Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Utaendelea kupinga ukweli hadi lini? Neno linasema "leo uisikiapo sauti yake usifanye moyo wako kuwa mgumu". Kijana acha ubishi sanamu haziwezi kukuokoa, ni Yesu pekee awezaye kukuokoa.
Anae Abudu sanamu nani..? acha uongo kitaja [emoji12] Unajiita Mfuasi wa Yesu huku hufahamu Yesu hajafundisha uongo popote..wewe usijidanganye ni Mfuasi wa Yesu, ni Mfuasi wa baba wa uongo lile joka la zamani...
 
Wasabatho saivi wako wanakomaa na Trump wakidai amekuja kutimiza yaliyotabiriwa toka kale na yaliyomo kwenye kile kijitabu cha Ellen G White. Kila wanaposikia Mapanki katesti kombora na Drumpf kukohoa kwa kwa kusogeza meli South Korea wasabatho wasema unabii umetimia
 
si ajabu saa izi wakakwambia TRUMP ndo anabeba/anawakilisha namba 666
hao jamaa na imani yao ni watu wa matukio tu
 
Hawa jamaa hadi kero kwa kweli wanakaririshwa tafsri ya maandiko ya Biblia kwa namna ambayo Ellen G White aliielewa bila kujali alikuwa sahihi au la na wamebeba wimbo wa kupinga RC wakati wote kuanzia kwenye mahubiri yao, kutembea kwao hadi kwenye jamii wanamoishi-wamekosa uvumilivu wa kiimani kwa kutambua kuwa hakuna ajuye kwa 100.01% kuwa yuko kwenye dini/dhehebu sahihi hadi kuendesha mahubiri kuwa mwenzake anaabudu sanamu ama ni mpinga Kristo.
 
Wasabatho saivi wako wanakomaa na Trump wakidai amekuja kutimiza yaliyotabiriwa toka kale na yaliyomo kwenye kile kijitabu cha Ellen G White. Kila wanaposikia Mapanki katesti kombora na Drumpf kukohoa kwa kwa kusogeza meli South Korea wasabatho wasema unabii umetimia
Kwahiyo sasahivi siyo Papa ni trump...hawa watu ni wakuonewa huruma
 
Imeandikwa Wapi na Fungu gani sabato ni Kwa Ajili ya waebrania?
Sabato na kuishika ilikuwa ni agizo la Mungu kwa Waebrania...
Soma
Kutoka 20:2
Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Wewe lini umetolewa Misri..?
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
SANAMU LENYEWE LA YESU SIO YESU MWENYEWE BALI NI SANAMU LA MUIGIZAJI ALIYEIGIZA KWENYE SINEMA ZA YESU YAANI MWINGEREZA AITWAYE BRIAN. SI BORA HATA INGEKUWA NI SANAMU LA YESU MWENYEWE. SANAMU LA BIKIRA MARIA SIJUI NI MUIGIZAJI GANI YULE ALIYEIGIZA HIYO NAFASI
 
Kwahiyo sasahivi siyo Papa ni trump...hawa watu ni wakuonewa huruma
Wanadai kwa papa yalitimia pale papa alipotembelea Marekani. Kwa walichoaminishwa ni kuwa papa akitembelea Marekani tu basi mwisho wa dunia umefika mikononi kabisa na hili la papa kwenda US limeshatokea ila mwisho wa dunia bado kwa ajabu.
Wakahamia kwenye wazo lingine kuwa Marekani ikipata Rais asiyeeleweka misimamo yake na kisha kukubali kuundwa mataifa huru mawili kati ya Palestina na Israel basi unabii kuwa mwisho wa dunia umeanza kutokea kabisa lakini wanasahau kuwa wakati Obama anakataa kukutana na Netanyahu alipoenda kuhutubia US Congressmen walisema unabii wa mwisho wa dunia ulifika kwa madai yao kwa maana wanaamini siku Marekani na Israel zikitofautiana dunia imeisha na haya yameshapita yote na kwa bahati mbaya au nzuri matukio haya hayaendani na walichoaminishwa kwani kwa mtiririko wanaotumia ni dhahiri kuwa Trump angekuwa mtangulizi wa Obama pale White House ili kuanze kuundwa kwa mataifa mawili ya Israeli na Palestine kisha Marekani kutofautiana na Israel na mwishowe ndo mwisho wa dunia.
 
mojawapo ya maandishi ya papa ni VICARIOUS FILII DEI,hesabu ya haya maneno no 666,hii ni chapa ya mpinga kristo.na amejaa maneno ya makufuru kwa Mungu,hili kanisa linampinga Mungu.satan is behind this church.analiendesha kwa siri mno!..na lina watu wengi kweli,ila sasa hiv wengi wanashtuka wanakimbia.

