Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Sio kumfukuza Membe tu. Kuna yale ya kuwadhalilisha wazee Kinana na Makamba. Haya ndo yamewakera sana wana CCM. We hukuona juzi kwenye mikutano ya CCM , Yaani wana CCM wanamshangilia Kinana kuliko Mwenyekiti wao!!
 
Nakwambia hakika! Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu! Akipona ni aombe serikali ya mseto ambayo hata hiyo inategemea Lissu akubali au akatae.

Mkuu hii nyuzi naihifadhi, nitaiibua tarehe 29th October na usiamue kunikimbia hapa, ila nitakupa pole ya 100,000/= ukajipozee kwa kuwa hata mbunge hauta kuwa nao. POLE na uanze kuzoea hali hiyo.
 
Sawa ila nakupa tahadhari tu. Hayo maneno yatakurudia kuwa kwa upande wako!!
 
Sio kumuuliza Membe tu. Kuna yale ya kuwadhalilisha wazee Kinana na Makamba. Haya ndo yamewakera sana wana CCM. We hukuona juzi kwenye mikutano ya CCM , Yaani wana CCM wanamshangilia Kinana kuliko Mwenyekiti wao!!
Hehehe....huko kuna fukuto. Na ile bastola aliyotishiwa Nape.
 
magufuli anashinda kwa land slide kabisa kwanza wala haitaji kufanya kampeni anaweza akalala tu na tukaamkia kupiga kura na akashinda yani tangu lowasa atepete nikaamini hii nchi ccm itatawala milele
 
Unamuongelea mtu ambae sasahivi halali anafuatilia ziara za Lissu huko kutafuta wadhamini??? Mtu ambayo sasa kazi yake ni kumtuma Abbas atoe vitishokwa Channels wasioneshe ziara za Lissu??? Amka ndugu!!
 
ungejua jamaa hana chembe ya hofu
 
Unamuongelea mtu ambae sasahivi halali anafuatilia ziara za Lissu huko kutafuta wadhamini??? Mtu ambayo sasa kazi yake ni kumtuma Abbas atoe vitishokwa Channels wasioneshe ziara za Lissu??? Amka ndugu!!

In politics we trick to win..there is no a good or right trick but the best one....see all is done to win and they all use all they have to win.

WE WILL USE ALL WE HAVE TO WIN😁
 
Duuuh hz ni akili za lumumba fc
 
Unamuongelea mtu ambae sasahivi halali anafuatilia ziara za Lissu huko kutafuta wadhamini??? Mtu ambayo sasa kazi yake ni kumtuma Abbas atoe vitishokwa Channels wasioneshe ziara za Lissu??? Amka ndugu!!
Fanyeni siasa kwa nguvu zenu zote kwa sasa lakini msivunje sheria.Pia kumbukeni baada ya kuapishwa JPM itabidi msimame haraka kufanya siasa zenu ili rais apate muda wa kuongoza serikali,hakutakuwa na siasa tena hadi 2025 watakaruhusiwa ni wabunge majimboni kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…