NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu
Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba na Yanga SC wa kukopesha simu kwa mashabiki na wasio mashabiki wa yanga sc, ni jambo zuri lakini ukiangalia majukumu ya hawa jamaa simu wanakopesha pale pale dar haswaa mitaa niliyoitaja hapo na inaonekana mikoani hawana matawi kabisa ya kuweza kuwafikia mashabiki wenye uhitaji wa bidhaa hizo
MAONI YANGU; Viongozi wanapaswa kuangalia mikataba ya kuingia nao hawa wadhamini wakitazama na ukubwa wa taasisi siyo kil mtu anakuja kuweka bidhaa yake wakati hana hata uwezo wa kuhudumia watu 500
NAWASILISHA HOJA