Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Dhambi isiyosameheka ni ya kumkufuru Roho Mtakatifu.....Kuupinga Utatu Mtakatifu ni laana...

Wasabato ni laana
Naomba Nikuulize Je Ni Kweli wasabato Hawaamini Juu Ya uwepo wa Utatu Mtakatifu Naomba jibu C mapovu Nimeona Ndugu Unatumia Vibaya Mda Wako Kupotosha Baadhi Ya Vitu Juu ya Sabato Na Wasabato!!!!
 
Wakatoliki msijiangaishe kupoteza muda na hawa wasabato maana akili zao kama waislam, ata umueleze vipi hawazi kukuelewa kwa sababu ya chuki binafsi,, pili walishajiandaa kisaikolojia kubishi tu,

Kama kua msabato ndo kwenda mbinguni basi, wengi tunapoteza muda, kuwepo hapa duniani,, dini yenyewe imeanzishwa na tapeli la kike.
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa
 
Naomba Nikuulize Je Ni Kweli wasabato Hawaamini Juu Ya uwepo wa Utatu Mtakatifu Naomba jibu C mapovu Nimeona Ndugu Unatumia Vibaya Mda Wako Kupotosha Baadhi Ya Vitu Juu ya Sabato Na Wasabato!!!!
Ni kweli Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu....Hii ipo wazi kwenye Manuscript zs Ellen G White....ambazo GC ilizificha..

Pili Kitabu nabii Mke Ellen G White cha Investigative Judgment kinaonesha wazi kabisa Yesu hakukufuka..
 
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa

Hoja gani utajenga kama nukulu zenyewe unazipindisha..

Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Njia ya msabato kwenda peponi huja kwa kumkashifu na kumtukana na kumkosoa mkatoliki zaidi ya kujikosoa mwenyewe,
Wasabato wa zama za Yesu walimwita Yesu anapepo na walimdhihaki na kumuona adui,
Wasabato wa sasa ni halali kumtukana mkatoliki maana nyoka huzaa nyoka,na matendo ya nyoka hudumu vizazi vyote,
 
Naona wakatoliki wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana meno hilo tu ndiyo udhihirisho kuna uwalakini kwenye dini yenu..hilo huwezi kulikuta kwa Mashahidi wa Yehova kamwe ndiyo maana nawakubali sana hawa watu.
 
Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
Unadhani RC wakiifuta hiyo Pasaka wengune wote tutafuata? Catholic ni kanisa mama, nikimaanisha kua makanisa yote yametokea huko na hiyo ni kwa sababu ya makosa walioyaona kwa RC. Ila hamna makanisa yanayofuata wanachopanga Catholic kwa sasa.
 
Ndio maana Biblia inasema kanisa hili lililoitwa "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi".Ufunuo 17:5.
ni kanisa mama na lina watoto wanaofuata nafundisho yake.Linaitwa babeli baada ya kubadili amri za Mungu pamoja na majira rejea Daniel 7:25. " Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake aliye juu, naye ataazimu kubadili majira na sheria, nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, nyakati na nusu wakati"

Anayezungumziwa hapo ni utawala wa kipapa wa kanisa la Roman Catholic.kanisa limetesa watakatifu wa Mungu kama ilivyotabiliwa kwa siku 1260 (ufunuo 11:3: ufunuo 12:6)au miezi 42 (ufunuo 11:2), au miaka mitatu na nusu (Daniel 7:25). Hiki ndicho kipindi cha zama za giza. Biblia haikiruhusiwa kusomwa na waumini wa kawaida isipokuwa misale ya waumini ambayo tayari ilikuwa imepotishwa. Ni kipindi hiki waliibuka wana matengenezo wakiwemo Martin Luther, Jan Huss, Jerome na wengineo ambao walianza kupinga mafundisho potofu ikiwemo kutubu dhambi kwa padri na kupewa cheti cha msamaha., ibada za wafu n.k. mambo haya yaliamsha mateso kwa hawa watakatifu wa Bwana kama ilivyotabiriwa kuwa watatiwa mikononi mwa huyu mnyama, ama pembe ndogo iliyozuka katika pembe za huyu mnyama yaani Rumi ama Babeli Mkuu yule kahaba wa Ufunuo 17:5.

Haya mambo yako wazi, historia iko wazi na Biblia imetoa nuru ya kutosha kuhusu uasi wa Roman Catholic, jambo lililopelekea kuitwa "Mama wa Makahaba na machukizo ya nchi". Nawasihi turejee mafungu hayo niliyotoa kwa kupata maarifa ya kutusaidia katika wokovu wetu.
Historia ya hili kanisa ninkwamba lilianzishwa kuwapoteza watu kutowafuata waanafunzi wa Yesu...
Waroma pamoja na kumsulubisha Yesu bado mahubiri yake yakaendelea, ko wakaja na dini ya kusambaratisha wafuasi wa Yesu.
Labda ndio maana wanamuheshimu sana Maria kuliko Yesu... Yaani kwenye sala zao kila kitu ni Maria.
 
Em ngoja...zile statue za kina Ronaldo,Messi, Mandela na wengine zina lengo gani?Nadhani Ni Ku honor au kukumbuka na kuthamini mchango wa mtu.Yani mortal man.Maana binadamu tunasahau,ili kuwakumbuka binadamu wenzetu waliofanya makubwa,tunatengeneza sanamu zao.

