900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
lslamic StateIS ndiyo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lslamic StateIS ndiyo nini?
Mama?Watawala waliopo wote hawana Uzanzibari. Mwinyi kwao Mkuranga.
Kasome nilichokijibu kimeongelea nini.Mama?
p
☑️☑️☑️Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo.
Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na Serikali yake wengi ni wanasiasa na wanafanya yote hayo kwa maslahi ya kisiasa ili wapate vyeo vya kisiasa na kujinufaisha binafsi.
Pili, nimegundua uwepo wa Serikali 2 au 3 unawanufaisha zaidi hao wanasiasa kwa sababu uwepo wa Serikali hizo unawahikishia kupata nafasi za kisiasa ili waendelee kunufaika na kodi za wananchi kama vile Uwaziri, Ukuu wa Mikoa , Wilaya katika Serikali hizo mbili/tatu.
Mwisho katika ufuatiliaji wangu nimegundua kero hizi zinazoitwa za Muungano kama wabara kutoweza kumiliki Ardhi Zanzibar kama Wa Zanzibar wanavyomiliki Ardhi huku bara dawa yake ni moja tu yaaani Kuwa na Nchi 1 na Serikali 1 tu na Raisi 1 tu.
Ni vizuri tukiwa tunaenda kujenga daraja la kuunganisha Zanzibar na Tanzania tukafikiria pia kuwa sasa tuwe na nchi 1 na serikali 1 tu ili kuepusha sehemu kubwa ya kodi za wananchi kwenda kuhudumia Serikali 2/3 tena ambazo kiuhalisia hazina manufaa yeyote kwa mwananchi wa kawaida
Heri ya Siku ya Wafanyakazi
Kwanza ukisemaKasome nilichokijibu kimeongelea nini.
hapa wewe unahitaji kupatiwa darsa kuhusu faida za muungano, kuna waalimu wengi wa faida za muungano, mimi nimekuchagulia Mwalimu huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikilizaMuunganonuvubjwe tu, una faida gani kwa Tanganyika na Zanzibar?
Kwenye mipaka ile ya Wajerumani ya mwaka 1884, 10 miles ya coastal stripe yote ya east Africa toka Sofala hadi Lamu ilikuwa chini ya Sultan of Zanzibar, eneo hilo lilirejeshwa kwa Wajerumani kwa mkataba wa Helingoland, the Zanzibar Treaty wa mwaka 1890.Tena irudishwe mipaka ya kabla ya iliyowekwa na Wajerumani.
Nimekuuliza vipi Karume, Jumbe, AbdulWakili, Komandoo Salmin, Dr. Shein, wote hao hakuna?, na sasa Mkuu wao ni Mama, naye siye?.Watawala waliopo wote hawana Uzanzibari. Mwinyi kwao Mkuranga.
Jasime vizuri historia.Kwanza ukisema
hapa wewe unahitaji kupatiwa darsa kuhusu faida za muungano, kuna waalimu wengi wa faida za muungano, mimi nimekuchagulia Mwalimu huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Kwenye mipaka ile ya Wajerumani ya mwaka 1884, 10 miles ya coastal stripe yote ya east Africa toka Sofala hadi Lamu ilikuwa chini ya Sultan of Zanzibar, eneo hilo lilirejeshwa kwa Wajerumani kwa mkataba wa Helingoland, the Zanzibar Treaty wa mwaka 1890.
Wakati Von Bismarck akimgaia Sultan of Zanzibar, hakujua kuwa Sultan ni mvamizi tuu wa vile visiwa!, ndio maana ile April 12, 1964 wenyewe wenye Zanzibar yao, wakaitwaa nchi yao kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Hakuna kurudi nyuma!
Ndipo ukasema
Nimekuuliza vipi Karume, Jumbe, AbdulWakili, Komandoo Salmin, Dr. Shein, wote hao hakuna?, na sasa Mkuu wao ni Mama, naye siye?.
