NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
WEWE MWENYE AKILI KUBWA HOJA YAKO IPO WAPIMbumbumbu ni Mbumbumbu tu, wala hajifichi hata gizani huonekana tu kwa upeo finyu kiakili.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Pesa Inatafutwa SanaWewe ni mwanachama wa Yanga?
Yanga wana njaa ya hela, waache wafanye biashara ili kuondoa njaa hiyo.
JIKITE KWENYE HOJA MKUU KWANI KUNA UBAYA MTU KUHOJI JAMBO FULANI HATA KAMA SIYO MWANACHAMAWewe ni mwanachama wa Yanga?
Yanga wana njaa ya hela, waache wafanye biashara ili kuondoa njaa hiyo.
Na mie nimetoa ushauri tu waache waingie hiyo mikataba ili wapate hela za kuendesha team.JIKITE KWENYE HOJA MKUU KWANI KUNA UBAYA MTU KUHOJI JAMBO FULANI HATA KAMA SIYO MWANACHAMA
asante kwa kushiriki mkuuNa mie nimetoa ushauri tu waache waingie hiyo mikataba ili wapate hela za kuendesha team.
Anayejitangaza na kutangaza biashara zake ni Silver lnvestment. Kupitia Yanga sasa kampuni itajulikana duniani kote. Na kupitia uzi huu JF tumeijua kampuni hiyo kuwa inauza nini na iko wapi. Hiyo ndiyo biashara.Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu
Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba na Yanga SC wa kukopesha simu kwa mashabiki na wasio mashabiki wa yanga sc, ni jambo zuri lakini ukiangalia majukumu ya hawa jamaa simu wanakopesha pale pale dar haswaa mitaa niliyoitaja hapo na inaonekana mikoani hawana matawi kabisa ya kuweza kuwafikia mashabiki wenye uhitaji wa bidhaa hizo
MAONI YANGU; Viongozi wanapaswa kuangalia mikataba ya kuingia nao hawa wadhamini wakitazama na ukubwa wa taasisi siyo kil mtu anakuja kuweka bidhaa yake wakati hana hata uwezo wa kuhudumia watu 500
NAWASILISHA HOJA
HATUKATAI LAKINI YANGA WAANGALIE KAMPUNI ZA KUFANYA NAO KAZI HIKI KIDUDE NI KIDOGO SANA WATAKUJA KULETA SHISHI FOODAnaye
Jitangaza na kutangaza biashara zake ni Silver lnvestment. Kupitia Yanga sasa kampuni itajulikana duniani kote. Na kupitia uzi huu JF tumeijua kampuni hiyo kuwa inauza nini na iko wapi. Hiyo ndiyo biashara.
Nafikiri huna kabisa elimu ya biashara.
NAKAZIA MKUU KUNA UTOTO MWINGI PALEYanga ina itoto mwingi sana. Waliongia mkataba ule na hospitali ya Aga Khan kisa mwanachama hai wa Simba Prof. Janabi yupo pale Muhimbili.
Pia kuzipa nafasi brand za changa ni kama kufuata nyayo za Simba kwa walichofanya kwa Vunja Bei kipindi kile.
Wawili tu🤣🤣🤣Wenye akili ni wangapi huko? Jibu mwenyewe
JIKITE KWENYE HOJA MKUUWawili tu🤣🤣🤣
Watu mkishiba makande kinacho fuata ni kujamba hovyoNimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu
Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba na Yanga SC wa kukopesha simu kwa mashabiki na wasio mashabiki wa yanga sc, ni jambo zuri lakini ukiangalia majukumu ya hawa jamaa simu wanakopesha pale pale dar haswaa mitaa niliyoitaja hapo na inaonekana mikoani hawana matawi kabisa ya kuweza kuwafikia mashabiki wenye uhitaji wa bidhaa hizo
MAONI YANGU; Viongozi wanapaswa kuangalia mikataba ya kuingia nao hawa wadhamini wakitazama na ukubwa wa taasisi siyo kil mtu anakuja kuweka bidhaa yake wakati hana hata uwezo wa kuhudumia watu 500
NAWASILISHA HOJA
ngoja waje wenye timu yao wakupige maweNinadhani kwa sasa tujikite kwenye kuisajili Simba SC kwenye mashindano ya kombe la diwani huko Tegeta badala ya kupoteza muda kuiongelea Yanga. MwananchiOG atuambie kama tayari Simba wameshajaza fomu ili kupambania hiyo Bajaj mpya.
soma vizuri kisha uje kutukana tena maana inaonekana ubongo wako umejaa makamasiMashabiki wa yanga wapumbavu, hakuna hata mechi moja mliojaza uwanja kwa pesa zenu. Hata yanga day hamjazi wanja...hadi muweke viingilio bure alafu leo mnakuja kuponda udhamini na bado mnata timu ichukue makombe yote. Ovyo sana nyie
kama anavyojamba aliyekuzaaWatu mkishiba makande kinacho fuata ni kujamba hovyo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app