third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Upo sahihi mkuu nahuo ndio ukweli ambao pekee dunia haitaki kuuskia.nivyema ufanye jambo hatari zaidi kuliko kuongea maneno kama haya duniani.Mtoa hoja asikilizwe, kama unachoabudu hakina uwezo wa kukujibu/hakijibu maombi yako, kaa utafakari upya.
Sio wote hapa duniani wanaabudu MUNGU wa kweli pamoja na kwamba asilimia kubwa ya watu duniani wana dini zao wanazozifuata pamoja na MUNGU/mungu wao.
Kama unachoabudu na kuomba kila siku hakijibu maombi yako, moja kwa moja unaabudu sanamu, hivyo acha insanity
LIKUD
Nasisitiza ikiwa mungu unae muomba,masaa,miezi,namiaka chungu nzima hakupi majibu yakile unacho omba akupatie broo..amka fasta ushaingia chaka bovu.
Tafakari sana mawazo yako kisha mtafute mungu wakweli.