Kwanini tutengeneze sanamu ya Yesu wakati yeye Ni Immortal.Hahitaji sanamu.Kwa sababu yeye Ni neno.Neno linaloleta uzima.Na neno la Mungu linasema mambo yote yatapita lakini Neno litasimama.Na watu wamemjua Yesu kupitia neno la Mungu na sio hizi sanamu.
Misikiti ya waislamu imejaa maneno ya Quran na sio sanamu za Muhammad wala Nani na bado wanamwamini Allah na mtume wake.
Hizo sanamu za Yesu,Maria na watakatifu hazina Maana yoyote kwangu zaidi ya imani haba ya mwanadamu.
Mungu wetu si mwanadamu mpaka ajengewe sanamu.Minaona Mungu angefurahi zaidi Kama tungebusu miguu ya masikini kuliko ya sanamu.

Halafu mleta mada naona ulidhani ndo umemaliza debate kwa points chache ulizotoa.Ukitaka kumshawishi mtu siku nyingine njoo na points kutoka upande wa pili pia.
Naomba ukasome kitabu kinaitwa The great controversy.Utajua mchango mkubwa wa Constantine katika kuingiza upagani katika ukristo ili afanikiwe kutawala.Ndio utaelewa kwanini wengine tunachagua vya kuamini.
Yaani dada nimekupenda bureee.... Si kwa point kali hivi!!!
 
Kama picha kuwepo kanisani nikuziabudu, je picha ya Rais ikiwepo ofisi inamaanisha nini?
Mnaziabudu!!! Mtu akiingia kanisani anazipigia magoti kabisa... Zile sanamu za Maria watu wanazipigia magoti kabisa wakati wa kusali... Kama huko si kuabudu basi tena!!!
 
Acha Njia Ya Upotofu Rudi Kundini Tujuzane Kwa Hoja kama Upo Tayari Kujifunza Tazama Watu wangu Wanapotea kwa Kukosa Maarifa
Njia ya kweli na uzima ni Yesu kristu tu, na sio usabato, wenye moyo safi ndio watakao muona Bwana, na sio wasabato, watakao muona Bwana, si wakatoliki, sio walokole, only wenye moyo safi, so kelele zenu against wakatoliki hazina mantiki
 
Ni kweli Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu....Hii ipo wazi kwenye Manuscript zs Ellen G White....ambazo GC ilizificha..

Pili Kitabu nabii Mke Ellen G White cha Investigative Judgment kinaonesha wazi kabisa Yesu hakukufuka..
Cha Kwa Usabato C E.White Hilo La Kwanza Naomba Uelewe Huyo Ni Nabii Kama Walivyo Manabii wengine Kama Unabisha Biblia Inasema Na waenende Kwa Sheria Na Ushuhuda Mpime Je Alifanya Yote Kwa Kufunya Hivyo??
2. Mbona Biblia Haisemi Hivyo Juu ya Utatu Mtakatifu Na Kama Kanisa La Wasabato Moja Ya Msingi wake wa Kanisa Ni Kuamini kuwepo kwa Huo Utatu Mtakatifu wewe Umeyatoa Wapi Hayo Unayonena Kinyume na Ukweli?
3.Wasabato Tunaamini Na Kusema Yesu ni Mungu je Nyinyi Mnaamini Hilo????
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
Ukweli ndio huo wanachonga sanamu halafu wanazipigia magoti, ukiwaambia wanasema eti hawaziabudu!! Ujinga mtupu, Yaani unachonga sanamu halafu unasema huyu mtoto yesu!!.
 
Njia ya msabato kwenda peponi huja kwa kumkashifu na kumtukana na kumkosoa mkatoliki zaidi ya kujikosoa mwenyewe,
Wasabato wa zama za Yesu walimwita Yesu anapepo na walimdhihaki na kumuona adui,
Wasabato wa sasa ni halali kumtukana mkatoliki maana nyoka huzaa nyoka,na matendo ya nyoka hudumu vizazi vyote,
Hivi Unajua Kuwa sabato Ilikuwepo Tangu Mwanzo Wakati wa Uumbaji na yesu ndiye Bwana Wa Sabato na Hata Mbinguni Sabato Itatunzwa milele hata Mile
 
Kwa maana hio tofauti na kua msabato amri za Mungu hazitiwii?
Kama Utasoma Vyema Biblia Takatifu Kutoka 20 Ukizisoma Vizuri Amri za Mungu Utaelewa Mungu Amesema Nini Juu Ya Kumwabudu Yeye Na C Kitu Kingine
 
Njia ya kweli na uzima ni Yesu kristu tu, na sio usabato, wenye moyo safi ndio watakao muona Bwana, na sio wasabato, watakao muona Bwana, si wakatoliki, sio walokole, only wenye moyo safi, so kelele zenu against wakatoliki hazina mantiki
Aisee Kumbe Upo Timamu Kiasi Hicho U Barikiwe Jitahidi Kumjua Mungu na Mengine Yote Utazidishiwa Moyo Safi
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Unaelewa kiingereza? Maana usiseme unawachukia waroma tu, kwanza huo sio ukristo, mkristo anapohisi jiranibyake anapotoka humuombea, kinachotakiwa kuchukiwa ni dhambi na uovu.

Kuichukia roma haitakupeleka mbinguni, tafuta msingi imara wa utakatifu na ujenge imani yako hapo.
 
Back
Top Bottom