Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

Fahamu kwamba UTOPOLO ni timu ya WANANCHI, na WANANCHI wenyewe ndio hao wanapenda kuingia udhamini na UTOPOLO.
 
Anaye
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu

Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba na Yanga SC wa kukopesha simu kwa mashabiki na wasio mashabiki wa yanga sc, ni jambo zuri lakini ukiangalia majukumu ya hawa jamaa simu wanakopesha pale pale dar haswaa mitaa niliyoitaja hapo na inaonekana mikoani hawana matawi kabisa ya kuweza kuwafikia mashabiki wenye uhitaji wa bidhaa hizo

MAONI YANGU; Viongozi wanapaswa kuangalia mikataba ya kuingia nao hawa wadhamini wakitazama na ukubwa wa taasisi siyo kil mtu anakuja kuweka bidhaa yake wakati hana hata uwezo wa kuhudumia watu 500

NAWASILISHA HOJA
Anayejitangaza na kutangaza biashara zake ni Silver lnvestment. Kupitia Yanga sasa kampuni itajulikana duniani kote. Na kupitia uzi huu JF tumeijua kampuni hiyo kuwa inauza nini na iko wapi. Hiyo ndiyo biashara.
Nafikiri huna kabisa elimu ya biashara au nimesema uongo ndugu zangu?
 
Yanga ina utoto mwingi sana. Waliingia ule mkataba na hospitali ya Aga Khan kisa mwanachama hai wa Simba Prof. Janabi yupo pale Muhimbili.

Pia kuzipa nafasi brand changa ni kama kufuata nyayo za Simba kwa walichofanya kwa Vunja Bei kipindi kile. Ingawa VB aliweka tubilioni kadhaa front hata kama kuna mtu zilikuwa nyuma yake ila hao wa Yanga wanapewa nafasi kwa milioni 23.
 
Anaye

Jitangaza na kutangaza biashara zake ni Silver lnvestment. Kupitia Yanga sasa kampuni itajulikana duniani kote. Na kupitia uzi huu JF tumeijua kampuni hiyo kuwa inauza nini na iko wapi. Hiyo ndiyo biashara.
Nafikiri huna kabisa elimu ya biashara.
HATUKATAI LAKINI YANGA WAANGALIE KAMPUNI ZA KUFANYA NAO KAZI HIKI KIDUDE NI KIDOGO SANA WATAKUJA KULETA SHISHI FOOD
 
Yanga ina itoto mwingi sana. Waliongia mkataba ule na hospitali ya Aga Khan kisa mwanachama hai wa Simba Prof. Janabi yupo pale Muhimbili.

Pia kuzipa nafasi brand za changa ni kama kufuata nyayo za Simba kwa walichofanya kwa Vunja Bei kipindi kile.
NAKAZIA MKUU KUNA UTOTO MWINGI PALE
 
Yanga NI timu ya wananchi .

Kusapoti wananchi wenye uchumi mdogo ni maana halis ya timu ya wananchi .
 
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu

Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba na Yanga SC wa kukopesha simu kwa mashabiki na wasio mashabiki wa yanga sc, ni jambo zuri lakini ukiangalia majukumu ya hawa jamaa simu wanakopesha pale pale dar haswaa mitaa niliyoitaja hapo na inaonekana mikoani hawana matawi kabisa ya kuweza kuwafikia mashabiki wenye uhitaji wa bidhaa hizo

MAONI YANGU; Viongozi wanapaswa kuangalia mikataba ya kuingia nao hawa wadhamini wakitazama na ukubwa wa taasisi siyo kil mtu anakuja kuweka bidhaa yake wakati hana hata uwezo wa kuhudumia watu 500

NAWASILISHA HOJA
Watu mkishiba makande kinacho fuata ni kujamba hovyo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa yanga wapumbavu, hakuna hata mechi moja mliojaza uwanja kwa pesa zenu. Hata yanga day hamjazi wanja...hadi muweke viingilio bure alafu leo mnakuja kuponda udhamini na bado mnata timu ichukue makombe yote. Ovyo sana nyie
 
Ninadhani kwa sasa tujikite kwenye kuisajili Simba SC kwenye mashindano ya kombe la diwani huko Tegeta badala ya kupoteza muda kuiongelea Yanga. MwananchiOG atuambie kama tayari Simba wameshajaza fomu ili kupambania hiyo Bajaj mpya.
ngoja waje wenye timu yao wakupige mawe
 
Mashabiki wa yanga wapumbavu, hakuna hata mechi moja mliojaza uwanja kwa pesa zenu. Hata yanga day hamjazi wanja...hadi muweke viingilio bure alafu leo mnakuja kuponda udhamini na bado mnata timu ichukue makombe yote. Ovyo sana nyie
soma vizuri kisha uje kutukana tena maana inaonekana ubongo wako umejaa makamasi
 
Back
Top Bottom