Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Kumbe kumuita mtu mtumishi ni kumkejeli? Since when? Anyways Message sent
Wewe ni juha huna uwezo wa kujikita kwenye hoja. Unakimbilia kulisha watu mawazo yako. Mtumishi nimewahi kukutumikia?
 
Ndio maana nawashangaa sana watu wa dini. Yani una muabudu Mungu ambae hakusaidii tena kwenye critical situations kama hizo lakini bado tu unaendelea kumuabudu ? Duh kuna watu wana moyo aisee
 
........Wakristu na Waislamu wana amini Mungu anayaona zaidi madhambi yao kuliko maombi yao. Ndio maana mkristu au muislamu akitenda dhambi anakuwa na uhakika kabisa Mungu kamuona na anakuwa na ile kitu inaitwa Guilty conscious kwa sababu anajua Mungu kamuona . Lakini akifanya maombi yake anakuwa hana imani kama Mungu kayasikia na kwamba atamjibu......
 
Uzi bora kabisa namba moja kuwahi kusoma humu jf zaidi yamiaka5 naingia humu hii ndio nondo ngumu na imara sana.
Mkuu hongera sana kwahaya maamuzi magumu yakuokoa fikra zawatu ulio leta hapa.
Najua inakuja vita kubwa sana kutoka kwahao walengwa lakini nakuhakikishia hii vita nyuma yako kuna Askari imara sana tunao kulinda nakukutetea.
Askari ambao hatuna shaka naushindi wako kwani tunaimani thabiti yakile tunacho amini ndani mwetu.
Nakueleza hiyo miungu yao yasanamu kamwe silolote kabisa nahaiwezi kuleta madhara yoyote..sababu haioni wala kuskia.haijibu wala kuokoa.
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Mie nimekuelewa vzr
 
Ndio maana uhalisia unabaki pale pale , huyu Mungu wako hana nguvu ya kusambaza imani yako hata mkoani
Na wewe Mungu wako kwanini asisambaze kupitia mawinguni tusikie tu sauti inatoka kwamba mimi ndie Mungu na hii ndio dini yangu na huyu ndio mtume wangu?

Hiyo miti unayo ikashifu bila hiyo huyu Mungu wako habari zake zingefika vipi Africa? Maana dini yake imeletwa na majahazi na bila.majahazi dini yake isingefika Afrika na hayo majahazi yametengenezwa kwa mbao.

Halafu watu wa dini huwaga hamfikirii kabisa . Kitabu chako kina sema Djibril alimvyomtokea mtume alimwambia " soma" halafu mtume akamjibu " Mimi.sijui kusoma " He ina maana Mungu pamoja na malaika.Djibril walikuwa Hawajui kama Mtume.hajui.kusoma? Ngachoka
 
Wanao mwabudu mungu unayedai sio wa kweli wakikwambia mungu wao amejibu maombi yao, Utawezaje kuwa prove wrong?

Na wao wakikwambia mungu wako wewe K11 hajajibu maombi yako, unaweza kumleta huyo mungu wako aje awa prove wrong?
 
Ndio maana uhalisia unabaki pale pale , huyu Mungu wako hana nguvu ya kusambaza imani yako hata mkoani
Na kama ni Mungu wa kweli kwanini ahitaji kusambaza imani yake? Ulishawahi kusikia wapi mganga wa ukweli anajitangaza?


Chema chajiuza kibaya chajitembeza.

Huyo Mungu wako angekuwa wa ukweli wala asingehitaji watu wapande majahazi waje kumtangaza huku ila.sisi ndio tungepanda majahazi kumfuata. Kazi zake zingejitangaza zenyewe
 
Aisome Accumen Mo
 
100% correctly
 
Ndio maana kiuhalisia wapumbavu kama nyie mpo wachache ,mkidanganywa kwamba mnazidi kuwa wengi [emoji28][emoji28][emoji28].

Mwisho wa simu mnaongoza kujinyonga
Ndio maana wehu na wendawazimu kama wewe mnaabudu dubwasha jeusi la kibox kule Makka mnakanyagana kama mapanya na kuuana.

Halafu unashangaa mtu kuabudu mti, ilhali wewe mwenyewe una abudu dubwasha la kibox..
 
Wanao mwabudu mungu unayedai sio wa kweli wakikwambia mungu wao amejibu maombi yao, Utawezaje kuwa prove wrong?

Na wao wakikwambia mungu wako wewe K11 hajajibu maombi yako, unaweza kumleta huyo mungu wako aje awa prove wrong?
Anza wewe kwa kumleta mungu unaemwamini a prove hapa kuwa kweli anakujibu maombi yako ili na mimi nimuamini, akija hapa na wangu atakuja.
 
Wewe ni juha huna uwezo wa kujikita kwenye hoja. Unakimbilia kulisha watu mawazo yako. Mtumishi nimewahi kukutumikia?

Mafi yako. Wewe ndo huna uwezo wa kujikita kwenye hoja. Umeuliza swali ni Mungu yupi mwenye kutoa majawabu nimekujibu kwamba Mungu huyo ametajwa na Nabii Suleimani kwenye kitabu cha MHUBIRI 10:19 then nikakuita mtumishi badala ujibu hoja ya msingi unazungumzia habari za eti kwanini nimekuita mtumishi we unaumwa nini?
 
Akili yako yenyewe ni full mafi.
Kama mungu wako ni pesa, je wasio na pesa hawana mungu?
 
Akili yako yenyewe ni full mafi.
Kama mungu wako ni pesa, je wasio na pesa hawana mungu?
Technically ni kwamba unacho kisema wewe ni kwamba akili ya Suleiman ndio full mafi kwa sababu Suleimani ndio kasema kupitia kitabu cha MHUBIRI 10:19 kwamba pesa ndio huleta majawabu ya mambo yote ikiwemo hayo mambo yako unayo muomba Mungu akusaidie jambo linalo maanisha kwamba Pesa ndio Mungu kwa sababu Suleiman alimjua Mungu vizuri sana lakini hakuthubutu kusema.Mungu huleta majawabu ya mambo yote ila.akasema pesa ndio huleta majawabu ya mambo yote.. So jua umemtukana Nabii Suleiman na sio mimi
 
hiyo unakuhusu wewe peke yako
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…