Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Mtoa hoja asikilizwe, kama unachoabudu hakina uwezo wa kukujibu/hakijibu maombi yako, kaa utafakari upya.

Sio wote hapa duniani wanaabudu MUNGU wa kweli pamoja na kwamba asilimia kubwa ya watu duniani wana dini zao wanazozifuata pamoja na MUNGU/mungu wao.

Kama unachoabudu na kuomba kila siku hakijibu maombi yako, moja kwa moja unaabudu sanamu, hivyo acha insanity

LIKUD
Upo sahihi mkuu nahuo ndio ukweli ambao pekee dunia haitaki kuuskia.nivyema ufanye jambo hatari zaidi kuliko kuongea maneno kama haya duniani.
Nasisitiza ikiwa mungu unae muomba,masaa,miezi,namiaka chungu nzima hakupi majibu yakile unacho omba akupatie broo..amka fasta ushaingia chaka bovu.
Tafakari sana mawazo yako kisha mtafute mungu wakweli.
 
Umeandika vitu vingi lakini upeo wako wa uelewa mdogo sana hasa wa Lugha
Chochote afanyacho Mungu kwa Mwanadamu huitwa muujiza kwa lugha ya kiswahili kutofafautisha kati ya afanyacho binadamu na Mungu

Mfano mimi kuna siku sikuwa na hela hata ya kula nikaomba Mungu kuwa Mungu nisaidie kisha i nikasema moyoni ngoja niende kumuona rafiki yangu nimuombe hela nikiwa na uhakika atanipa sababu huwa tunasaidiana kwenye shida na raha.Haishi mbali na kwangu nikampigia simu akasema njoo uchukue.

Nikatoka kwa mguu kwenda kwake .Nikiwa njiani nikaona chini kuna pochi ardhini kuna pochi .Nikaokota kuangalia ina dola za Mia Mia jumla 40 sawa na dola elfu 4 kwa rate ya wakati huo sh 2000 sawa na shilingi za Tanzania milioni 8 nikageuza nikamwambia rafiki yangu a basi nineshapata hela usijali
Huo kwangu ulikuwa muujiza yaani kitu alichonitendea Mungu.
Wakati wote kiswahili kitu akifanya Mungu huitwa muujiza ni lugha ya kawaida
Naikumbuka Story "Riwaya ya Baba yake Imamu shafii na tufaa" kama sio Baba yake imamu maliki (Nimesahau kati ya maliki au Shafii)

Alikuwa akitembea Kando Ya mto akiwa na njaa sana akaokota Tufaa (apple) pembezoni mwa Njia..

Baada ya kula na kuhisi hana njaa..Yeye mwenyewe moyoni mwake alihisi kafanya kosa kubwa sana,Kwa Mungu kula Tunda ambalo sio lake kwahyo akafata mti ulipo huku akiulizia Mwenye Mazao hayo mpaka alippfika na kuomba msamaha..

"Kuna mengi yalitokea huko mpaka kupewa mke n.k"..

Sasa hiyo inamaanisha nini?

Kwanini uchukue mali ya Mtu usiyemjua na uiite Muujiza?

Kwanini usingeipeleka ikatangazwe sehemu husika?

Umeiba!

Umetamani mali isiyo yako,Kinyume na amri za Mungu za Torati!..

kama bado unaamini katika Dini,...
Taka Toba sana
 
Technically ni kwamba unacho kisema wewe ni kwamba akili ya Suleiman ndio full mafi kwa sababu Suleimani ndio kasema kupitia kitabu cha MHUBIRI 10:19 kwamba pesa ndio huleta majawabu ya mambo yote ikiwemo hayo mambo yako unayo muomba Mungu akusaidie jambo linalo maanisha kwamba Pesa ndio Mungu kwa sababu Suleiman alimjua Mungu vizuri sana lakini hakuthubutu kusema.Mungu huleta majawabu ya mambo yote ila.akasema pesa ndio huleta majawabu ya mambo yote.. So jua umemtukana Nabii Suleiman na sio mimi
Alieharisha hapa ni wewe sio Suleiman.
Nimekujibu wewe juha.
 
