Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Facts zipi ? Una facts gani au wewe una akili kushinda watu wote duniani?Una angalia wingi badala ya facts.
Ndio maana kuna kundi kubwa la wajinga kwenye dini kama nyie.
Naku uliza hivi, 👇Nimekwambia nijibu swali langu kwanza ndipo nitakujibu hilo lako
Uwezo wako mdogo sana kuelewa.Naku uliza hivi, 👇
Ulisema Mungu ni uhai, Sasa sa hivi utasemaje Mungu akifa kama huyo Jehova wanyonyi Mungu wa wakenya alivyokufa anaitwa Mungu?
Huoni kwamba maelezo yako yanapingana na definition yako ya Mungu ni uhai?
Atheist ni idea ya Western dhidi ya dini ya zilizotoka Asia walikataa ,bahati mbaya hizo dini zinabamba mpaka leo huko kwao.Unajicontradict sana..!
Kuamini kwa Mungu,Miungu ,Mizimu yote Huitwa Deities Believe..
Haijalishi unaamini nini..kati ya Hivyo..
Ila nilichotaka kukuonyesga ni kuwa Atheist ilikuwepo toka zamani..
Walikuwepo watu wanaoamini Miungu mingine wao hawakuitwa Watu wanaosema hakuna Mungu..Kulikuwa na Miungu mingu ya Samria na mingine ya kigeni mingi tu..
Na naona unataka kupotosha kuwa walipinga miungu ya Daudi no..waliopinga Miungu ya Daudi walifahamika Na hata hiyo ndo ilikuwa sababu ya Suleiman kutawala na watoto wengine wa Daudi kunyimwa Ufalme kwa sababu ya kuabudu Miungu mingine..
Kuabudi miungu mingine na kusema hakuna Mungu ni vitu viwili tofauti..
Ni sawa na kusema kunywa maji na kutokula kabisa..
Budha ni Dini ilikuwepo kabla ya dini Nyingi za Mashariki pengine kuliko hata Dini za Kimisri na Kisameria..
Nahisi ikitoka Dini ya Kisameria inaweza ikafata budha kwa dini za zamani..
HAdithi au Story za Samerian nyingi ziliingizwa kwenye Biblia na Dini ya kikristo kama Nuhu,Uumbaji wa Chavah(Hawa nk)
Swali ulilouliza..
Kuhusu Atheist kukosa ushawishi pengine naweza nikawa sio mtu sahihi wa kulijibu kutokana na kuwa mimi sio mmoja wa atheist ila nachojua ninkwamba hakuna kazi ngumu kama kumtoa mtu aliyepata ushawishi vizazi mpaka vizazi..
Kwa mfano ni vigumu sana kuniamini nikikuambia huyo baba au mama uliyenaye sio mama yako au sio baba yako nafikiri unaweza hata kuniua nikikuambia hivyo but huenda ni ukweli ila ni kitu ambacho hata kama ni ukweli hutotaka kuusikia ..
Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?Facts zipi ? Una facts gani au wewe una akili kushinda watu wote duniani?
Ebu tuonyeshe uwezo wako , kielimu umefanya nn ? Kiuchumi uko wapi?
Unaongelea wajinga ,je kama wewe ndio mjinga unajua hilo.!
mental illness hiiNajibiwa sana na Mwenyeezi Mungu sijawahi kuamka saa 8 usiku au saa 9 nisali nimlilie Mungu asinijibu sio kweli hata mchana kabla ya kufanya lolote nasali namuomba Mungu asimamie jambo langu Wallah linakuwa hapo hapo namuomba Mungu bwana ww mabwana mfalme wa mbinguni na ardhini yeye ndo tunamuabudu na kumuomba.
Kashfa za nini?Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?
😂😂😂Wewe upinde onyesha mafanikio yako ili tujue kwamba una akili ,kama hujui hata marekani kuna mataahira yanaongea kingereza.Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?
Una unda definition uchwara za huyo Mungu halafu ukiulizwa maswali unaanza Viroja na kubwabwaja bwabwaja...Uwezo wako mdogo sana kuelewa.
NIMESEMA SIJIBU SWALA LAKO KWA SABABU HAUJANIJIBU NILICHOKUULIZA. KAMA WEWE HAUJIBU MASWALI YANGU KWA NINI UNATAKA MIMI NIKUJIBU.???????????
Pumzika kama huna jibu
umeandika kimihemko sana , akili yako umeinyima uhuru , bado upo gizanMbona kama unalazimisha watu waamini unachotaka , wewe una kitu gani mpaka watu wakuamini unayosem?
Mpaka unakufa hakuna mtu anafuata upuuzi wako.
Mwenye akili hutoa elimu ,sasa wewe unapigia debe imani yako ,ukiulizwa maswali utakimbia ndip tatizo lenu bado mko wachache kw vile hamna ushawishi.
Ndio uelewa wako umeishia hapo.Una unda definition uchwara za huyo Mungu halafu ukiulizwa maswali unaanza Viroja na kubwabwaja bwabwaja...
Naku uliza hivi, kulingana na Definition yako ya kwamba "Mungu ni uhai" huyo Jehova wanyonyi alivyokufa anabaki kuitwa Mungu?
Kama anabaki kuitwa Mungu, Huoni kwamba ume kwenda kinyume na definition yako uliyo toa mwenyewe kwamba Mungu ni uhai?
kwama tuna miaka 2000 kwann hizi dini zimekuja huki afrika miaka 500 iliyopita je mungu hakujuwa uwepo wetu miaka 1500 yote hii ? tunaabudu MASANAMU / MIZIMU YA WENZETUMbon unakosa msimamo ,we si mtu wa kutetea ugalatia[emoji1787]
Tuliza mshomo leta hojaumeandika kimihemko sana , akili yako umeinyima uhuru , bado upo gizan
Wewe mvaa kobazi, unatoka nje ya mada ya Mungu unataka tuzungumze mafanikio yangu.😂😂😂Wewe upinde onyesha mafanikio yako ili tujue kwamba una akili ,kama hujui hata marekani kuna mataahira yanaongea kingereza.
Usipanic ! Fanya kujibu kwanza...Basi chizi hajitambui hata kidogo .
Dunia haiwezi kuvumilia ujinga kama bahati vile haiwezi kukaa na uchafu kwa kudhibitisha hilo,atheist ndio mnaongoza kwa kujiua.
Kwa nn hizo dini zipo ? Mpaka sasa mpaka unakufa zinaendelea ..kwama tuna miaka 2000 kwann hizi dini zimekuja huki afrika miaka 500 iliyopita je mungu hakujuwa uwepo wetu miaka 1500 yote hii ? tunaabudu MASANAMU / MIZIMU YA WENZETU
Una unda definition uchwara Halafu kuzi defend huwezi.Ndio uelewa wako umeishia hapo.
Kila la heri.
Mjinga hauna mafanikio hakuna mtu unaweza kumshawishi huo ujinga wako...Kama umeshindwa kupata mafanikio kwa ujinga wako unaoamini😂Wewe mvaa kobazi, unatoka nje ya mada ya Mungu unataka tuzungumze mafanikio yangu.
Inaonyesha huelewi hata kiini cha mada kwa vile ume wehuka na hujui hata mada inahusu nini.
Kwenda kaabudu dubwasha jeusi wewe toa Viroja vyako hapa.Mjinga hauna mafanikio hakuna mtu unaweza kumshawishi huo ujinga wako...Kama umeshindwa kupata mafanikio kwa ujinga wako unaoamini😂