Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

Kuweka Serikali ya Zanzibar ambayo inategemea karibu kila kitu kutoka bara ni matumizi mabaya sana ya kodi za wananchi.

Kuwe na Serikali 1 tu na nchi 1 tu
Nchi moja hutambuliwa kwa serikali kuu moja. Hiyo nyingine ni ya Jimbo au ya mtaa?
 
Kwa mtanganyika hilo ni jambo zuri linalokubalika ila sio kwa mzanzibari
 
Sisi ndo twalazimisha muungano.
Na twaingia gharama zisizo za lazima.

Hawa inabidi tuwaache waje Dar kwa Passport, waliowekeza huku wajulikana kama wawekezaji
 
Na ungana Nawewe 100% Zanzibar ilitakiwa iwe kama Mkoa wa Tanzania ama Kwa njia za kidplomasia, au Kwa kutumia nguvu tu.
Tuilazimishe iwe mkoa uone kama hawajawa taleban, wahuni wataanza jilipia kwa lazima. Hao tuwaache
 

Miaka 60 uvamizi uliopewa jina la muungano umeleta nakama ,dhuluma, vifo , vilema, vizuka, mayatima, vilema , wizi, ujambazi, kubambikiziwa watu kesi , kuibiwa, kufilisiwa , ushoga, umalaya, Walevi , ufukara, unyonge hauna kheri yoyote .

Ni Wakati sasa wa kila mtu kujipanga upya na kuliondoa Jinamizi hili lililopewa jina la Muungano na kila nchi kujiendesha kivyake.
 
Hii ni sawa kabisa
 
Huu muungano ni wa kipumbavu sana uvunjwe haraka sana.. kuna mambo mawili tu ambayo tanganyika tunapaswa kuyafanya
1.kutumia diplomasia kuvunja muungano ndani ya miaka 2 tu iwe nchi moja na zanzibar uwe mkoa.

2. Kutumia nguvu ya kijeshi kuvunja muungano na nchi iwe moja na rais mmoja tu kutoka bara zanzibar uwe mkoa wa kawaida tu.

Kama taifa tunazidi kuchelewa na nchi inazidi kubaki nyuma tu, zanzibar uwe mkoa wa tanganyika kama hawataki tutumie nguvu kijeshi kuwatala. Over
 
Na ungana Nawewe 100% Zanzibar ilitakiwa iwe kama Mkoa wa Tanzania ama Kwa njia za kidplomasia, au Kwa kutumia nguvu tu.
Kwanini iwe Ivo kwa kisa Gani?kwanini isiwe Malawi or Burundi or Rwanda or Comoro or Mauricio's or sheli sheli or Madagascar.je wajua Tanganyika na Zanzibar zikuwa states tofauti na Kila Moja wao alikuwa na kiti chake pale UN Newyork USA.
 
Kelele zetu zisiishe!
Tuupigie kelele Muungano huu wa kifedhuli

Tumuombe ROMA atengeneze mashairi yaimbwe kwenye Jamii, ili raia waliolala wajue kuwa Muungano tulionao tumepigwa!

Tunahitaji Muungano halali wa Serikali 1

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Natamani Serikali ijivike ujasiri na kuitisha kura ya maoni kubaini takwa la wananchi kuhusu Muungano.

Viongozi hawakerwi na manung'uniko ya kila leo?

"Mtanganyika" ananung'unika! Mzanzibar naye ananung'unika!

Si iitishwe tu kura ya maoni?
 
Hata wakikubali sharti watakalokuja nalo litazidi kero za sasa, maana lazima utawahakikishia ndo wawe kule juuu kututawala. Hawa watu wametukalia kimabavu
 
Tukiamua twende kwenye serikali moja, then we just go ahead!, watu wanaitwa Wazanzibari ni ndani tuu ya muungano, nje ya muungano, hakuna Wanzanzibari wala Watanganyika, kuna Watanzania tuu.
P
Its insane mpaka sasa hawa jamaa zetu huwa hawautukuzi utanzania.
 
Nitawapeni kisa kimoja. Once nilihamia mtaa mmoja ughaibini nikamkuta mwenyeji wangu sikujua ni mtu wa.wapi basi tukawa kunagonga ung'eng'e mara akaniuliza mwenzangu ni mtu kutoka wapi nikamwambia mie Mtanzania ,basi nae akasema alaa !!! Then akanijibu mie mzanzibari, tangu wakati huo hii kitu ilinifikirisha sana .its true story imenitokea mimi escrow.
 
Wazee wetu walifanikiwa kuunganisha udongo wa Tanganyika na Zanzibar kwa mafanikio makubwa. Walinia kuunganisha Vyama 2 vya Siasa, TANU na ASP wakafanikiwa kwa asilimia mia moja, hatimaye CCM ikazaliwa.

Yote hayo walifanikiwa, ila Sina uhakika kama mitazamo ya Watanganyika na Wazanzibar iliunganishwa ipasavyo!

Eti Mimi ni "Mtanzania" na yule ni "Mzanzibar". Mbona kama sielewi?
 
Naungamkono hoja
 
Wazanzibari hawana uchungu na Rasilimali za Tanganyika.

Wanazifuja tu.

Wanyama wanawagawa.

Madini wanayagawa kwakua kwao hayapo.

Watanganyika tuwe makini mno na viongozi Toka Zanzibar.
Umetoka nje ya mada yaani umeandika kama Sukuma gang
 
Munahitaji wewe na nani? Hebu nenda Unguja ukayazungumze hayo kwenye kijiwe cha kahawa kama hutochezea vibao.
 
zanzibar kama hawataki muungano itabidi tutumie nguvu ya kadiri kama kwa iddi pale kagera,kisha tuihesabu ka mkoa wa zanzibar,na hatanahivyo jeshi letu c moja ni kitendo cha raisi kutamka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…