Ndio maana wehu na wendawazimu kama wewe mnaabudu dubwasha jeusi la kibox kule Makka mnakanyagana kama mapanya na kuuana.

Halafu unashangaa mtu kuabudu mti, ilhali wewe mwenyewe una abudu dubwasha la kibox..

Duniani kawaida nyie wapumbavu mko wachache sana ,huo ujinga wenu hauingii akili mpaka unakufa hakuna mtu anaweza kukubali huo ujinga wako😅😅
.Pointless huwezi kushawishi mtu

Huyu ndio mwanzilishi wa ujinga huo👇👇ndie mnayemuabudu
Screenshot_20240313-082942.png
 
  • Thanks
Reactions: 511
Na wewe Mungu wako kwanini asisambaze kupitia mawinguni tusikie tu sauti inatoka kwamba mimi ndie Mungu na hii ndio dini yangu na huyu ndio mtume wangu?

Hiyo miti unayo ikashifu bila hiyo huyu Mungu wako habari zake zingefika vipi Africa? Maana dini yake imeletwa na majahazi na bila.majahazi dini yake isingefika Afrika na hayo majahazi yametengenezwa kwa mbao.

Halafu watu wa dini huwaga hamfikirii kabisa . Kitabu chako kina sema Djibril alimvyomtokea mtume alimwambia " soma" halafu mtume akamjibu " Mimi.sijui kusoma " He ina maana Mungu pamoja na malaika.Djibril walikuwa Hawajui kama Mtume.hajui.kusoma? Ngachoka
😅😅😅Ndio maana unatafuta kiki kwa dini nyingine .

Kwanza hata watu wa wilayani hawajui huo upumbavu unaamini.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Na kama ni Mungu wa kweli kwanini ahitaji kusambaza imani yake? Ulishawahi kusikia wapi mganga wa ukweli anajitangaza?


Chema chajiuza kibaya chajitembeza.

Huyo Mungu wako angekuwa wa ukweli wala asingehitaji watu wapande majahazi waje kumtangaza huku ila.sisi ndio tungepanda majahazi kumfuata. Kazi zake zingejitangaza zenyewe
Kila kona dini ipo mabara yote 😅😅
 
  • Thanks
Reactions: 511
jNdio maana Uzi unaitwa " ukweli mchungu

Ukweli upi? Unaandika na kujitekenya mwenyewe 😅😅
 
  • Thanks
Reactions: 511
Wanao mwabudu mungu unayedai sio wa kweli wakikwambia mungu wao amejibu maombi yao, Utawezaje kuwa prove wrong?

Na wao wakikwambia mungu wako wewe K11 hajajibu maombi yako, unaweza kumleta huyo mungu wako aje awa prove wrong?
Kama Mungu wako unayemuabuda na kumuomba kila siku anakujibu, tambua huyo ndo MUNGU wa kweli, vinginevyo umepigwa na kitu kizito.

Hapa sijataja dini wala dhehebu, bali nimesema kama unachoabudu hakina majibu kimbia, unaabudu sanamu.
 
Duniani kawaida nyie wapumbavu mko wachache sana ,huo ujinga wenu hauingii akili mpaka unakufa hakuna mtu anaweza kukubali huo ujinga wako😅😅
.Pointless huwezi kushawishi mtu

Huyu ndio mwanzilishi wa ujinga huo👇👇ndie mnayemuabudu
View attachment 2933163
Nenda kaabudu dubwasha lenu la kibox wewe wacha maneno mengi...

Mnazunguruka dubwasha jeusi kama mmepandwa na pepopunda..😄
Duniani kawaida nyie wapumbavu mko wachache sana ,huo ujinga wenu hauingii akili mpaka unakufa hakuna mtu anaweza kukubali huo ujinga wako😅😅
.Pointless huwezi kushawishi mtu

Huyu ndio mwanzilishi wa ujinga huo👇👇ndie mnayemuabudu
View attachment 2933163
 

Attachments

  • FB_IMG_1710310195172_1.jpg
    FB_IMG_1710310195172_1.jpg
    130.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom