Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Huu uchaguzi nitacheka kunawatu watasilizia natokea Tunduma upande wapili kule Zambia nakonde wanajifanya watalii
 
Ndiyo naishi Tunduma mkuu nikishapiga kura yangu kwa Lisu napanda basi nakuja dar kuona Lisu akiapishwa na Jaji Joseph Sinde Warioba taifa
Sio dodoma?? Mi nimeingia leo kutoka dar ni hapa Mwenzo
 
Back
Top Bottom