Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Mimi nawachukia wasabato je Wewe nawachukia kina nani vile. Ila naipenda Roma namwingine aseme dini anayoichukia inshu sikuchukiana?
 
Unawachukia waroma alafu unampenda Mungu.. We msabato unabalaaa
 
Pita hiyo njia yako si tunapita yetu tukutane kwa Mungu nisipokuona nitajua upo kwa shetani.
Ndugu zako karibia wote Wakiwa kwa Shetani moto wa milele/eternal fire.

Wewe ukiwambinguni atujisikiaje..?
 
nachukia dhehebu...sijataja mtu..
uwege unasoma vizur basi kabla hujajibu..
ila hapa kila mtu ana uhuru wa kueleza yake ya moyoni
KAMA NIMEKUKERA AM SOREEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]
ni kosa sana kuomba msamaha(sory)kama unajustify wazo lako mkuu
 
Wao wanakupenda?
 
Hata tunavyosema Mama Tanzania anahitaji demokrasia ya kweli, hatumaanishi Tz ni nchi yenye jinsia ya kike...

Umenisoma...?
tanzania na maria sawa vyote ni nomino lakini vina tofauti kabisa na sizani kama neno MAMA TANZANIA laweza tetea hoja yako mkuu
 
Wewe pilipili za shamba usizozila zinakuwashia nini. ? Are you want to become a Catholic...??
ni ivi ulimwengu ulipoumbwa haikuumbwa dini wala makabila ila dini ni zile amri kumi zilizoshushwa na mwenyezi ikitumiinusha tusitende makosa na wakumwabudu ni muumba pekee na kwa upande wa roman vyote vishaandikwa nakiukweli wapo kinyume na kadri miaka inavyosogea uongoz wa roman utakuja jianika wazi tu.....tunaishi kwenye dunia ambayo kila kitu kinachoendelea kutokea vilishawekwa kwenye vitabu takatifu
 
Wasabtho weng wanahitaji kuhurumiwa,
Hiv Kanisa la sabatho na followers wake wamefanya kipi cha ziada apa duniani? Zaid ya kusengenya na umbeya kwa madhehebu Mengne.
Leo hii watu wote dunian wanaweza kujua miaka yao toka wamezaliwa, wakiwemo wasabatho wenyewe, ukiwaulza kwa calenda ya kisabatho una miaka mingap wanangaa macho tu., ukiwauliza neno satarday limetoka wap hawajui,
Ukiwauliza compilation ya biblia ilfanywa na akina nan hawajui, tena wasabtho wa kibongo wanajua biblia ilishuka toka mbinguni ikiwa na cover jeusi.
 
Umesemaje...? Nakurudia
 
Umesemaje...? Nakurudia
Utaendelea kupinga ukweli hadi lini? Neno linasema "leo uisikiapo sauti yake usifanye moyo wako kuwa mgumu". Kijana acha ubishi sanamu haziwezi kukuokoa, ni Yesu pekee awezaye kukuokoa.
 
Umesemaje...? Nakurudia
Utaendelea kupinga ukweli hadi lini? Neno linasema "leo uisikiapo sauti yake usifanye moyo wako kuwa mgumu". Kijana acha ubishi sanamu haziwezi kukuokoa, ni Yesu pekee awezaye kukuokoa.
 
Hao jamaa hizo Sanamu huwa wanaziheshimu, wanazipigia magoti, Wanazihusudu, wanazisujudia, Wanazibusu nk.
Kama sio ibada kwao, za nini hasa? Inamaanisha nini hasa kuzifanyia hivyo hizo sanamu?

Mkatoliki yuko bega kwa bega na Maria, Sanamu, Rosali na Misalaba. Sijui hivyo vitu kama ni genuine katika imani hasa ya kikristo inayoamini Biblia ni neno la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…