Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kasome post [HASHTAG]#663[/HASHTAG] ya Chaula Rich.mimi sijaelewa hata moja
majungu kwa mtu aliyefanikiwa unaishia kusindikizaWe mjanja. Mwenzio Bashite aliacha maisha akakimbilia elimu ya kufoji. Ona sasa vyote vimemkimbia
huna mamlaka na kanisa mpaka umtoe mtu nje ww unauhakika ni msafi mbele za mungu acha kujiona boraHebu jisemee nafsi yako....Huko hivyo na nani...??
Pole maana una-poor catechesis....
Sikujua kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki...ningejua parokia yako, nikikuona tu unaingia nahakikisha nakutoa nje maana wewe ni mafiki wa kiwango cha juu
Amri kuu upendo tu hizo chuki muachie mwenyewe Mungu ndo atajua .....wewe hata uchukie haitabadili kituhakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Kusoma tushindwe na kuona napo kuwe shidaKujipa moyo tu. Haina maana kbs kusema ipo lakini haimaanishi kuabudiwa. Sasa ya nin mle ndani?!! Kubusu,kupiga ishara ya msalaba huku unaiangalia sanamu au picha nini maana yeke km sio kuabudu?! Heshima,mazoea,taratibu?!!
Mambo ya imani yana mengi ya kuhoji ila majibu yapo kwenye biblia
math 5;17-19
Kwaiyo hilo andiko lina sapoti au lina pinga?naomba kueleweshwa tafadhalimath 5;17-19
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
aisee huwa wanazipa heshima zile sanamu kama ndo watu halisiImeandikwa usiwe na miumgu wengine ila mimi.Usijifanyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni au kilicho chini duniani au kilicho majini chini ya nchi.Usivisujudie wala kuvitumikia.
Sasa hapa kwa wenzetu inakuwaje?
math 5;17-19
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
linawezaje kusapotu sasa?Kwaiyo hilo andiko lina sapoti au lina pinga?naomba kueleweshwa tafadhali
swali zuri, unatakiwa ujue kwamba kuna tofaut kati ya amri za mungu na amri za mussa/wazee wa israelrejea hotuba ya Yesu mlimani...View attachment 685420 jee Yesu kwa kuongea hivyo ni mdogo kabsaa ktk Ufalme wa mbinguni [emoji46] ona na hapa [emoji117] View attachment 685422 wapi Tora iliamrisha kihivyo [emoji15] [emoji46] usisome Biblia Takatifu kama usomavyo gazeti la udaku, sababu Imeandikwa [emoji117] View attachment 685434
Na zile sanamu Mungu alizomuagiza musa kuchonga?hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.