mwasi was kanisa mpk akafukuzwa na kanisa lake na kujiunga na Freemasonry.Mani aside jua wasabato mlivyokua washirikina wabaguzi MNA chuki wachoyo wazinzi.
 
Hivi kuna wazinzi dunia hii kuwazidi makasisi na masista wa roma? Ulevi ninyi, sigara ninyi, kulawiti watoto ninyi wenyewe ila mansingizia wengine. Kweli roma ni kiti cha enzi cha shetani.
 
Em ngoja...zile statue za kina Ronaldo,Messi, Mandela na wengine zina lengo gani?Nadhani Ni Ku honor au kukumbuka na kuthamini mchango wa mtu.Yani mortal man.Maana binadamu tunasahau,ili kuwakumbuka binadamu wenzetu waliofanya makubwa,tunatengeneza sanamu zao.

Kwanini tutengeneze sanamu ya Yesu wakati yeye Ni Immortal.Hahitaji sanamu.Kwa sababu yeye Ni neno.Neno linaloleta uzima.Na neno la Mungu linasema mambo yote yatapita lakini Neno litasimama.Na watu wamemjua Yesu kupitia neno la Mungu na sio hizi sanamu.
Misikiti ya waislamu imejaa maneno ya Quran na sio sanamu za Muhammad wala Nani na bado wanamwamini Allah na mtume wake.
Hizo sanamu za Yesu,Maria na watakatifu hazina Maana yoyote kwangu zaidi ya imani haba ya mwanadamu.
Mungu wetu si mwanadamu mpaka ajengewe sanamu.Minaona Mungu angefurahi zaidi Kama tungebusu miguu ya masikini kuliko ya sanamu.

Halafu mleta mada naona ulidhani ndo umemaliza debate kwa points chache ulizotoa.Ukitaka kumshawishi mtu siku nyingine njoo na points kutoka upande wa pili pia.
Naomba ukasome kitabu kinaitwa The great controversy.Utajua mchango mkubwa wa Constantine katika kuingiza upagani katika ukristo ili afanikiwe kutawala.Ndio utaelewa kwanini wengine tunachagua vya kuamini.
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Tumeagizwa upendo na si chuki! Kama ni mkristo wa kweli, kwa kauli zako hizo umepotoka ndugu! Nakushauri usome vizuri maandiko matakatifu.
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Wewe si mkatoliki hebu fanya yako.. huwezi kuwazidi watu waliyoyajua haya toka Enzi za yesu
 
Sipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Wewe sio mkatoliki
 
Hebu jisemee nafsi yako....Huko hivyo na nani...??

Pole maana una-poor catechesis....

Sikujua kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki...ningejua parokia yako, nikikuona tu unaingia nahakikisha nakutoa nje maana wewe ni mafiki wa kiwango cha juu
Yani mtu kama huyo anatakiwa kuwa excommunicated
 
Niko Parokia ya Mwenye heri Isidori Bakanja, Boko. Hebu njoo nione uwezo wako wa kunizuia.

Maana hata askofu wangu anaujua msimamo wangu na hajawahi kunisema vibaya kama wewe "mtakatifu mbarikiwa"
Wewe sio mkatoliki na askofu kama angekujua angekufungia sacrament
 
Mimi ni Roman Catholic
Sijawahi kuabudu sanamu hata siku moja. Kanisani naziona sanam kama zinatoa lugha ya picha kwa waumini.

Mfano sikujua kusulubiwa kunakuwaje mpaka nilipoiona sanamu ikinionyesha namna mtu anayesulubiwa msalabani anavyo kaa msalabani.

Bwana Yesu Kristo alifundisha mahali na kusema

" Ufalme wa mbingu upo mioyoni mwenu "

Hivyo maamuzi yako ndiyo yanayo zingatiwa kuhusu nini unaabudu.
Unaweza ukaingia kanisani iliyojaa sanamu lakini wewe moyo na akili zako ukaziongoza katika kumwabudu Mungu.

Unaweza kuingia kanisa ambalo halina sanamu hata moja na ukaabudu miungu mingine
kama kwa wanaume kuelekeza akili zao kwa wanawake warembo walioko kanisani badala ya kumwomba Mungu.

Watu wa siku hizi wanaabudu miungu mingi tu bila kujijua.

Wengine wanaabudu simu, kila wakati wana chati au kuangalia video, hawana muda wa kuenda kanisani wala kusali.
Wengine wanaabudu wanamuziki au wacheza mpira nk. mpaka wamechora tatuu zao mwilini
Mimi hata kwa bahati mbaya nikiingia kanisa la shetani nitamwabudu Mungu rohoni na sala zangu zitamfikia, na shetani hatanigusa mpaka natoka.

Je wewe moyoni unamwabudu nani ?

Ukimjua na kumwabudu Mungu kwa dhati hakuna cha sanamu wala shetani watakao kubabaisha.

Tuonane baadae
Nimependa maelezo yako..Watu wanatafsiri tofauti sana,hivi yesu hakufundisha kwa mifano!!au kama sanam ninamna yakuabubu ..Hivi kuna makanisa mangapi yana arama ya musaraba!!kwahiyo na msalaba ule tuite sanam,waiabudio watu",sanam nipicha inayo toa lugha yenye kielelezo flani kiuhalisia.watu hutumia kukashfu dhehebu la watu flani kutumia sanam,jambo ambalo sio sahihi.
 
Back
Top Bottom