Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Upo sahihi mkuu nahuo ndio ukweli ambao pekee dunia haitaki kuuskia.nivyema ufanye jambo hatari zaidi kuliko kuongea maneno kama haya duniani.
Nasisitiza ikiwa mungu unae muomba,masaa,miezi,namiaka chungu nzima hakupi majibu yakile unacho omba akupatie broo..amka fasta ushaingia chaka bovu.
Tafakari sana mawazo yako kisha mtafute mungu wakweli.
 
Naikumbuka Story "Riwaya ya Baba yake Imamu shafii na tufaa" kama sio Baba yake imamu maliki (Nimesahau kati ya maliki au Shafii)

Alikuwa akitembea Kando Ya mto akiwa na njaa sana akaokota Tufaa (apple) pembezoni mwa Njia..

Baada ya kula na kuhisi hana njaa..Yeye mwenyewe moyoni mwake alihisi kafanya kosa kubwa sana,Kwa Mungu kula Tunda ambalo sio lake kwahyo akafata mti ulipo huku akiulizia Mwenye Mazao hayo mpaka alippfika na kuomba msamaha..

"Kuna mengi yalitokea huko mpaka kupewa mke n.k"..

Sasa hiyo inamaanisha nini?

Kwanini uchukue mali ya Mtu usiyemjua na uiite Muujiza?

Kwanini usingeipeleka ikatangazwe sehemu husika?

Umeiba!

Umetamani mali isiyo yako,Kinyume na amri za Mungu za Torati!..

kama bado unaamini katika Dini,...
Taka Toba sana
 
Alieharisha hapa ni wewe sio Suleiman.
Nimekujibu wewe juha.
 
Ndio maana wehu na wendawazimu kama wewe mnaabudu dubwasha jeusi la kibox kule Makka mnakanyagana kama mapanya na kuuana.

Halafu unashangaa mtu kuabudu mti, ilhali wewe mwenyewe una abudu dubwasha la kibox..

Duniani kawaida nyie wapumbavu mko wachache sana ,huo ujinga wenu hauingii akili mpaka unakufa hakuna mtu anaweza kukubali huo ujinga wako๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
.Pointless huwezi kushawishi mtu

Huyu ndio mwanzilishi wa ujinga huo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ndie mnayemuabudu
 
Reactions: 511
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Ndio maana unatafuta kiki kwa dini nyingine .

Kwanza hata watu wa wilayani hawajui huo upumbavu unaamini.
 
Reactions: 511
Kila kona dini ipo mabara yote ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Reactions: 511
jNdio maana Uzi unaitwa " ukweli mchungu

Ukweli upi? Unaandika na kujitekenya mwenyewe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Reactions: 511
Wanao mwabudu mungu unayedai sio wa kweli wakikwambia mungu wao amejibu maombi yao, Utawezaje kuwa prove wrong?

Na wao wakikwambia mungu wako wewe K11 hajajibu maombi yako, unaweza kumleta huyo mungu wako aje awa prove wrong?
Kama Mungu wako unayemuabuda na kumuomba kila siku anakujibu, tambua huyo ndo MUNGU wa kweli, vinginevyo umepigwa na kitu kizito.

Hapa sijataja dini wala dhehebu, bali nimesema kama unachoabudu hakina majibu kimbia, unaabudu sanamu.
 
Nenda kaabudu dubwasha lenu la kibox wewe wacha maneno mengi...

Mnazunguruka dubwasha jeusi kama mmepandwa na pepopunda..๐Ÿ˜„
 

Attachments

  • FB_IMG_1710310195172_1.jpg
    130.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