Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

kwenye pilipili nsoila...ni kama unadai naingilia yasonihusu.lakin mi pia ni mkristo...ninaona kabisa mnaenda kinyumw na maandiko nsiwaambie???
na swali lako la kiingereza umevunga ndugu yangu...lirudie tena..pale kwenye are weka do.[emoji4]
Shahidi wa Yehova
 
Mwasi mkuu ni roman catholic aliyebadili amri za Mungu.
 
Habari,
Maswali ya kujiuliza: Roma ni dini?
Roma ni dhehebu la kwanza?
Kwanza kabisa dini nijuhudi za mwanadamu kumtafuta mungu wake.
Ukristo ni Mungu mwenyewe kutafuta mwanadamu amwelekee yeye kwa njia ya Kristo Yesu Masia.
Roma si dini ila nidhehebu kutoka ukristoni.
Roma si dhehebu la kwanza wala si kanisa la kwanza:
Kabla ya roma kua kanisa kulikuwepo na makanisa ya kikristo ambayo ni Mitume(kanisa la mtendo ya mitume)- amboyo ni sawa na kusema matendo ya wakristo, Galatia,Koritho,Efeso,laudikia nk.
Roma nini?
Roma ni utawala ambao ulitawala dunia kipindi hicho ambacho ata Yesu alizaliwa chini ya utawala huo.
Roma ilihusika kuuwa ukristo, wakristo wengi miaka hiyo kwani mitume wengi ama wanafunzi wa Yesu wengi waliuliwa na utawala wa Roma.
Roma ilikua adui dhaili wa ukristo na duniani,
Roma iliua mitume viongozi ama wasambaza injili ikiwa pamoja wanafunzi 120 wa Yesu na wote walifia imani ama dini kwa vifo vya kutisha chini ya utawala wa rumi.
Mfano: mathayo alibuluzwa nagali la wanyama hadi kufa.
Batromayo alichunwa ngozi hadi kufa.
Petro alitundikwa kichwa chini miguu juu hadi kufa, Tomaso, wengi walipigwa mikuki, wengine na mawe hadi kufa.
Nero yeye aliwauwa nakuwapaka rami nakuwaweka kama taa bustanini(huyu alijinyonga/alikua ajifananisha na Mungu)

Wakristo/mitume waliongezeja zaidi kwasababu ya matendo yao(matendo ya mitume)miujiza,upendo,ustarabu,umoja wao kwasababu karama za roho walikua nazo(galatia5:18).

Mashaka yaliongezeka kwa utawala wa kirumi maana kila wakiua ndivyo walivyo kuwa wakiongezeka zaidi.

Kostantin mtawala wa kirumi aliamua kuwa mkristo kwa sababu hiyo ili aweze kutawala vizuri. Haijulikani kama huyu mt. Kostantin alikua mkristo kweli kweli ama la.
Utawala na ukristo vikawa kitu kimoja . Toka hapo kiongozi wa wakristo akawa kostantin ambae ametoka kutangaza kua mkristo.
Aliitisha mkutano wa kwanza wa wakristo Naisea akiwa bado mchanga kwa ukristo.
Hapo ndio viongozi wengine wakikristo walianza kupata mshahara kutoka kwenye dola hiyo.

Makao ya ukatoriki ukajengwa vizuri huko Roma.

Kikao cha nne ndio walikusanya maandiko na marufuku ya mtu wa kawaida kuimiliki biblia ikawepo, ukikutwa nayo ni kifo ama jela. We ni kusomewa kanisani kifungu fulani basi.
(Hapa ndio iliwameza wengi kwenye ukoloni maana waliaminishwa yasio maandiko ya kweli mfano: kuwa masikini,mnyonge ndio utakatifu. Kupigwa,kupolwa unasema iko siku au mungu atalipia.

Mafundisho mengine yakazaliwa katika utawala huo mfano:
Rozali na umuhimu wake kwa mkristo,
Mariam na mwanae( asili yake ni dini ya merania) mungu mke, kusamehewa kwa kutoa pesa, kuinamia sanamu ama kuibisu na nk.

