econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kweli kabisa.Mimi naona tungejitenga tu. Maana Wazanzibari hawataki Muungano wa Serikali moja. Wao wanataka Muungano wa kuwanufaisha zaidi wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa.Mimi naona tungejitenga tu. Maana Wazanzibari hawataki Muungano wa Serikali moja. Wao wanataka Muungano wa kuwanufaisha zaidi wao.
Haitawezekana. Wazanzibar hawatakubali wafutwe. Ndio maana sheria ya marekebisho ya Katiba inataka suala la la Zanzibar kufutwa lisiwepo. Hakuna Cha serikali moja, Bali tatu.Hakuna haja ya kuwa na Serikali mbili sijui 3 alafu fedha nyingi zinaishia kuhudumia hizo serikali na viongozi wake.
Tume na nchi moja na Serikali moja tu
Uchaguzi ujao pawekwe na kipengele Cha kupigia kura kuhusu muungano,yaani unapigia kura ,Kama ni unataka muungano wa serikari 1,au 2 ,au 3 ,unaweka vema (✓) pale unapopataka. hapo tutakuwa tumepata muafaka sahihi wa hili Jambo!! au ikiwezekana waweke na kipengele Cha kuvunja muungano .
Sio wazanzibari. Ni wanasiasa wenye maslahi binafsi wa ZanzibarKwa Wazanzibari huo ni muhali !!
Hawataki kabisa kusikia habari hiyo !!
Hii shida Nyerere hawezi kuikwepa. Muungano sahihi ulikuwa wa Serikali 1. Serikali mbili au Tatu zipo kimaslahi kwa wanasiasa wanaotaka vyeo na kula full stopKitu nilichogundua na ambacho wanaopinga kwanza uwepo wa muungano ni aina fulani ya wanasiasa wa kitwana!, hawa wanawalisha sumu wazanzibari kuhusu muungano ilihali wao wanavuna na kutunza gharani.
Raia wasiyo na elimu, wenye ujinga na wapumbavu hao ndiyo chakula cha wanasiasa, mfano ukiwa Unguja unaweza sikia mtu (fools) anapiga kelele watanganyika warudi kwao 😄!, Ukimuuliza kwa nini, utasikia hapa siyo kwenu, na wewe kwenu wapi? 😁.
Bahati mbaya sana wazee waliondoka pasipo kumaliza tasjuni ya muungano nadhani wangekuwepo leo ingekuwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hakuna cha SMZ wala nini.
GoodMpaka leo huu Muungano umeshikiliwa na CCM na viongozi wake pekee. Maana wananchi wa kila upande wanaona unawanufaisha zaidi wananchi wa upande mwingine.
Na ukisema kuwepo Muungano wa nchi moja; Wazanzibari hawatakubali. Maana wao hawataki kupoteza utaifa wao, na nchi yao! Sasa watu kama hawa wanafaida gani kwenye huo Muungano! Zaidi tu ya kugeuka na kuwa mzigo kwa upande mwingine!!
Mimi natamani kuona siku moja kila upande unajitegemea kwa 100%. Ma siyo haya mauza uza yanayo endelea sasa.
Hili jambo la Muungano Lina ukakasi kwa sababu tu ya siasa za kufuata mkumbo (kama nyumbu).
Ukifikiria kwa makini, kama ukifanyika utafiti rasmi, katika kundi la wanasiasa wetu, wenye akili nzuri na huru ni chini ya 5% na zaidi ya 95% hufuata mkumbo tu.
Ikitokea kiongozi mkuu akakosea kibinadamu, wote hufuata bila kuhoji.
Tanzania ni nchi moja, kama siyo moja itawezekanaje Rais atoke upande wowote wa Muungano?
Mheshimiwa Rais Mwinyi (junior) alikuwa mbunge Mkuranga, sasa hivi ni Rais wa Zanzibar.
Mheshimiwa Mama Samia ni mzabari, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mzee wetu, Rais mstaafu Mwinyi (senior), yeye alimaliza yote. Hizo nchi mbili ziko wapi?
Kelele za wanasiasa wenye akili zisizokuwa na akili.
Utata !!Tukiamua twende kwenye serikali moja, then we just go ahead!, watu wanaitwa Wazanzibari ni ndani tuu ya muungano, nje ya muungano, hakuna Wanzanzibari wala Watanganyika, kuna Watanzania tuu.
P
Tena hawataki hata kusikia habari hiyo !!Kawaambie wazanzibar ndio hawataki serikali moja.
Na hiyo pia Wahafidhina hawataki !! Kwahiyo kweli tumenasa !!Kwenye muungano tumenasa pabaya! Serikali 1 haiwezekani, tatu haiwezekani! Serikali 2 ni migogoro, na ndio iliyosababisha umaskini! Mnaona tulivyo nasa? Suluhisho hapa ni separation!
Kwanini iwe serikali mbili ndani ya Nchi moja ??!! Utata !!Nchi Ni moja ila serikali ni mbili.
Kwani maoni kwenye Rasimu ya Mzee Warioba Wazanzibari wengi walisemaje !!Sio wazanzibari. Ni wanasiasa wenye maslahi binafsi wa Zanzibar
Naunga Mkono kipande Hiki cha hoja yako.Ni vizuri tukiwa tunaenda kujenga daraja la kuunganisha Zanzibar na Tanzania tukafikiria pia kuwa sasa tuwe na nchi 1 na serikali 1 tu
Nchi moja hutambuliwa kwa serikali kuu moja. Hiyo nyingine ni ya Jimbo au ya mtaa?Nchi Ni moja ila serikali ni mbili.
Kwanza walikuwa wanalalamika wao sasa tunalalamika sisi ! Duh 🙄!Muungano wa tanganyika na zanzibar ni wa kipuuzi sana.mapungufu ya wazi yamejiinyesha baada ya urithi wa mzanzibar kuwa rais wa muungano.kwa sasa anataka ajenge daraja kwenda zanzibar kwa pesa za tanganyika.bora muungano ufe hadi tutakapokubaliana kuungana upya kwa kuziondoa hizi kero za tanganyika kunyonywa
Rest in peace mchungaji Mtikila ni moja kati ya wanasiasa waliokuwa kifua mbele kuupigania utanganyika wetu baada ya kufariki sijaona tena mwanasiasa wa kitanganyika mwenye ujasiri wa kuupigania utanganyika wetuKwanza walikuwa wanalalamika wao sasa tunalalamika sisi ! Duh [emoji849]!
Kweli kabisa ! R.I.P mchungaji Mtikila !Rest in peace mchungaji Mtikila ni moja kati ya wanasiasa waliokuwa kifua mbele kuupigania utanganyika wetu baada ya kufariki sijaona tena mwanasiasa wa kitanganyika mwenye ujasiri wa kuupigania utanganyika wetu