Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Dhambi isiyosameheka ni ya kumkufuru Roho Mtakatifu.....Kuupinga Utatu Mtakatifu ni laana...

Wasabato ni laana
Naomba Nikuulize Je Ni Kweli wasabato Hawaamini Juu Ya uwepo wa Utatu Mtakatifu Naomba jibu C mapovu Nimeona Ndugu Unatumia Vibaya Mda Wako Kupotosha Baadhi Ya Vitu Juu ya Sabato Na Wasabato!!!!
 
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa
 
Naomba Nikuulize Je Ni Kweli wasabato Hawaamini Juu Ya uwepo wa Utatu Mtakatifu Naomba jibu C mapovu Nimeona Ndugu Unatumia Vibaya Mda Wako Kupotosha Baadhi Ya Vitu Juu ya Sabato Na Wasabato!!!!
Ni kweli Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu....Hii ipo wazi kwenye Manuscript zs Ellen G White....ambazo GC ilizificha..

Pili Kitabu nabii Mke Ellen G White cha Investigative Judgment kinaonesha wazi kabisa Yesu hakukufuka..
 
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa

Hoja gani utajenga kama nukulu zenyewe unazipindisha..

Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Njia ya msabato kwenda peponi huja kwa kumkashifu na kumtukana na kumkosoa mkatoliki zaidi ya kujikosoa mwenyewe,
Wasabato wa zama za Yesu walimwita Yesu anapepo na walimdhihaki na kumuona adui,
Wasabato wa sasa ni halali kumtukana mkatoliki maana nyoka huzaa nyoka,na matendo ya nyoka hudumu vizazi vyote,
 
Naona wakatoliki wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana meno hilo tu ndiyo udhihirisho kuna uwalakini kwenye dini yenu..hilo huwezi kulikuta kwa Mashahidi wa Yehova kamwe ndiyo maana nawakubali sana hawa watu.
 
Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
Unadhani RC wakiifuta hiyo Pasaka wengune wote tutafuata? Catholic ni kanisa mama, nikimaanisha kua makanisa yote yametokea huko na hiyo ni kwa sababu ya makosa walioyaona kwa RC. Ila hamna makanisa yanayofuata wanachopanga Catholic kwa sasa.
 
Historia ya hili kanisa ninkwamba lilianzishwa kuwapoteza watu kutowafuata waanafunzi wa Yesu...
Waroma pamoja na kumsulubisha Yesu bado mahubiri yake yakaendelea, ko wakaja na dini ya kusambaratisha wafuasi wa Yesu.
Labda ndio maana wanamuheshimu sana Maria kuliko Yesu... Yaani kwenye sala zao kila kitu ni Maria.
 
Yaani dada nimekupenda bureee.... Si kwa point kali hivi!!!
 
Kama picha kuwepo kanisani nikuziabudu, je picha ya Rais ikiwepo ofisi inamaanisha nini?
Mnaziabudu!!! Mtu akiingia kanisani anazipigia magoti kabisa... Zile sanamu za Maria watu wanazipigia magoti kabisa wakati wa kusali... Kama huko si kuabudu basi tena!!!
 
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa
Njia ya kweli na uzima ni Yesu kristu tu, na sio usabato, wenye moyo safi ndio watakao muona Bwana, na sio wasabato, watakao muona Bwana, si wakatoliki, sio walokole, only wenye moyo safi, so kelele zenu against wakatoliki hazina mantiki
 
Ni kweli Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu....Hii ipo wazi kwenye Manuscript zs Ellen G White....ambazo GC ilizificha..

Pili Kitabu nabii Mke Ellen G White cha Investigative Judgment kinaonesha wazi kabisa Yesu hakukufuka..
Cha Kwa Usabato C E.White Hilo La Kwanza Naomba Uelewe Huyo Ni Nabii Kama Walivyo Manabii wengine Kama Unabisha Biblia Inasema Na waenende Kwa Sheria Na Ushuhuda Mpime Je Alifanya Yote Kwa Kufunya Hivyo??
2. Mbona Biblia Haisemi Hivyo Juu ya Utatu Mtakatifu Na Kama Kanisa La Wasabato Moja Ya Msingi wake wa Kanisa Ni Kuamini kuwepo kwa Huo Utatu Mtakatifu wewe Umeyatoa Wapi Hayo Unayonena Kinyume na Ukweli?
3.Wasabato Tunaamini Na Kusema Yesu ni Mungu je Nyinyi Mnaamini Hilo????
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
Ukweli ndio huo wanachonga sanamu halafu wanazipigia magoti, ukiwaambia wanasema eti hawaziabudu!! Ujinga mtupu, Yaani unachonga sanamu halafu unasema huyu mtoto yesu!!.
 
Hivi Unajua Kuwa sabato Ilikuwepo Tangu Mwanzo Wakati wa Uumbaji na yesu ndiye Bwana Wa Sabato na Hata Mbinguni Sabato Itatunzwa milele hata Mile
 
Kwa maana hio tofauti na kua msabato amri za Mungu hazitiwii?
Kama Utasoma Vyema Biblia Takatifu Kutoka 20 Ukizisoma Vizuri Amri za Mungu Utaelewa Mungu Amesema Nini Juu Ya Kumwabudu Yeye Na C Kitu Kingine
 
Njia ya kweli na uzima ni Yesu kristu tu, na sio usabato, wenye moyo safi ndio watakao muona Bwana, na sio wasabato, watakao muona Bwana, si wakatoliki, sio walokole, only wenye moyo safi, so kelele zenu against wakatoliki hazina mantiki
Aisee Kumbe Upo Timamu Kiasi Hicho U Barikiwe Jitahidi Kumjua Mungu na Mengine Yote Utazidishiwa Moyo Safi
 
Unaelewa kiingereza? Maana usiseme unawachukia waroma tu, kwanza huo sio ukristo, mkristo anapohisi jiranibyake anapotoka humuombea, kinachotakiwa kuchukiwa ni dhambi na uovu.

Kuichukia roma haitakupeleka mbinguni, tafuta msingi imara wa utakatifu na ujenge imani yako hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…