Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

"Bahati nzuri vitabu vya dini zote mbili vimeshaweka wazi kabisa kwamba Mungu huwa hajibu maombi ya watu.."

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† ungeweka angalau kifungu kimoja kimoja kutoka kwenye vitabu vya dini husika .
 
Huwezi kufanya ibada ambayo haukuinuia na ikawa na matokeo tofauti.Hauwezi kumwambia mtu ameabudu sanamu wakati yeye hajui,hajaiweka akili na imani kwa sanamu.Hayo yatakuwa mawazo ya kulazimisha ya muangaliaji.
Ubora wa kitu huwa unatazamwa kwenye matokeo na sio nia..
 
Nakazia
 
Reactions: K11
"Bahati nzuri vitabu vya dini zote mbili vimeshaweka wazi kabisa kwamba Mungu huwa hajibu maombi ya watu.."

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† ungeweka angalau kifungu kimoja kimoja kutoka kwenye vitabu vya dini husika .
Post number 50
 
Duh yani ninawaone watu mnaabudu sanamu halafu niwaache hivi hivi? No haiwezekani lazima niwatoe kwenye ibada za sanamu
Watu zaidi ya billion hawana akili kuliko wewe unatokea kijijini πŸ˜…πŸ˜….

Think twice halafu urudi huku yaani Dangote unaweza kufananisha na wewe?
 
Reactions: 511
NDUGU WW NI SHETANI AU AGENT WAKE AU UNATUMIKA BILA KUJIJUA.OMBA TOBA HARAKA
 
Reactions: 511
Hujui hata maana ya Atheist.

Mleta mada si Atheist, ni mtu mwenye imani za jadi za kiafrika Uganga na ulozi.

Atheist hana imani wala dini yeyote ile.
Huyo ni Atheist kama wewe tu , ambao ni wapumbavu wachache sana dunia tena wanaongoza kujiua duniani.

Mtu anayeabudu mti ambao unaweza kukatwa mda wowote ana akili kweli.

Kama angekuwa deep kweny imani yake hata kingereza asingesoma ,angekuwa anaandika kilugha cha kwao .
 
Insanity ni kile unacho kifanya wewe mkuu. Unamuomba Mungu toka mwaka 94 hupati majibu lakini bado una muomba tu tena kwa njia ile ile huku ukitarajia kupata majibu tofauti.
Sasa mbona unasema ni matusi ?πŸ˜…πŸ˜… Leta maana acha kulazimisha akili kubwa ujinga wako wako wa porini.

Yaani mti unapanda mwenye unaona mpaka unakuwa ,ghafla unaanza kuabudu mti huo kwa imani yako ,utakuwa na akili kweli?
 
Reactions: 511
Acha hasira jibu hoja,ni ubagudhi gani wenye madhara zaidi hapa duniani?
 
Watu zaidi ya billion hawana akili kuliko wewe unatokea kijijini πŸ˜…πŸ˜….

Think twice halafu urudi huku yaani Dangote unaweza kufananisha na wewe?
Dangote ni Freemason mkuu halafu ndugu Mimi kwa imani yangu binadamu wote ni sawa hakuna alie bora zaidi ya mwenzake. So wakati wewe una muona Prophet Muhammad( pbuh) ni bora kuliko wewe kwangu Mimi baba yangu mzazi ni bora mara bilioni moja kuliko Prophet Muhammad ( pbuh)

Mimi, Muhammad, Jesus, Ibrahim, Mussa, Suleiman, Daudi n.k.wote tupo sawa wala hatuna tofauti yoyote mkuu.

Ngondo inabaki kwako wewe an insane guy ambae una amini hao nilio wataja hapo juu ni bora kuliko wewe. Ukitukanwa tusi la mamayo wala hurushi ngumi ila ole wake mtu atoe maneno ya kashfa kuhusu mtume wako tutakusoma kwa Millard Ayo.. huoni huo ni wendawazimu.

Wacha kuabudu sanamu bwege wewe
 
1. YOHANA 9:31 " Mungu hajibu sala za wenye dhambi"
Aliyeongea hilo wala hakuwa mtumishi wa Mungu, mtume au Yesu hilo ulijue.

Mungu anajibu sala za wenye dhambi wakitubu husikia sala zao na kuwasamehe

Hata wewe na dhambi zako ukienda kwa Mungu ukasali kutubu dhambi zako Mungu atasikia sala yako ya toba na kukusamehe
 
Mbona hueleweki ? Freemason hakuna ni kama kuamini uchawi ...Watu wa hovyo ndio wanaamini kwney Freemasoni ni story za jaba
 
Acha hasira jibu hoja,ni ubagudhi gani wenye madhara zaidi hapa duniani

Kwanza umetembea dunia mpaka wapi dogo?

Unajua kuhusu race ? je unajua kuhusu ukoloni ,babu zako walivyoteswa na wazungu kisa watu weusi walionekana kama wanyama ..
Dogo kaaa pembeni.!
 
Sasa mbona unasema ni matusi ?πŸ˜…πŸ˜… Leta maana acha kulazimisha akili kubwa ujinga wako wako wa porini.

Yaani mti unapanda mwenye unaona mpaka unakuwa ,ghafla unaanza kuabudu mti huo kwa imani yako ,utakuwa na akili kweli?

So bora hata Mimi ninakiona ninacho kiabudu na kinanipa majibu. Mwendawazimu utakuwa wewe unae kiabudu usicho kiona na wala hakikupi majibu ya maombi yako..


Ndio maana ni rahisi zaidi kwako wewe kumuua mtu alie kitukana hicho unacho kiabudu kuliko hicho unacho kiabudu kukujibu maombi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…