advent luoga
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 103
- 34
Mimi nawachukia wasabato je Wewe nawachukia kina nani vile. Ila naipenda Roma namwingine aseme dini anayoichukia inshu sikuchukiana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawachukia waroma alafu unampenda Mungu.. We msabato unabalaaahakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Haujaeleweka Mkuu..Mimi nawachukia wasabato je Wewe nawachukia kina nani vile. Ila naipenda Roma namwingine aseme dini anayoichukia inshu sikuchukiana?
Hahaha umenifanya nicheke!Tukutane mbinguni.
Pita hiyo njia yako si tunapita yetu tukutane kwa Mungu nisipokuona nitajua upo kwa shetani.Hahaha umenifanya nicheke!
Huko mbinguni Kuna nini...?
Ndugu zako karibia wote Wakiwa kwa Shetani moto wa milele/eternal fire.Pita hiyo njia yako si tunapita yetu tukutane kwa Mungu nisipokuona nitajua upo kwa shetani.
Hawa jamaa wasivyo na aibu watasema hapo jamaa hasujudii sanamuhuyu anamuabudu nani hapa?
![]()
Hakuna Roman church, its only Catholic church.Sometimes Roman tunakosea sana ila haina jinsi maana hakuna mkamirifu
Nitajua kuwa wanavuna walichopanda.Ndugu zako karibia wote Wakiwa kwa Shetani moto wa milele/eternal fire.
Wewe ukiwambinguni atujisikiaje..?
ni kosa sana kuomba msamaha(sory)kama unajustify wazo lako mkuunachukia dhehebu...sijataja mtu..
uwege unasoma vizur basi kabla hujajibu..
ila hapa kila mtu ana uhuru wa kueleza yake ya moyoni
KAMA NIMEKUKERA AM SOREEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wao wanakupenda?hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
tanzania na maria sawa vyote ni nomino lakini vina tofauti kabisa na sizani kama neno MAMA TANZANIA laweza tetea hoja yako mkuuHata tunavyosema Mama Tanzania anahitaji demokrasia ya kweli, hatumaanishi Tz ni nchi yenye jinsia ya kike...
Umenisoma...?
ni ivi ulimwengu ulipoumbwa haikuumbwa dini wala makabila ila dini ni zile amri kumi zilizoshushwa na mwenyezi ikitumiinusha tusitende makosa na wakumwabudu ni muumba pekee na kwa upande wa roman vyote vishaandikwa nakiukweli wapo kinyume na kadri miaka inavyosogea uongoz wa roman utakuja jianika wazi tu.....tunaishi kwenye dunia ambayo kila kitu kinachoendelea kutokea vilishawekwa kwenye vitabu takatifuWewe pilipili za shamba usizozila zinakuwashia nini. ? Are you want to become a Catholic...??
Umesemaje...? Nakurudiani ivi ulimwengu ulipoumbwa haikuumbwa dini wala makabila ila dini ni zile amri kumi zilizoshushwa na mwenyezi ikitumiinusha tusitende makosa na wakumwabudu ni muumba pekee na kwa upande wa roman vyote vishaandikwa nakiukweli wapo kinyume na kadri miaka inavyosogea uongoz wa roman utakuja jianika wazi tu.....tunaishi kwenye dunia ambayo kila kitu kinachoendelea kutokea vilishawekwa kwenye vitabu takatifu
Utaendelea kupinga ukweli hadi lini? Neno linasema "leo uisikiapo sauti yake usifanye moyo wako kuwa mgumu". Kijana acha ubishi sanamu haziwezi kukuokoa, ni Yesu pekee awezaye kukuokoa.Umesemaje...? Nakurudia
Utaendelea kupinga ukweli hadi lini? Neno linasema "leo uisikiapo sauti yake usifanye moyo wako kuwa mgumu". Kijana acha ubishi sanamu haziwezi kukuokoa, ni Yesu pekee awezaye kukuokoa.Umesemaje...? Nakurudia
yaan wew usirudi dini imezuka kutoka kwa binadamu.....dini hazikuwepoUmesemaje...? Nakurudia