UPOTOSHAJI MKUBWA
nikikuomba HESABU ya hilo jina VICARIOUS FILII DEI (ingawa jina lenyewe kuna spelling umezikosea) namna linavoleta iyo 666 unaweza nipâtia ?

yaani kama ici
UFAFANUZI WA NAMBA 666 (Ufu. 13:11-18)

Utangulizi
Kuelewa maana ya namba hii ni lazima kuelewa mazingira na sababu za kuandikwa kitabu cha Ufunuo. Kitabu cha Ufunuo kiliandikwa karne ya kwanza (kati ya 90-96 AD) ambapo dini ya Ukristo ilianza kuenea kwa kasi. Hivyo tawala za Warumi na Wayahudi ziliona Ukristo kama dini mpya na tishio kwa imani, siasa na tamaduni zao. Ili kuifutilia mbali Warumi na hata Wayahudi waliendesha madhulumu (persecutions) dhidi ya Wakristo: kuwaua, kuwafunga, kuwatesa na kuwalazimisha wakane Ukristo. Yohane mwenyewe anaandika kitabu cha Ufunuo akiwa gerezani (uhamishoni) katika kisiwa cha Patmos kama matokeo ya madhulumu. Yohane anaandika kitabu cha Ufunuo kuwatia moyo Wakristo katika madhulumu wanayopata, wasikate tamaa, wasikane imani kwa kuwa baada ya madhulumu watapata utukufu katika Yerusalem mpya (mbinguni) na damu watakayomwaga katika madhulumu ndiyo itawatakasa (Ufu. 7:14).

Kwa kuwa madhulumu yalikuwepo ilikuwa ni vigumu Wakristo kuwasiliana kwa lugha ya wazi ili kuepuka kuuawa au kufungwa. Hivyo Wakristo walitumia lugha ya namba na mafumbo kufikishiana uju

mbe kwa waandishi (they used coded language). Kumtaja mfalme wa dola ya Kirumi kwa jina ilikuwa ni dharau na hivyo sababu tosha ya kuuawa. Yohane anatumia lugha ya namba kumtaja mmoja wa wafalme wakatili wa dola ya Kirumi aitwaye NERO kwa kutumia namba 666. Wakristo na wataalamu wa Maandiko Matakatifu walijuaje kuwa 666 inamwakilisha mfalme NERO? Mpaka leo kwa Warumi na Wagiriki kila herufi imepewa thamani ya namba. Walipojumlisha herufi zinazounda jina “NERO” walipata jumla ya 666. Kwa Warumi jina la NERO liliandikwa NERON (likiwa na “N” mwishoni). Walijumlisha herufi za jina NERON na kupata 666 na hivyo kugundua kuwa mnyama aliyetajwa kwenye Ufu. 13:11-18 alikuwa NERO. Kwa nini amezungumziwa mnyama halafu sisi tunazungumzia mtu? Ni kwa sababu Yohane mwenyewe anasema: “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu [for it is man's number]. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita” (Ufu. 13:18).

Utaalamu wa kuzipa herufi thamani ya namba unaitwa “gematria”. Mfumo wa kuzipa herufi thamani ya namba unafanana na kutofautiana kwa kiasi fulani kwa Warumi na Wagiriki. Utaratibu wa kuthaminisha herufi na namba upo bado. Ndiyo maana tukiwa shule ya msingi tulifundishwa “Namba za Kirumi”. Tunajuaje kuwa MM ni 2000 au MMIX ni 2009. Ni kwa sababu kwa Warumi kila herufi ina thamani ya namba: M ni 1000, hivyo M+M ni sawa na kusema 1000+1000, na hivyo 2000. Tuone sasa kwa jina NERO na thamani ya kila herufi.

