Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Sidhani kama hizo record unazotoa ni kigezo tosha cha kumpa urais....Kuwa rais si jambo la kitoto ndugu.

Kwa record hizo kuna wabunge wengi wanashinda najimboni kwa record za ajabu still hawafai kuwa wakuu wa nchi.
Ila Lissu kipindi hiki amewabana vilivyo.
 
JwTz ni taasisi inayoheshimika sana raia kuliko maelezo...binafs nawaheshimu mnoo
Vijana wa Lumumba wanaishia kulishana upepo alafu wanajifanya wanaijuaaaa nchi. Wanachekesha sana hawa watu!!
 
Endelea kuwaogopa hivi hivo maana baada ya uchaguzi ukiendelea na mawazo yako hayo watakuvunja shingo
The army can’t defeat people. Ndo mana hawa siku zote husimama upande wa wananchi.

Au hukumsikia Mzee Butiku alivyowaongelea juzi kwenye mkutano wa NCCR??

kama huna ile clip mwambie mkuu bagamoyo akuwekee iyo clip ya Butiku hapa
 
The army can’t defeat people. Ndo mana hawa siku zote husimama upande wa wananchi.

Au hukumsikia Mzee Butiku alivyowaongelea juzi kwenye mkutano wa NCCR??

kama huna ile clip mwambie mkuu bagamoyo akuwee iyo clip ya Butiku hapa
Mkuu nadhani tunabishana na b7fc ..achana naye huyo pimbi
 
Kuhusu mgawanyiko ni kweli. Na unaambiwa mchakato wa wazee wa CCM yao kumdhibiti mwenyekiti wa CCM-MPYA asiongeze muda unaanza na huu uchaguzi wa mwaka huu.
Chair amejaribu ku side na Lowassa lakini kagundua Team Membe wana nguvu sana mikoani na si katika kamati kuu.
Unaambiwa kumfukuza Membe bila sababu ya msingi imewakera Wazee wa chama.
 
Labda zinaingia kwenye akili za nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…