P
Basi sisi huku bara hatukuwahi kufunzwa hiyo historia ya Zanzibar Empire, na sikubahatika kuisoma popote!. Ngoja ni Google nitarejea.Jasime vizuri historia.
Empire of Zanzibar iliishua hapo uliposems baada ya Ujerumani kujimwambafai na kuimega Zanzubsr mapande. Zanzibar Empire ilikuwa mpaka Kongo, Baganda, Rwanda, Urundi, Nyasa, Msumbiji nk.
Duh...!. Kumbe kweli!. Leo ndio nimeiona hii Ramani na hii historia hatukuwahi kufundishaJasime vizuri historia.
Empire of Zanzibar iliishua hapo uliposems baada ya Ujerumani kujimwambafai na kuimega Zanzubsr mapande. Zanzibar Empire ilikuwa mpaka Kongo, Baganda, Rwanda, Urundi, Nyasa, Msumbiji nk.
| Population | |||||
|---|---|---|---|---|---|
| Sultanate of Zanzibar | |||||
| 1856–1964 | |||||
Flag (1963–1964) Emblem | |||||
| Anthem: National Anthem of Zanzibar (Until 1890) National March for the Sultan of Zanzibar (1911–1964)[1] | |||||
Sultanate of Zanzibar in pink | |||||
| Status | Sovereign state (1856–90) British protectorate (1890–1963) Sovereign state (1963–64) | ||||
| Capital | Stone Town | ||||
| Common languages | Swahili, Arabic, English | ||||
| Religion | Islam[2] | ||||
| Government | Absolute monarchy (1856–1963) Constitutional monarchy (1963–1964) | ||||
| Sultan | |||||
| • 1856–1870 | Majid bin Said (first) | ||||
| • 1963–1964 | Jamshid bin Abdullah Al Said (last) | ||||
| Chief Minister | |||||
| • 1961 | Geoffrey Lawrence | ||||
| • 1961–1964 | Muhammad Hamadi | ||||
| History | |||||
| • Established | 19 October 1856 | ||||
| • Zanzibar Revolution | 12 January 1964 | ||||
| • 1964[3] | 300,000 | ||||
| Currency | Zanzibari ryal[4] (1882–1908) Zanzibari rupee (1908–1935) East African shilling (1935–1964) Indian rupee and Maria Theresa thaler also circulated | ||||
| |||||
| Today part of | Kenya Tanzania Somalia |
Maoni Yako ni mazuri na naamini umeyatoa Kwa Nia njema. Shida ni kwamba Kuna siasa itaingia hapo na baadhi ya watu itawagharimu. Wagombea wengine watakosa kura na watashindwa kula kama walivyozoea.Uchaguzi ujao pawekwe na kipengele Cha kupigia kura kuhusu muungano,yaani unapigia kura ,Kama ni unataka muungano wa serikari 1,au 2 ,au 3 ,unaweka vema (✓) pale unapopataka. hapo tutakuwa tumepata muafaka sahihi wa hili Jambo!! au ikiwezekana waweke na kipengele Cha kuvunja muungano .
Naunga mkono hoja Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja? na Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"Mwisho katika ufuatiliaji wangu nimegundua kero hizi zinazoitwa za Muungano kama wabara kutoweza kumiliki Ardhi Zanzibar kama Wa Zanzibar wanavyomiliki Ardhi huku bara dawa yake ni moja tu yaaani Kuwa na Nchi 1 na Serikali 1 tu na Raisi 1 tu.
Ni vizuri tukiwa tunaenda kujenga daraja la kuunganisha Zanzibar na Tanzania tukafikiria pia kuwa sasa tuwe na nchi 1 na serikali 1 tu ili kuepusha sehemu kubwa ya kodi za wananchi kwenda kuhudumia Serikali 2/3 tena ambazo kiuhalisia hazina manufaa yeyote kwa mwananchi wa kawaida
Heri ya Siku ya Wafanyakazi