Gematria kwa Kirumi: NERON
N = 50
E = 6
R = 500
O = 60
N = 50
neron (50 + 6 + 500 + 60 + 50) = 666

Gematria kwa Wayunani (Waebrania): KAISER NERON
Wayunani walitamka jina ya mfalme kwa kuanza na jina la heshima “title” yaani Kaisari (Ceaser). Hivyo NERO aliitwa qsr nrwn (Kaiser Neron, kwa Kigiriki). Mwanzoni Kiebrania (Kiyunani) hakikuwa na irabu (vowels). Herufi zilizounda neno qsr nrwn (Kaiser Neron) zilipewa thamani ya namba kama ifuatavyo:
q = 60
s = 100
r = 200
n = 50
w = 6
Hivyo basi neno qsr nrwn (60 + 100 + 200 + 50 + 200 + 6 + 50) = 666

so ukidai 666 sjui ni TRUMP sijui ni PAPA sijui ni HITLER au marekani leta HESABU kama anavodai mwandishi wa kitabu husika na si porojo
 
NNero alishakufa zamani hata ukatoliki haujazaliwa. Ufunuo 13:18 inazungunmzia utawala wa kidini unaolazimisha ibada ya uongo. Nero hakulazisha ibada bali yeye alikuwa mpagani alipinga ukristo moja kwa moja. Pia ufunuo 13:18 huongelea utawala utakaodumu hadi Yesu arudipo. Nero alikufa siku nyingi pali utawala wa kipapa upo na utaendelea kuwepo hadi Yesu ajapo. Pia hazungumziwi mtu binafsi bali mfumo. Nero ni mtu, bali Papa ni mfumo. Jesuits waliwadanganya rudini mkajipange tena.
 
Wanadai kwa papa yalitimia pale papa alipotembelea Marekani. Kwa walichoaminishwa ni kuwa papa akitembelea Marekani tu basi mwisho wa dunia umefika mikononi kabisa na hili la papa kwenda US limeshatokea ila mwisho wa dunia bado kwa ajabu.
Wakahamia kwenye wazo lingine kuwa Marekani ikipata Rais asiyeeleweka misimamo yake na kisha kukubali kuundwa mataifa huru mawili kati ya Palestina na Israel basi unabii kuwa mwisho wa dunia umeanza kutokea kabisa lakini wanasahau kuwa wakati Obama anakataa kukutana na Netanyahu alipoenda kuhutubia US Congressmen walisema unabii wa mwisho wa dunia ulifika kwa madai yao kwa maana wanaamini siku Marekani na Israel zikitofautiana dunia imeisha na haya yameshapita yote na kwa bahati mbaya au nzuri matukio haya hayaendani na walichoaminishwa kwani kwa mtiririko wanaotumia ni dhahiri kuwa Trump angekuwa mtangulizi wa Obama pale White House ili kuanze kuundwa kwa mataifa mawili ya Israeli na Palestine kisha Marekani kutofautiana na Israel na mwishowe ndo mwisho wa dunia.
Acha uongo haukusaidii chochote
 
Kama hufanyi yanayoshahilu kqtka dhehebu lako basi wewe ni msaliti ni bora ujitoe nq utqfute mahq
 
NNero alishakufa zamani hata ukatoliki haujazaliwa. Ufunuo 13:18 inazungunmzia utawala wa kidini unaolazimisha ibada ya uongo. Nero hakulazisha ibada bali yeye alikuwa mpagani alipinga ukristo moja kwa moja. Pia ufunuo 13:18 huongelea utawala utakaodumu hadi Yesu arudipo. Nero alikufa siku nyingi pali utawala wa kipapa upo na utaendelea kuwepo hadi Yesu ajapo. Pia hazungumziwi mtu binafsi bali mfumo. Nero ni mtu, bali Papa ni mfumo. Jesuits waliwadanganya rudini mkajipange tena.
ndugu kwenye iyo ufunuo 13:18 naomba ushahidi wako wa kihesabu/kinamba (kama mimi nilivokupatia wangu) maana kumjua huyo mnyama ni nani mwandishi anataka hesabu na SIO maneno kama ulivofanya NAOMBA HESABU YAKO YA 666/616 kuthibitiisha madai yako ufunuo 13:18 anadai hesabu na si melezo/maneno (NIMEKUPA YANGU NAOMBA YAKO)
 
Back
Top Bottom