Karne nyingi kupita Padri Lutha akaone mengi ambayo hayapo kwenye maandiko yaani biblia mambo zaidi ya tisini(90) akawa mpingaji akafukuzwa. Lutha akakimbilia kwao Ujerumani akaanzisha kanisa la lutherani.
Hapo ndio mwanzo wa makanisa mengine upya baada ya Roma kuua makanisa mengine ambayo yalikua hayaendani na utawala wao.
Hapo ukazaliwa
Uprosistansi mfano:
Simon meno kanisa la menonaiti,
Morovin kanisa morovyani,
Wakina chelesphin,john weslay,john nox na kanisa kama anglican.
Walokole waliibuka upya miaka ya 1900 mwanzoni. Wao wanaamini kuwa kanisa linatakiwa kuwa hivyo.
 
Kwani huko sabato ndio kuna watakatifu na wazinzi hawapo acha kujidanganya kuzini au kutokuzini ni imani ya mtu binafsi sio kikundi
 
Wewe si mkatoliki kwakuwa hujui kitu chochote kihusu ukatoliki. Kama unakukera, sasa unafanya nini humo? Sioundoke ukajiunge na wasabato unaowaamini? Au unadhani kwa kungangania kwako utalibadilisha?
Sawa sista Gabriela. Ntauzingatia ushauri wako.
 
Ok
 
Uprosistansi mfano:
Simon meno kanisa la menonaiti,
Morovin kanisa morovyani,
Wakina chelesphin,john weslay,john nox na kanisa kama anglican.
Walokole waliibuka upya miaka ya 1900 mwanzoni. Wao wanaamini kuwa kanisa linatakiwa kuwa hivyo.
Kajifunze kwanza kuandika ndio urudi hapa..
 
Kabla ya roma kua kanisa kulikuwepo na makanisa ya kikristo ambayo ni Mitume(kanisa la mtendo ya mitume)- amboyo ni sawa na kusema matendo ya wakristo,
Unaakili timamu wewe...??? Kanisa la Matendo ya Mitume ndio kituko gani...??? Hiyo "ni sawa na kusema" ni mujibu wa rejea gani...???
Galatia,Koritho,Efeso,laudikia nk.
Na kwataarifa yako, hayo siyo Makanisa ila miji....Umesahau na Roma...au hukuona Epistle ya St. Paul to Romans...???

Roma nini?
Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italia...


Roma ni utawala ambao ulitawala dunia
Sawa kabisa..iliitwa Roman Empire


Roma ilihusika kuuwa ukristo, wakristo wengi miaka hiyo kwani mitume wengi ama wanafunzi wa Yesu wengi waliuliwa na utawala wa Roma.
Yes! Kina Petro na Paulo waliuawa na utawala huo....Kwa heshima yao kama miamba ya Kanisa, yakajengwa makanisa makubwa..mf St. Peters Basilica na St. Paul basilica...
 
Ninyi wenyewe muwaue mitume halafu mjifanye mnawajengea makanisa. Unafiki ulioje huu. Roma ya kipagani na hii ya kidini hakuna tofaiti ni mpinga Kristo yuleyule a.k.a. babeli.
 
Ninyi wenyewe muwaue mitume halafu mjifanye mnawajengea makanisa. Unafiki ulioje huu. Roma ya kipagani na hii ya kidini hakuna tofaiti ni mpinga Kristo yuleyule a.k.a. babeli.
Umnataka tuwaingize Wasabato kwenye kundi la Wakristo...??
Shurti moja...hakikisha mnaamini Utatu Mtakatifu...
 
Mpinga Kristo tangu lini akawa mtu wa kugawa ukristo?
Huwa nashangaa Waislam na Wasabato mnapoingila masuala ya dini ya Kikristo....

Swali ninalokuuliza! Unataka kuwa Mkristo..?
Haya masharti lazima muyatimize

Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu(Polytheism)
Wasabato Wanapinga Ufufuko wa Yesu...
Wasabato wanasema Yesu siyo Mungu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…