mimi nina mambo mawili
1. kama wanalipa pesa nzuri haijalisha wana ukubwa gani.. maana wao ndo wametaka kutambulika so kupitia yanga wanaweza wakaongeza biashara na kusambaa TZ yote..
2. jambo la pili
ila wasi wasi wangu inaweza ikawa dealz za vingoz hapo yanga aidha kutakatishia pesa za deal chafu.. in both ways.. kutoka yanga kwenda kampuni au kutoka kampuni kwenda yanga.
unaweza ukauliza kutoka yanga kwenda kampuni kivipi.. unaweza ukakuta kuna majina ya wanachama feki kama 100 hv yatatumika kukopea cm.. kisha hayo majina yanatumika kupitisha pesa kwenye hiyo kmpuni kama malipo ya cm..
dunia ya ss hv teknolojia umerahisha utapeli kuukaribia ukweli. na hv vilabu vyetu wajanja wa mji wanavifanya kuwa bomba la kujikingia pesa tu.. yote yanawezakana.. ila kama deal ni legit na wanalipa pesa nzuri inayolinagna na na thamana ya jina la yanga basi haijalishi udogo wa kampuni kikubwa fedha.. uendeshaji wa team ni gharama,, tena kwa hawa mashabiki wetu oya oya..