Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Huo ni wizi kama wizi mwingine,usimuingize Mungu kwenye wizi wa aina hiyo.
Zile pesa ilitakiwa uzipeleke polisi zitangazwe hili mwenye pesa apewe.
UMEKULA PESA ZA WIZI KISHA UNAITA MUUJIZA
 
Unakiona wapi wakati hakina uwezo πŸ˜…πŸ˜… mti jamani si unaweza kufanya kuni au mbao mda wowote.
 
Kifupi wahi Mirembe ukatibiwe kichaa kinakupanda

Naongea namaanisha tafadhali wahi
 
Reactions: 511
Mbona hueleweki ? Freemason hakuna ni kama kuamini uchawi ...Watu wa hovyo ndio wanaamini kwney Freemasoni ni story za jaba
Dangote is not a "muslim" bro take it from me.. uislamu kwake ni kabila tu kama ilivyo kwa Chibu Dangote au kwako. Waulize wamakonde wenzako huko Mtwara walio wahi kufanya kazi kwenye kiwanda cha Dangote ndio watakwambia which is which and which is not which.
 
Unakiona wapi wakati hakina uwezo πŸ˜…πŸ˜… mti jamani si unaweza kufanya kuni au mbao mda wowote.
Si bora hata kuni mkuu nitapika misosi nitakula kuliko wewe unae muabudu usie muona na asie kusikia wala kukuona. Halafu ulivyo mwendawazimu sasa, unasema una muabudu Mungu lakini viumbe wake ( wagalatia) unawachukia. And vice versa. We mzima kweli Wewe?
 
Nimekuambia wapi ni muislamu ? Onyesha nilipokuambia . Nimesema anaabudu sijakuambia dini yake.

Acha kujitungia maswali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,hizo ni stori za jaba ndio maana mnakuwa maskini kwa kuamini ushirikina
 
Reactions: 511
So bora hata kuni mkuu kuliko wewe una muabudu usie muona na asie kusikia wala kukuona. Halafu ulivyo mwendawazimu sasa, unasema una muabudu Mungu lakini viumbe wake ( wagalatia) unawachukia. And vice versa. We mzima kweli Wewe?
Mungu wako naweza kumfanya kuni πŸ˜…πŸ˜…
 
Kifupi wahi Mirembe ukatibiwe kichaa kinakupanda

Naongea namaanisha tafadhali wahi
🀣🀣🀣🀣 ulitaka nikupe andiko kwenye Biblia linalo sema Mungu hajibu maombi nimekupa umechanganyikiwa unanifuata huku kunionyesha frustration zako. Sikia mkuu hata Yesu aliwahi kuwaambia wanafunzi wake mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru. Ukweli huwaga ni mchungu sana siku zote.. ila baadae utazoea tu mkuu.

pole sana mkuu kama upo kwenye matatizo na unafanya maombi
 
Nimekuambia wapi ni muislamu ? Onyesha nilipokuambia . Nimesema anaabudu sijakuambia dini yake.

Acha kujitungia maswali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,hizo ni stori za jaba ndio maana mnakuwa maskini kwa kuamini ushirikina
Sawa tajiri
 
Kwanza umetembea dunia mpaka wapi dogo?

Unajua kuhusu race ? je unajua kuhusu ukoloni ,babu zako walivyoteswa na wazungu kisa watu weusi walionekana kama wanyama ..
Dogo kaaa pembeni.!
Huu sio uzi wa kuoneshana umetembea sana duniani,Jibu hoja ubagudhi gani mbaya kupita bagudhi nyingine kwa dunia ya sasa?
 
Huyo ni Atheist kama wewe tu
Atheist hana imani ya aina yoyote ile.
, ambao ni wapumbavu wachache sana dunia tena wanaongoza kujiua duniani.

Mtu anayeabudu mti ambao unaweza kukatwa mda wowote ana akili kweli.
Vipi ninyi mnaoabudu lile dubwasha la kibox kule Makka kwa kulizingira na mkilizunguka kama wehu mliopandwa na pepopunda?

Na ninyi mna akili kweli?

Mna utofauti gani na anayeabudu mti?
Kama angekuwa deep kweny imani yake hata kingereza asingesoma ,angekuwa anaandika kilugha cha kwao .
 
Kuna ukweli mkubwa sana kwenye post yako mkuu ila wafia dini watakuja kujibaraguza hapa lakini hata wao ukweli huu wanaujua sana ndio maana tunakutana nao sana kwenye vilinge vya waganga wa kienyeji.
Be blessed
 
Sasa mtu anaomba um guide, unatoa jibu hata hajasema kama anakubaliana na wewe au laa, tayari unaingiza kejeri kumuita mtumishi. Yawezekana sijawahi soma alichoandika huyo Suleiman.

Sio kila anaeuliza lazima um label kama mbishani wako, wengine wanataka maelezo ili waamini hoja zako. Fundisha zaidi kuliko kukejeli
 
Kumbe kumuita mtu mtumishi ni kumkejeli? Since when? Anyways Message sent
 
Mungu wako naweza kumfanya kuni πŸ˜…πŸ˜…
The holy quoran says Yes.

How? According to the holy Quran God can be anything he want to be . So of course if he wants he can be firewood without a doubt. Or do u doubt ur God?
 
Hili bandiko lako limenikumbusha juzi waumini wa kiislamu walikuwa wanapewa kichapo cha nguvu na wanajeshi wa Israel na kuzuiliwa kwenda kuswali kwenye msikiti wa Al-Aqsa.
Nikajiuliza...kati ya huyo mungu ambaye watu wanataka kwenda kumwabudu na hao askari, ni nani mwenye nguvu!!?
Mungu aone watu wake wanakula mkong'oto kiasi kile akae kimya?
Huyo mungu yupo kweli!
 
Atheist hana imani ya aina yoyote ile.

Vipi ninyi mnaoabudu lile dubwasha la kibox kule Makka kwa kulizingira na mkilizunguka kama wehu mliopandwa na pepopunda?

Na ninyi mna akili kweli?

Mna utofauti gani na anayeabudu mti?
Ndio maana kiuhalisia wapumbavu kama nyie mpo wachache ,mkidanganywa kwamba mnazidi kuwa wengi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Mwisho wa simu mnaongoza kujinyonga
 
Reactions: 511
Accumen Mo
 
The holy quoran says Yes.

How? According to the holy Quran God can be anything he want to be . So of course if he wants he can be firewood without a doubt. Or do u doubt ur God?
Ndio maana uhalisia unabaki pale pale , huyu Mungu wako hana nguvu ya kusambaza imani yako hata mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…